You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Martin Schulz
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
G7 kuachana na makaa ya mawe ifikapo 2035
Kundi la nchi tajiri kiviwanda (G7) zimekubaliana kuhusu muda wa mwisho wa matumizi ya makaa ya mawe ifikapo mwaka 2035
Tshisekedi asisitiza msimamo wake wa kutozungumza na M23
Rais Tshisekedi amezungumzia juhudi za kurejesha amani mashariki mwa nchi yake na kuwataka wawekezaji kuwekeza Kongo.
China yaelezea madai ya Ujerumani kuwa ya kizushi
Serikali ya China imeionya Ujerumani kuwa makini isije ikatia doa mahusiano ya mataifa hayo mawili kufuatia kashfa hiyo.
Ujerumani, Uingereza kuendelea kuisaidia Ukraine
Viongozi wa Ujerumani na Uingereza wameahidi kuendelea kuisaidia Ukraine
Ujerumani kuanza tena ushirikiano na UNRWA
Ujerumani inapanga kurejesha ushirikiano na Shirika la Umoja wa Mataifa linalotoa misaada kwa wakimbizi wa Kipalestina.
Rishi Sunak kukutana na Kansela Scholz nchini Ujerumani
Viongozi hao wawili wanatarajiwa kutangaza mipango ya ushirikiano wa kijeshi.
Polisi Ujerumani wamkamata msaidizi wa mwanasiasa wa AfD
Maafisa wa Polisi Ujerumani wamkamata Jian G msaidizi wa mwanasiasa wa AfD kwa kuifanyia ujasusi China.
Rais wa Ujerumani kuanza ziara nchini Uturuki
Kituo cha kwanza cha ziara yake itakuwa mji wa Istanbul, ambapo atakutana na wanaharakati wa mashirika ya kiraia.
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Yafahamu yaliyoandikwa kuhusu Afrika katika magazeti ya Ujerumani wiki hii
Waziri wa uchumi wa Ujerumani Robert Habeck awasili Ukraine
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa mataifa ya G7 wapo nchini Italia kujadili namna ya kuisaidia Ukraine
Naibu Kansela wa Ujerumani afanya ziara ya ghafla Ukraine
Habeck ameitembelea Ukraine kujadiliana hatua za kulijenga upya taifa hilo kufuatia uvamizi wa Urusi.
Mawaziri wa Uingereza na Ujerumani ziarani Israel
Rais wa Israel Isaac Herzog amefanya mazungumzo na mawaziri wa mambo ya nje wa Uingereza na Ujerumani.
Scholz akutana na Rais Xi siku ya mwisho ya ziara yake China
Kansela Scholz anatarajiwa pia kukutana na Waziri Mkuu wa China, Li Qiang kuzungumzia mzozo unaondelea wa Taiwan
Scholz ayaweka mezani ´masuala mazito´ ziara yake China
Katika ziara hiyo ya siku tatu, Scholz pia aliutembelea mji wa Shanghai ambao ni kitovu cha biashara.
Afrika katika Magazeti ya Ujerumani
Yafahamu yaliyoandikwa na magazeti ya Ujerumani wiki hii
Taiwan yamtaka Scholz aionye China isiivamie kijeshi
Taiwan inatazamia Kansela wa Ujerumani ataipa angalizo China isikiingilie kijeshi kisiwa hicho kinachojitawala.
Haniyeh: Vifo vya wannagu Israel inajidanganya
Shirika la Lufthansa limesema lilisimamisha safari hizo kuanzia Aprili 6 hadi leo tarehe 11.
Ujerumani yajitetea katika mahakama ya ICJ
Nicaragua yaitaka Ujerumani kusitisha msaada wa silaha kwa Israel.
Wanajeshi wa Ujerumani wawasili Lithuania kwa mara ya kwanza
Viongozi wa Lithuania wameisifu hatua ya kihistoria ya Ujerumani ya kuanza kupeleka wanajeshi katika taifa hilo la Balti
Nicaragua yataka Ujerumani isiiuzie silaha Israel
Nicaragua imeiomba Mahakama ya Kimataifa ya Haki, ICJ kuiagiza Ujerumani kuacha kuiuzia silaha Israel
Mahakama ya Haki yaanza kusikiliza kesi dhidi ya Ujerumani
Mahakama ya Kimataifa ya Haki, ICJ ya mjini The Hague imeanza hii leo kusikiliza kesi iliyowasilishwa na Nicaragua, inay
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Yafahamu yaliyoandikwa na magazeti ya Ujerumani wiki hii
Ujerumani: Sheria mpya ya watumishi wa umma yaanza kutumika
Hatua za kinidhamu dhidi ya watumishi hao wa umma sasa zinaweza kufanyika kwa haraka na urahisi.
Urusi na Ukraine waendelea kushambuliana
Balozi wa Ukraine nchini Ujerumani Oleksii Makeiev amekanusha madai ya Urusi kwamba wanahusika na shambulizi la Moscow
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
die tageszeitung linazungumzia juu ya mashambulio yaliyofanywa na wanajeshi wa Uganda dhidi ya waasi wa ADF.
