You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Vatican
Vatican ndiyo makao makuu ya Kanisa Katoliki duniani pamoja na kiongozi wake, Papa
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Maduro amwomba Papa Francis kuingilia kati mgogoro Venezuela
Urusi imeyashambulia mataifa ya magharibu kwa kuingilia mambo ya ndani ya Venezuela.
Papa Francis aanza rasmi ziara yake katika Falme za Kiarabu
Papa Francis anafana ziara kwenye rasi ya Uarabuni wakati ambapo eneo hilo linakabiliwa na mizozo.
Papa Francis akamilisha ziara yake ya Panama
Papa Francis amewashauri vijana kwamba mitandao ya kijamii siyo njia ya kujenga afya au akili za vijana hao.
Asasi za kiraia zalia na hitilafu uchaguzi DRC
Wawakilishi wa asasi hizo za kiraia wasema walichokishuhudia kimepindukia hofu waliyokuwa nayo wakati wote.
Papa Francis awatambua maaskofu saba walioteuliwa China
Hata hivyo, wakosoaji wanasema makubaliano hayo yanadhoofisha mamlaka katika maadili ya Kanisa Katoliki.
Papa Frances awasili Ireland akiwa na masikitiko
Pope asema asikitishwa na kuaibishwa kwa kushindwa kwa kanisa lake kushughulikia udhalilishaji wa kingono wa watoto.
Papa akubali kadinali Theodore McCarrick ajiuzulu
Baba mtakatifu amemwamuru kadinali huyo asali na kutubu hadi hapo kesi itakaposikilizwa na Kanisa.
Papa Francis aikosoa sera ya Marekani ya uhamiaji
Kauli za Papa zinaongeza shinikizo kwa Trump kuhusu sera yake ya uhamiaji
Papa Francis aonya machafuko Mashariki ya Kati
Guatemala nayo yaungana na Marekani
Papa Francis: Mazungumzo ya Korea yawe ya uwazi
mkutano huo utafuatiwa na mkutano na Trump
Papa Francis akiri kufanya makosa kashfa ya udhalilishaji
Papa amekuwa mtetezi wa wale wanaotwezwa
Papa Francis atoa wito wa amani duniani
Papa aitaka dunia kudumisha amani
Papa ajisikia "aibu" vijana kurithi dunia iliyogawika
Papa Francis awataka watu , mapadre na maaskofu kujisikia aibu kwa matatizo ya dunia
Papa Francis aomba msamaha nchini Chile
Papa Francis aomba msamaha kwa vitendo vya udhalilishaji nchini Chile
Papa Francis awasili Chile
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis amewasili Chile kwa ziara ya wiki moja katika Amerika ya Kusini.
Papa Francis akemea usaliti Vatican
Ni hotuba yake ya salamu za Christmas
Papa akamilisha ziara nchini Myanmar na Bangladesh
Papa ameonesha mshikamano na jamii ya Waislamu walio wachache- Warohingya waliokimbilia nchini Bangladesh kutoka Myanmar
Papa Francis awaomba radhi wakimbizi warohingya Bangladesh
Papa Francis awaomba radhi warohingya nchini Bangladesh
Papa aliipungia halaik hiyo akiwa katika gari la wazi
Timu ya watu 18, ya Warohingya ambao walikimbia machafuko Myanmar, watajumuika katika sala pamoja na Papa jioni leo
Papa Francis awasili Bangladesh
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Fransis amewasili Bangladesh kwa ziara ya siku tatu, akitokea Myanmar
Papa Francis akwepa kuwataja "Warohingya" Myanmar
Mashambulizi dhidi yao yamewafanya maelfu ya watu wa jamii hiyo ya wachache kukimbilia nchi jirani ya Bangladesh.
Papa Francis ahimiza msamaha kwa waasi wa Colombia
Papa Francis atembelea eneo lililozingirwa na waasi nchini Colombia, na kuwa na ibada na wahanga wa mzozo nchini humo
Kardinali wa Vatican achukua likizo ili kujisafisha
Kardinali George Pell atachukua likizo na kurejea Australia ili kujitetea dhidi ya madai yanayomkabili.
Marekani itaunga mkono makubaliano ya tabia nchi?
Rais wa Marekani Donald Trump atatangaza Alhamis iwapo ataiondoa Marekani kutoka kwenye makubaliano kuhusu:
Rais Trump pia atahudhuria mkutano wa NATO
Trump awasilini nchini Ubelgiji
Trump akutana na Papa Francis
Trump na Papa Francis wafanyiana dhihaka
Mwanamgambo wetu ndiye aliyelipua Manchester: IS
Kundi linalojiita Dola la Kiislamu linasema mmoja wa wanachama wake ndiye aliyejilipua katikati ya kundi la watu.
