You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Hali ya hewa
Iwe mvua au jua - ni suala la mazingira
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Kisiwa cha Mayotte kukabiliwa na kimbunga kipya Jumamosi
Wakaazi wa kisiwa cha Mayotte wanajiandaa kwa dhoruba ya upepo mkali na mvua kubwa Jumamosi Jioni (Januari 11, 2025)
Rekodi zaonyesha 2024 ulikuwa mwaka wa joto zaidi duniani
Mwaka 2024 umeingizwa katika rekodi ya mwaka wa joto zaidi, ukivunja kizingiti muhumu katika kuyatunza mazingira
Watoto 7 wamekufa kutokana na baridi kali huko Gaza
Hata hivyo, Marekani imeonyesha matumaini ya kufikiwa makubaliano ya usitishwaji mapigano na kuachiliwa kwa mateka.
UN yasema watoto 7 wamekufa kwa baridi kali huko Gaza
UN yasema watoto saba wamefariki kutokana na baridi kali huko Gaza.
Hali mbaya ya hewa yaathiri shughuli za ndege Ujerumani
Shirika la Reli la Taifa la Ujerumani Deutsche Bahn (DB), nalo pia limetoa tahadhari kwamba hali mbaya ya hewa.
Shule ya Msitu wa Tembo yasaidiwa taa za nishati ya jua
Wanafunzi wafunga taa za nishati ya jua katika shule ya Msitu wa iliyopo Simanjiro Manyara kaskazini mwa Tanzania.
Mabadiliko ya tabia nchi yasabisha viwango vya juu vya joto
Mamlaka ya Hali ya Hewa ya Ujerumani pia iliripoti mwaka wa joto zaidi kwa Ujerumani tangu rekodi zianze mnamo 1881.
Joshua Kimmich akifunga bao lake la kwanza kwa msimu huu
Joshua Kimmich anaiongoza Bayern Munich kurejea katika njia ya ushindi na hasa baada ya kuichapa RB Leipzig 5-1.
Raia wa Chad kushiriki uchaguzi katika mazingira magumu
Upinzani nchini humo uliosusia uchaguzi huo unatilia shaka uwepo wa demokrasia katika uchaguzi.
Bayern mabingwa wa mzunguko wa kwanza wa Bundesliga
Bayern walinyeshea RB Leipzig 5 – 1 wakati Bayer Leverkusen wakiwakaanga pia Freiburg 5 - 1
Waliokufa kutokana na kimbunga Chido Msumbiji wafika 94
Takriban watu 620,00 wameathirika na kimbunga hicho nchini Msumbiji, wakati 500,000 kati ya hao wakiishi Cabo Delgado.
Uganda: Waliokufa maporomoko ya udongo wafikia 40
Mamlaka zs Uganda zimesema vifo vya maporomoko makubwa ya udongo yaliyotokea kiasi wiki tatu zilizopita vimefikia 40
Kimbunga Chido chaipiga Msumbiji
Tayari athari mbalimbali zimeonekana kufuatia mvua kubwa na upepo mkali kwenye maeneo hayo ya Msumbumbiji na Mayotte.
Mwaka 2024 kuwa mwaka wenye joto zaidi
Shirika la ufuatiliaji wa mabadiliko ya tabianchi la Umoja wa Ulaya, Copernicus, limesema leo kuwa ni hakika mwaka huu u
Vifo vya maporomoko ya udongo Uganda vyafikia watu 28
Vifo vya maporomoko ya udongo Uganda vyafikia 28
UN imetoa wito wa dola bilioni 47 za msaada kwa mwaka 2025
Umoja wa Mataifa watoa wito wa dola bilioni 47 za msaada kwa mwaka 2025
Makubaliano kuhusu taka za plastiki yashindwa kupatikana
Mazungumzo ya wiki nzima kuhusu mkataba wa kihistoria wa taka za plastiki yamekwisha bila makubaliano huko Korea Kusini.
Makubaliano ya kusitisha uchafuzi wa taka za Plastiki bado
Wajumbe watafuta makubaliano ya kusitisha uchafuzi unaotokana na taka za Plastiki
Wanadiplomasia waonya kukosekana mkataba wa taka za plastiki
Karibu mataifa 200 yako Busan nchini Korea Kusini kwa majadiliano ya kuzuia uchafuzi unaotokana na taka za plastiki.
Vifo vya maporomoko ya udongo Uganda vyafikia 20
Mvua kubwa ilisababisha maporomoko hayo yaliyofunika vijiji sita katika wilaya ya Bulambuli.
Uchafuzi utokanao na moto waua watu milioni 1.5 kila mwaka
Watu milioni 1.5 hufariki dunia kila mwaka kutokana na maradhi yanayohusiana na uchafuzi wa moto wa hali ya hewa.
Mizozo, majanga yaongeza wakimbizi wa ndani Barani Afrika
Hadi mwishoni mwa mwaka 2023, watu milioni 35 walikuwa wameyakimbia makazi yao kwenye mataifa mbalimbali ya Afrika.
Mambo muhimu kuhusu makubaliano mapya ya Tabianchi
Makubaliano ya dola 1.3 trilioni kila mwaka hadi 2035 kwa nchi maskini yatasaidia kupambana na mabadiliko ya tabianchi.
Greenpeace yachukizwa na makubaliano ya COP29
Shirika la Greenpeace limesema wapatanishi walikuwa wametilia maanani maslahi ya mataifa yanayozalisha mafuta.
COP 29 yaingia katika siku ya ziada Azerbaijan
COP 29 yaingia katika siku ya ziada Azerbaijan
Viongozi wa G20 kujadili maendeleo na nishati safi
Mkutano wa kilele wa kundi la nchi tajiri na zile zinazoinukia kiuchumi la G20 unaingia siku ya pili huko Brazil.
