You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Wasichana wa Chibok
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Scholz: Ujerumani kukuza mahusiano ya kibiashara na Nigeria
Scholz ambaye ataitembelea pia Ghana, amesema Ujerumani inatarajia pia kuagiza gesi asilia kutoka Nigeria.
Ujerumani kuagiza gesi asilia ya Nigeria - Kansela Scholz
Kansela Olaf Scholz anaanza ziara yake katika mataifa ya Afrika Magharibi ikiwemo Nigeria na Ghana
Nigeria: Mahakama yaidhinisha ushindi wa rais Tinubu
Mahakama nchini Nigeria imeidhinisha ushindi wa Rais Tinubu, na kutupilia mbali rufaa iliyokatwa na vyama vya upinzani
Mahakama ya rufaa Nigeria kuamua rufaa ya uchaguzi wa Tinubu
Uamuzi kuhusiana na ushindi wa Rais Bola Ahmed Tinubu katika kesi ya mwisho ya rufaa ya upinzani kutolewa Alhamisi.
Nigeria yachoma tani 4 za magamba ya kakakuona
Nigeria imechoma tani nne za magamba ya kakakuona yaliyokamatwa ya thamani ya dola milioni 1.4 za Kimarekani.
Kwa nini Afrika lazima iimarishe kilimo cha kisasa ?
Wataalam wameshauri kwamba kuongezeka kwa matumizi ya mashine na teknolojia katika kilimo ni suluhisho muhimu kwa uhaba wa chakula barani Afrika. Lakini kwa nini Afrika inapaswa kuongeza kasi ya matumizi ya mashine ili kupunguza njaa?
Wenyeji wa AFCON Ivory Coast wapangwa kundi moja na Nigeria
Guinea-Bissau na Guinea Ikweta ,ambazo zimefuzu kwa mara ya nne mfululizo, pia zimepangwa katika kundi hilo.
Nigeria yapongeza pendekezo la Algeria kuwa mpatanishi Niger
Algeria inapinga uingiliaji wowote wa kijeshi dhidi ya jirani yake Niger.
Shambulizi la kigaidi laua wanajeshi 29 Niger
Shambulizi la kigaidi laua wanajeshi 29 Niger.
Rais wa Nigeria atangaza nyongeza ya muda ya mishahara
Rais Bola Tinubu wa Nigeria amependekeza nyongeza ya muda ya mshahara kwa wafanyakazi wenye ujira mdogo.
26.09.2023: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Ungana nasi hapa kusikiliza taarifa ya habari za ulimwengu ya asubuhi ya leo
Watu 14 wameuawa na wengine 60 kutekwa nyara nchini Nigeria
Watu wengine sita wauawa katika shmabulio tofauti nchini Nigeria
25.09.2023: Taarifa ya habari ya Asubuhi
Ungana nasi hapa kusikiliza taarifa ya habari za ulimwengu asubuhi hii na makala nyingine maridhawa kabisa.
Wanafunzi 35 wa Chuo Kikuu watekwa nyara Nigeria
Magenge yaliyo na silaha yameshamiri katika eneo la kaskazini-magharibi mwa Nigeria katika miaka ya hivi karibuni.
Majanga ya Libya na Morocco katika magazeti ya Ujerumani
Ripoti kuhusu uhalfu uliofanywa eneo linalokabiliwa na vita la Tigray nchini Ethiopia pia imeangaziwa.
Wapinzani Nigeria ´waukalia kooni´ushindi wa rais Tinubu
Wagombea wakuu wa upinzani nchini Nigeria wamekata rufaa dhidi ya uamuzi wa mahakama uliothibitisha ushindi wa Tinubu.
Marekani yaishauri Nigeria kuwa na sarafu imara
Adeyemo anaizuru Nigeria kusisitiza dhamira ya Marekani kuimarisha uhusiano wa kiuchumi na kibiashara na nchi za Afrika.