Papa Francis aitetea kauli yake
Papa Francis ametetea kauli yake kwamba vituo vya wakimbizi wanakowekwa wahamiaji Ulaya ni sawa na ''Kambi za Mateso''.
Papa Francis aanza ziara nchini Misri
Ziara yake inafanyika siku chache baada ya shambulizi kwenye kanisa la Wakristu Wakoptik lililouwa watu 45.
Duterte asema Mungu amesema naye
Rais Durerte asema amesikia sauti ya Mungu
Papa Francis asihi usitishwaji vita Syria mara moja
Mashambulizi yanajiri baada ya kuvunjika kwa mkataba wa usitishwaji vita ulioafikiwa kati ya Urusi na Marekani.
Papa Francis asema dunia hivi sasa inaonekana kukosa amani
Papa Francis asema dunia hivi sasa inaonekana kukosa amani
Ni mkutano wa kihistoria baina ya madhebehu mawili
Lengo ni kuimarisha mahusiano
Ataka demokrasia kuheshimiwa katika mataifa mengine
Ataka siasa za wazawa ziheshimiwe
Papa Francis aibua mjadala Marekani
Baba Mtakatifu Francis amehoji uhalali wa Donald Trump kujiita Mkiristo
Rais Hassan Rouhani wa Iran yuko ziarani Ulaya
Rais Rouhani wa Iran ameanza ziara ya kwanza barani Ulaya tangu kupita miaka 16
Papa Francis autembelea msikiti wa Bangui
Papa amehubiri amani akisema Wakristo na Waislamu ni ndugu
Papa Francis awalaani magaidi
Awataka tajiri wafungue milango kuwapokea wahamiaji
Papa kuendelea na ziara yake nchini Marekani
Papa kuendelea na ziara yake nchini Marekani
Bendera ya Palestina Yapepea Umoja wa Mataifa
Nchi 119 zaunga mkono Palestina kupeperusha bendera
Pope : Mauaji ya Waarmenia ni mauaji ya kimbari
Pope : Mauaji ya Waarmenia ni mauaji ya kimbari
Papa Francis aitaka Ufilipino kupambana na rushwa
Papa Francis aitaka Ufilipino kupambana na rushwa
Papa Francis awasili Ufilipino
Papa Francis awasili Ufilipino
Papa Francis akamilisha ziara Uturuki
Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis amekamilisha ziara yake nchini Uturiki kwa kushiriki ibada maalum katika kanisa la Kiodhodox iliyoongozwa na kiongozi wa kanisa hilo Bartholomew wa kwanza.
Papa Francis yuko ziarani Uturuki
Kiongozi wa kanisa Katoliki ulimwenguni, Papa Francis anaanza ziara ya siku tatu nchini Uturuki, lengo likiwa kuhimiza maridhiano kati ya waumini wa kanisa Katoliki wa waumini wa madhebu ya Orthodox.
Jordan yataka kuwepo ustahimilivu kati ya Israel na Palestina
Jordan leo imetaka kuwepo ustahamilivu na utulivu mjini Jerusalem baada ya wapalestina wawili kuwaua watu watano katika sinagogi la wayahudi hapo jana na kuichochea Israel kuanza kubomoa nyumba za washambualiaji
Papa Francis atoa wito wa maridhiano Korea
Papa Francis amewasili Korea ya kusini. Papa Francis anajaribu kuzishawishi nchi hizo kuingia katika majadiliano kwa sababu utanuaji wa misuli kijeshi umechukua nafasi ya majadiliano katika mataifa hayo ya Korea.
Papa ataka mazungumzo ya amani ya kijasiri
Papa Francis amewataka viongozi wa Wapalestina na Israel wakate kiu ya amani ya watu wao kwa mazungumzo ya kijasiri wakati wa mkutano wa sala ya maombi ukiwakutanisha Wayahudi, Wakristo na Waislamu huko Vatican.
Papa awatangaza John wa 23 na John wa Pili watakatifu
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis Jumapili(27.04.2014) amewatangaza watangulizi wake wawili John wa 23 na John wa Pili kuwa watakatifu mbele ya umati uliofurika uwanja wa kanisa la Mtakatifu Petro,Vatican.
Papa Francis aomba amani ulimwenguni
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis katika hotuba yake ya Pasaka Jumapili (20.04.2014) ameshutumu matumizi ya ovyo wakati watu wakikabiliwa na njaa na kutaka kukomeshwa kwa mizozo Syria,Ukraine na Afrika
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 3 wa 4
Ukurasa unaofuatia