You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Wasichana wa Chibok
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Mechi za kufuzu CHAN 2025 zaendelea barani Afrika
Nchi za Tanzania, Kenya na Uganda zinayaandaa mashindano hayo kwa pamoja.
Idadi ya waliokufa kwa mkanyagano Nigeria yafikia 32
Rais wa Nigeria Bola Tinubu ametuma salamu za rambirambi kwa wahanga wa mkasa huo na kusitisha shughuli zake rasmi.
Watoto 35 wapoteza maisha kwenye mkanyagano Nigeria
Watoto 35 wamekufa na wengine sita wamejeruhiwa vibaya katika mkanyagano uliotolea kwenye tamasha la shule moja Nigeria.
Frank-Walter Steinmeier aendelea na ziara yake Afrika
Rais Frank-Walter Steinmeier aelekea Afrika Kusini na Lesotho akitokea Nigeria
Rais Steinmeier asifu mageuzi ya kiuchumi ya Nigeria
Rais wa Nigeria, Bola Tinubu amemwambia Rais wa Ujerumani, kwamba milango ya Nigeria iko wazi katika biashara.
Rais Tinubu awasilisha bungeni miswada muhimu ya kodi
Iwapo miswada hiyo itapitishwa na kuwa sheria, itapunguza ushuru unaotozwa watu binafsi.
Karibu watu 27 wafa maji baada ya boti kuzama, Nigeria
Abiria wengi walikuwa hawajavaa vifaa vya kujiokoa, hali iliyosababisha wengi kuzama majini na kufa.
Akusudia kusafiri kwa pikipiki kutoka Kenya hadi Nigeria
Ebaide Joy anakusudia kuvunja rekodi ya kuwa mwanamke wa kwanza wa kiafrika kusafiri kwa pikipiki kutoka Mombasa hadi Lagos. Miaka 10 iliyopita Ebaide alipata ajali mbaya ya mgongo lakini sasa amepona na bado anataka kutimiza ndoto zake.
Ripoti: Watu milioni 35 ni wakimbizi Afrika sababu ya mizozo
Kufikia mwisho wa mwaka uliopita, bara la Afrika lilikuwa na watu milioni 35 wanaoishi nje ya makazi yao.
Narendra Modi na Rais Tinubuwakutana mjini Abuja, Nigeria
Narendra Modi na Rais Tinubuwakutana mjini Abuja, Nigeria
Nigeria yakopa mamilioni ili kusaidia sekta ya kilimo
Wanigeria wapatao milioni 25 tayari wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula na idadi hiyo inatarajiwa kuongezeka.
Askari 15 wa Chad wauawa katika operesheni ya Boko Haram
Kwa miaka 12 sasa Chad ni mshirika muhimu kwa vikosi vya Ufaransa na Marekani katika kupambana na uasi Afrika Magharibi
Wanajeshi wauwawa Chad katika mapambano na Boko Haram
Wanajeshi kadhaa wa Chad wameuwawa katika makabili na wananamgambo wenye Itikadi kali wa Boko Haram.
Chad yadai kuwaua wanamgambo wengi wa Boko Haram
Rais wa Chad Mahmat Idriss Deby Itno amesema wapiganaji wengi wameuwawa na kujeruhiwa katika mashambulizi ya anga.
Nigeria yawaachia watoto 29 waliokabiliwa na adhabu ya kifo
Ni kutokana na tuhuma za kushiriki katika maandamano ya kupinga kupanda kwa gharama ya maisha nchini humo.
Nigeria yawaachia watoto 29 waliokabiliwa na adhabu ya kifo
Nigeria yawaachia watoto 29 waliokabiliwa na adhabu ya kifo kwa tuhuma za kushiriki maandamano
Watu 76 wafunguliwa mashtaka ya uhaini Nigeria
Hati ya mashtaka imesema washukiwa wamechunguzwa kati ya mwezi Julai na Agosti.
CAF yaipatia Nigeria ushindi wa 3-0 dhidi ya Libya
Mechi hiyo haikufanyika baada ya Nigeria kukwama katika uwanja wa ndege wa mbali wa Libya kwa nusu siku kabla ya mechi.
Nigeria yapewa alama tatu dhidi ya Libya kutokana na hujma
Mechi hiyo haikufanyika baada ya Nigeria kukwama katika uwanja wa ndege wa mbali wa Libya kwa nusu siku kabla ya mechi.
UN: Watu bilioni 1.1 wakabiliwa na umaskini
Zaidi ya watu bilioni moja duniani wanaishi katika umaskini mkubwa.
Mlipuko wa lori la gesi waua 140 na kujeruhi wengi Nigeria
Zaidi ya watu 140 wakiwemo watoto wamefariki dunia huko Nigeria baada ya lori la kusafirisha petroli kulipuka.
Mripuko wa lori la mafuta waua karibu watu 100 Nigeria
Karibu watu 100 wamekufa na wengine 50 wamejeruhiwa kufuatia mripuko wa lori la mafuta kaskazini mwa Nigeria.
Zaidi ya watu 350 wafa kwa kipindupindu nchini Nigeria
Nigeria inakabiliwa na janga hilo katikati ya mafuriko yaliyosababisha karibu watu milioni mbili kuhama makazi yao.
Benki ya Dunia yaiidhinishia Nigeria dola bilioni 1.57
Benki ya Dunia imeidhinisha kitita cha dola bilioni 1.57 chini ya mpango mpya wa kuzisaidia sekta kadhaa nchini Nigeria.
Nigeria yataka Afrika ipewe kiti cha kudumu Umoja wa Mataifa
Makamu wa rais wa Nigeria Kashim Shettima, alisisitiza kuwa Baraza la Usalama linapaswa kupanuliwa na kujumuisha Afrika.