Watu wasiopungua 26 wafa katika ajali ya boti, Nigeria
Kwa mujibu wa maafisa hiyo ni ajali ya pili kubwa kuwahi kutokea kwenye eneo hilo ndani ya kipindi cha miezi mitatu.
Watu 26 wafariki dunia kufuatia ajali ya boti nchini Nigeria
Mwezi Julai, zaidi ya watu 100 walikufa wakati mashua iliyojaa kupita kiasi ilipopinduka katika jimbo la Niger
Afrika bado yakabiliwa na uhaba mkubwa wa umeme
Ukosefu wa umeme ni kikwazo kikubwa cha maendeleo iwe katika kupata elimu, huduma za afya au kupata kazi.
Upinzani utakata rufaa kupinga urais wa Tinubu Nigeria
Wagombea wakuu wa upinzani katika nafasi ya urais wa Nigeria wamesema watakata rufaa.
Taarifa ya Habari ya Asubuhi 07.09.2023
Marekani yaipa Ukraine msaada wa dola bilioni moja. Rais wa zamani wa Gabon Ali Bongo aachiwa huru. Na China yajitetea kuhusu mvutano wa bahari ya China Kusini katika mkutano wa jumuiya ya nchi za kusini mashariki mwa Asia.
Mahakama Nigeria kuamua kuhusu ushindi wa Tinubu
Tume ya uchaguzi nchini humo INEC ilikiri kuwepo kwa makosa ingawa ilikana madai kwamba uchaguzi huo ulihujumiwa.
Mgomo wa kupinga sera za uchumi za Tinubu wafanyika Nigeria
Hatua zilizochukuliwa na serikali ya rais Tinubu ambazo chama hicho inapinga ni kufutwa kwa ruzuku ya mafuta ya petroli
Mtawa Melkiori Mehnini ni mateka aliyenusurika Nigeria
Katika mahojiano ya Kinagaubaga Florence Majani anazungumza na Mtanzania mtawa anaejifunza mafunzo ya upadri Melkiori Mehnini miongoni mwa mateka aliyeachiwa huru hivi karibuni nchini Nigeria, baada ya kutekwa na kuzuiwa kwa siku 21.
Taka za Plastiki zinalipa zinavyolipa ada za shule
Tazama mpango wa taka za plastiki huko Lagos Nigeria, unavyotumiwa kulipa ada za watoto shule, huku wakitunza mazingira.
Watu 7 wauawa katika mashambulizi Misikitini Nigeria
Watu waliojihami kwa silaha wamewaua waumini 7 wa dini ya Kiislamu katika jimbo la Kaduna nchini Nigeria.
Tinubu apendekeza miezi 9 ya mpito Niger
Rais wa Nigeria Bola Tinubu amependekeza kuwepo kwa kipindi cha mpito cha miezi 9 kwa utawala mpya wa kijeshi wa Niger.
Algeria yapendekeza miezi sita ya mpito Niger
Kiongozi wake wa mapinduzi anataka kuwepo na muda mrefu zaidi ya huo hadi kutakaporejea utawala wa kidemokrasia.
Jeshi Gabon lampindua rais Ali Bongo Ondimba
Jeshi limesema kupitia TV ya taifa kwamba limechukuwa madaraka baada ya matokeo ya uchaguzi kuchakachuliwa.
Polisi Nigeria yawakamata wanaume 200 mashoga
Wengi wa wanaume waliohudhuria harusi hiyo wanadaiwa kuvaa "nguo za wanawake."
Niger yawatimua mabalozi wa nchi 4 ikiwemo Ujerumani
Ubalozi wa Ufaransa nchini Niger umelikataa tangazo hilo ukisema kuwa Paris, hautambui mamlaka ya watawala wa kijeshi.
Niger, Burkina Faso na Mali zaunda jeshi la pamoja
Rais Macron asema ECOWAS inatelekeza majukumu yake kwa mwendo wa kinyonga.