Terstegen: Tanzania irahisishe upatikanaji wa vibali
Balozi wa Ujerumani Tanzania Thomas Terstegen, ameiomba serikali ya Tanzania, kurahisisha mchakato wa upatikanaji wa vib
Scholz: Hatutakubali amani ya Ukraine iamuliwe na Urusi
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amesema Urusi haina nguvu kama inavyofikiriwa.
Scholz: Nina sababu za kutoipa Ukraine makombora ya Taurus
Scholz ameelezea hofu yake kwamba kwa kuipa Ukraine silaha kutaisukuma Ujerumani kwenye mzozo wa moja kwa moja na Urusi.
Biden asafisha njia Georgia kwa tiketi ya kuwania urais
Biden asafisha njia kwa tiketi ya kuwania urais Georgia
Kesi ya rufaa ya chama cha AfD yaanza Ujerumani
Idara ya ujasusi ya Ujerumani imeiorodhesha AfD na tawi lake la vijana kama makundi ya itikadi kali ya mrengo wa kulia.
Mzozo kuhusu makombora ya Taurus Ukraine waendelea Ujerumani
Nchini Ujeumani mzozo huo kuhusu kupeleka makombora ya Taurus Ukraine unaendelea na kuchochewa kisiasa.
Wasoshalisti waondolewa madarakani Ureno
Chama tawala cha Kisoshalisti kimeshindwa kwenye uchaguzi wa bunge uliofanyika siku ya Jumapili (Machi 10).
Germany: Jinsi ya kuilinda Mahakama ya Juu
Wanasheria nchini Ujerumani wanaandaa mipango ili kuilinda mahakama ya juu dhidi ya uwezekano wa kuhujumiwa.
Ujerumani yatoa uchunguzi wa awali wa mazungumzo yaliovuja
Boris Pistorius azungumzia udukuzi
Waziri wa Ujerumani aonya juu ya ugaidi kanda ya Sahel
Waziri wa maendeleo wa Ujerumani aonya juu ya ugaidi kanda ya Sahel
Ujerumani yakanusha kuitishwa kwa balozi wake Moscow
Kauli hiyo inakanusha taarifa za vyombo vya habari kwamba balozi Alexender Lambsdorff aliitishwa kujieleza huko Moscow.
Waziri wa Ujerumani aonya kuhusu ushawishi wa Urusi Sahel
Onyo la waziri Svenja Schulze amelitoa wakati akianza ziara yakeya Burkina Faso na Benin.
Balozi wa Ujerumani mjini Moscow aitishwa kujieleza
Urusi ilisambaza rikodi ya sauti ya maafisa wakuu wa jeshi la Ujerumani wakijadili taarifa za siri kuhusu vita Ukraine.
Watu waliokamtwa Berlin sio washukiwa wanaotafutwa wa RAF
Waliokamatwa jumapili Berlin sio magaidi wa kikundi cha mrengo wa kushoto cha Red Army Faction RAF.
Urusi yavujisha nyaraka za siri za maafisa wa Ujerumani
Urusi yasambaza sauti ya maafisa wakuu wa jeshi la Ujerumani wakijadili taarifa za siri kuhusu silaha za Ukraine.
Washukiwa wa kundi la RAF wakamatwa Ujerumani
Polisi wa Ujerumani wamewakamata watu wawili wanaoshukiwa kuhusika na kundi la Red Army Faction (RAF) mjini Berlin.
Trump na Biden: Wagombea 2 wazee wawania wapigakura vijana
Je, umri wa Biden na Trump una jukumu katika uchaguzi wa raiswa Marekani, na wanaweza kuwavutia kwao wapigakura vijana?
Ujerumani yachukua nafasi ya tatu Ulaya na kufuzu Olimpiki
Timu ya taifa ya kandanda ya Ujerumani kwa wanawake, imejikatia tiketi ya kushiriki mashindano ya mwaka huu ya Olimpiki
Kanisa Katoliki Ujerumani lapinga mrengo mkali wa kulia
Maaskofu Katoliki wa Ujerumani wameelezea wasiwazi kupinga siasa kali za mrengo wa kulia, na kujitenga na AfD.
Bundestag yapinga kuipatia Ukraine makombora ya Taurus
Uamuzi huu ni pigo kwa serikali mjini Kyiv ambayo imekuwa ikiitaka Ujerumani kuipatia makombora hayo ya kisasa
Ni hatari kwa Ujerumani kupeleka meli yake bahari ya sham
Waziri wa ulinzi wa Ujerumani amesisitiza kwamba mpango huo ni ishara ya kuonesha Ujerumani inawajibika kimataifa.
Mizozo ya ulimwengu yagubika mkutano wa Munich
Mkutano huo wa siku tatu pia umegubikwa na taarifa za kifo cha mkosoaji wa Rais wa Urusi Vladmir Putin, Alexei Navalny.
Seneta Vance: Trump hatoitelekeza NATO dhidi ya adui
Seneta Vance: Trump hatoitelekeza NATO
China: China, Ujerumani kuendelea na biashara wazi na huria
China: China na Ujerumani kuendelea na biashara wazi na huria
Mkutano wa Usalama wa Munich unamalizika kwa mjadala wa Gaza
Mkutano wa Usalama wa Munich unamalizika kwa mjadala wa Gaza
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 5 wa 47
Ukurasa unaofuatia