Migogoro Afrika imevuruga elimu kwa mamilioni ya watoto
Zaidi ya shule 14,000 katika maeneo hayo zilifungwa katika robo ya pili ya 2024, ikiwa ni sawa na shule 1,000 zaidi.
Coca-Cola kuwekeza dola bilioni 1 Nigeria
Kampuni ya Coca-Cola inapanga kuwekeza dola bilioni 1 katika kipindi cha miaka mitano ijayo nchini Nigeria.
Mafuriko yasababisha vifo 30 Nigeria
Ezekiel Manzo, msemaji wa Wakala wa Kitaifa wa Usimamizi wa Matukio ya Dharura, alisema kwamba idadi ya waliokufa ni 30
Jaji Nigeria awapa dhamana watu 10 walioshtakiwa kwa uhaini
Jaji mmoja katika mahakama ya Nigeria, amewaachilia kwa dhamana watu 10 waliokuwa wameshtakiwa kwa kosa la uhaini.
04.09.2024 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
China na Nigeria kuhimiza ushirikiano katika masuala ya fedha. Umoja wa Ulaya waikosoa Mongolia kwa kutomkamata rais wa Urusi, Vladimir Putin. Na Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Bobi Wine apigwa risasi na kujeruhiwa mguuni.
Nigeria kuanza kutowa chanjo ya Mpox kuanzia Oktoba 8
Nigeria yatangaza kuanza kutowa chanjo ya Mpox kuanzia Oktoba 8
Karibu wanafunzi 20 wa vyuo vikuu nchini Nigeria watekwa
Nigeria limekuwa taifa linalokumbwa na matukio ya mara kwa mara ya utekaji wa wanafunzi unaofanywa na wanamgambo.
WHO yaitisha mkutano kuujadili ugonjwa wa homa ya nyani
Nchini Nigeria visa 39 vya ugonjwa huo wa homa yanyani vimerekodiwa na tangu mwanzoni mwa mwaka huu.
Maafisa wa michezo nchini Nigeria walaumiwa kwa uzembe
Nigeria inahitaji kutafuta mbinu mpya ya kuhakikisha wanaoendesha michezo ni watu walio na uwezo mkubwa kiufundi.
Nigeria yawakamata waandamanaji waliobeba bendera za Urusi
Polisi ya Nigeria imesema imewakamata zaidi ya waandamanaji 90 waliobeba bendera za Urusi wakati wa maandamano.
Rais wa Nigeria atoa wito wa kusitishwa kwa maandamano
Maandamano nchini Nigeria yameendelea kwa siku ya nne katika maeneo machache ikiwa ni pamoja na mjini Lagos.
Tinubu aahidi kushughulikia madai ya raia
Tinubu ametoa wito wa kusitisha maandamano makubwa ya kupinga ongezeko la gharama za maisha nchini humo.
Rais Tinubu aahidi kushughulikia kero za raia wa Nigeria
Tinubu amejaribu kuwapoza waandamanaji akisema kuwa anaelewa uchungu na sababu zinazochangia maandamano ya karibuni.
Rais wa Nigeria atoa wito wa kusitishwa maandamano
Rais wa Nigeria atoa wito wa kusitishwa maandamano yaliosababisha vifo
Watu 13 wauawa katika siku ya kwanza ya maandamano Nigeria
Maandamano ya kupinga ongezeko la gharama ya maisha nchini Nigeria yanaingia siku yake ya pili hii leo Ijumaa.
Amnesty yasema watu 13 wamefariki maandamano Nigeria
Amnesty yasema watu 13 wamefariki maandamano Nigeria
Polisi Nigeria wafyatua gesi ya machozi kutawanya maandamano
Waandamanaji vijana wanapinga mageuzi ya serikali wanayodai kwamba yamezidisha hali ya maisha kuwa mbaya zaidi Nigeria.
Polisi Nigeria yafyatua mabomu ya machozi kuvunja maandamano
Katika mji wa pili kwa ukubwa Kano, waandamanaji walijaribu kuwasha moto nje ya ofisi ya gavana na kukabiliwa na polisi.
Nigeria yajiandaa kwa maandamano kupinga gharama ya maisha
Maandamano hayo yenye hashtag #EndbadGovernanceinNigeria yamepata uungwaji mkono mkubwa kupitia kampeni ya mitandaoni.
Nigeria yakabiliwa na kitisho cha maandamano wiki hii
Maandamano ya nchini Nigeria yamepangwa kuanza Alhamisi wiki hii.
Jeshi la Nigeria laonya dhidi ya ghasia za mtindo wa Kenya
Mara ya mwisho jeshi la Nigeria lilipotumika kuzima maandamano ni Oktoba 2020 na ilisababisha umuagaji mkubwa wa damu.
Jeshi la Nigeria lawaonya vijana juu ya maandamano ya vurugu
Jeshi la Nigeria limesema limejiandaa kukabiliana na uvunjaji wa sheria.
Jeshi la Nigeria laonya juu ya maandamano ya vurugu
Maafisa wa serikali, vikosi vya usalama na magavana nchini Nigeria wamewarai vijana kujiepusha na maandamano.
Watu 22 wafariki baada ya jengo la shule kuanguka Nigeria
Idadi ya vifo inatajwa kuwa huenda ikaongezeka, kwa kuwa karibu wanafunzi 200 wanaaminiwa walikuwa kwenye jengo hilo
Wanafunzi wafariki baada ya shule kuporomoka Nigeria
Shule moja imeporomoka katika eneo la kati mwa Nigeria leo na kusababisha vifo vya wanafunzi kadhaa.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 20
Ukurasa unaofuatia