Libya yawarudisha makwao Wanigeria 161
Mpango huo unafanyika katika wakati baadhi ya nchi ya Afrika Kaskazini zinashuhudia ongezeko la wahamiaji
Makala ya matukio ya juma zima 19.08.2023
Jiunge na Saumu Mwasimba ili kuyasikia matukio muhimu ambayo yamegonga vichwa vya habari mbalimbali.
19.08.2023 Matangazo ya Asubuhi
Marekani, Korea Kusini na Japan zimekubaliana kuimarisha uhusiano wa kijeshi na kiuchumi ili kukabiliana na China na vitisho vya nyuklia vya Korea Kaskazini.
Umoja wa Ulaya kuichukulia hatua kali Niger
Michel alionya kuwepo na hatua kali ikiwa utawala wa kijeshi wa Niger utasababisha afya ya Rais Bazoum kuzorota zaidi.
Wanajeshi 36 wauawa Nigeria
Wanajeshi 36 wa Nigeria wameuawa katika jimbo la kaskazini ya kati la Niger.
Wakuu wa majeshi ECOWAS wakutana kuijadili Niger
Wakuu wa majeshi wa mataifa ya ECOWAS, wanakutana mjini Accra kujadili uwezekano wa kuingilia kijeshi nchini Niger.
Harakati ya 'Linda Niger' kuzinduliwa Jumamosi mjini Niamey
Wizara ya ulinzi ya Niger imesema kwenye taarifa yake kwamba wanajeshi 17 waliuawa katika shambulizi la kuvizia.
Utawala wa kijeshi wa Niger wasema upo tayari kwa mazungumzo
Wakuu wa majeshi wa Jumuiya ya Maendeleo huko Afrika Magharibi, ECOWAS wanajiandaa kukutana Alhamisi na Ijumaa.
Wakuu wa majeshi wa ECOWAS kuijadili Niger
Rais wa Urusi Vladimir Poutine na kiongozi wa kijeshi wa Mali wametoa wito wa suluhisho la amani kwa mzozo huo wa Niger.
ECOWAS na juhudi za kidiplomasia kwenye mzozo wa Niger
Jumuiya ya kikanda ya ECOWAS inafanya juhudi za kutafuta njia za kidiplomasia kubatilisha mapinduzi ya kijeshi ya Niger.
Rais aliyepinduliwa Niger atembelewa na daktari
Rais aliyepinduliwa nchini Niger Mohammed Bazoum leo ameonana na daktari
Mwanafunzi anayeosha magari ili kulipa karo ya chuo kikuu
Bila kujali hali yake katika kutimiza ndoto yake, kijana huyo amekuwa akiosha magari ilikukidhi mahitaji ya shule.
ECOWAS kuunda kikosi cha dharura kwa ajili ya Niger
Wakuu wa jeshi la ECOWAS watakutana Jumamosi katika mji mkuu wa Ghana, Accra, kujadili mapinduzi ya kijeshi Niger.
Hali ya Bazoum yaitia wasiwasi Jumuiya ya Kimataifa
Wakuu wa majeshi wa Jumuiya ya ECOWAS wajiandaa kukutana wiki ijayo kuzungumzia mipango yao
ECOWAS yaidhinisha uvamizi wa kijeshi dhidi ya Niger
Viongozi wa ECOWAS wameidhinisha kutumwa "kikosi cha dharura kurejesha utaratibu wa kikatiba nchini Niger" haraka.
Je, hatua za kijeshi ni mwafaka kwa mzozo wa Niger?
Je, hatua za kijeshi ni mwafaka kwa mzozo wa Niger?
Mzozo wa Niger wazingatiwa na wahariri wa Ujerumani
Mazeti ya Ujerumani wiki hii yamejishughulisha na mzozo unaoendelea kutokota nchini Niger na vita vya Sudan. Wahariri pia wamezungumzia vita vipya vilivyozuka eneo la Tigray nchini Ethiopia na sakata la malipo ya marupurupu ya wachezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Nigeria. Josephat Charo amekuandalia Afrika katika magazeti ya Ujerumani.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 4 wa 20
Ukurasa unaofuatia