Viongozi wa G20 wanakutana Brazil kujadili mazingira
Viongozi wa G20 wanakutana Brazil leo wajiandaa kujadili kuhusu mabadiliko ya tabia nchi
Ujerumani yaahidi kufadhili viwanda kwenye nchi masikini
Viwanda ni moja ya vyanzo vikubwa vya uzalishaji na usambazaji wa hewa ukaa ulimwenguni.
Mataifa tajiri yaombwa kufanikisha mazungumzo ya mazingira
Mataifa yameshindwa kukubaliana kuhusu mkataba wa dola trilioni 1 kwa ajili ya uwekezaji wa miradi ya hali ya hewa.
Guteress awatolea wito viongozi wa G20 kuhusu COP29
Mazungumzo ya COP29 mjini Baku yamekwama licha ya wiki moja ya majadiliano.
G20 yahimizwa kutanzua mkwamo wa mazungumzo ya COP29
Mkuu wa sera ya mabadiliko ya tabianchi wa Umoja wa Mataifa, ahimiza G20 kutanzua mkwamo wa mazungumzo ya COP29.
Wanaharakati wa tabianchi wafanya maandamano mjini Baku
Wadau wakuu katika sekta ya mafuta leo wamehudhuria mkutano wa kilele wa mazingira wa Umoja wa Mataifa COP29 mjini Baku.
Urusi yaishambulia Ukraine, mtu mmoja auawa, 10 wajeruhiwa
Urusi na Ukraine zimeendelea kushambuliana na kusababisha uharibifu mkubwa na hasa kwenye miundombinu.
Mkutano wa COP29 waghubikwa na joto la kidiplomasia
Jopo linaloongozwa na Ufaransa, Kenya na Barbados lasema plastiki na sarafu za siri zinaweza kutozwa ushuru.
Juhudi za wanawake kukabili athari za tabia nchi
Wanawake kutoka kote barani Afrika chini ya Msaada wa Wataalamu wa Kundi la Afrika la Wapatanishi (AGNES) wamezindua kampeni ya kuwawezesha wanawake kujumuishwa ili kushawishi mamlaka inayosimamia mipangilio ya hali ya hewa kwa kuhimiza masuala ya wanawake kuzingatiwa wakati wa kutenga bajeti na kubuni mikakati. Kwenye makala hii, Wakio Mbogho, anachanganua zaidi
Tofauti zaibuka katika mkutano wa COP29
Viongozi wa dunia wanatofautiana juu ya njia za kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa.
COP29: Mataifa masikini yapewe fedha zaidi
Rasimu mpya ya mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya hewa imetolewa ikihimiza mataifa masikini kupewa fedha zaidi.
IMF na Benki ya Dunia kuendelea kushirikiana na Trump
IMF na Benki ya Dunia wametoa wito wa sekta binafsi kwenye mataifa yanayoendelea kuendelea kufadhiliwa.
Uzalishaji wa mafuta ya visukuku waongezeka mwaka 2024
Uzalishaji wa kaboni kutokana na matumizi ya nishati ya kisukuku unakadiriwa kuongezeka kwa asilimia 0.8 mwaka 2024.
Azerbaijan yashtumu mataifa ya Magharibi kwa kuiharibia sifa
Uingereza yaahidi kupunguza uzalishaji wake wa gesi chafuzi kufikia mwaka 2035.
Guterres: Tuendelee kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi
Guterres awataka viongozi katika mkutano wa COP29 kuchanga pesa za kuzuia majanga ya yanayosababishwa na hali ya hewa.
Marekani yaahidi kuendeleza juhudi, kuzuia ongezeko la joto
Mataifa yamekuwa yakipambana kuhakikisha wanazuia ongezeko zaidi la joto duniani ili kupunguza athari zaidi.
WMO yatahadharisha kuhusu kasi ya mabadiliko ya tabianchi
WMO imewasilisha ripoti yake kuhusu hali ya joto duniani kwa mwaka 2024 wakati wa mkutano wa kilele wa mazingira COP29.
Mkutano wa kilele wa mazingira COP29 waanza Azerbaijan
Shinikizo zaongezeka kutoka kwa nchi zinazoendelea za mahitaji ya ufadhili wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.
Mkutano wa kilele wa mazingira - COP29 waanza Azerbaijan
Ajenda kuu ya COP29 ni upatikanaji wa dola trillioni 1 katika ufadhili wa kila mwaka kwa ajili ya nchi zinazoendelea.
Biden awataka Wamarekani "kutuliza joto la kisiasa"
Rais wa Marekani Joe Biden amelihutubia taifa akiahidi kukabidhi madaraka kwa njia ya amani kwa Donald Trump.
Kina cha maji katika Ziwa Turkana kimeongezeka
Ziwa Turkana lililoko kaskazini mwa Kenya ni la kipekee duniani kwani ni la jangwani na lenye umuhimu kwa wavuvi.
COP29: Mataifa tajiri yakamilishe ahadi ya fedha
Amnesty imesema nchi tajiri lazima zitimize ahadi ya kulipa fedha katika mkutano wa mazingira wa mwaka huu, COP29.
Papua New Guinea yatangaza kususia mkutano wa COP29
Serikali yasema mkutano huo ni kupoteza muda na ahadi tupu kutoka kwa nchi zinazoosababisha zaidi uchafuzi wa mazingira.
Kimbunga Kong-rey chapiga Taiwan
Masoko ya fedha yamefungwa na mamia ya safari za ndege kufutiliwa mbali kufuatia kimbunga Kongo-rey.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 27
Ukurasa unaofuatia