You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Matangazo
GIZ - Shirika la ushirikiano wa kimataifa la Ujerumani
Shiriaka la GIZ linaisaidia serikali ya Ujerumani katika nyanja ya ushirikiano wa kimataifa.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Scholz ahofia kutumwa wanajeshi wa Korea kaskazini, Ukraine
Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine amearifu juu ya kupelekwa wanajeshi wa Korea Kaskazini nchini Ukraine hivi karibuni.
Afrika katika Magazeti ya Ujerumani
Yafahamu masuala ya Afrika yaliyoangaziwa na magazeti ya Ujerumani.
Ujerumani yataka kuimarisha ushirikiano wa ulinzi na India
Ujerumani inataka kukuza ushirikiano na India katika sekta za ulinzi. Inataka pia kuyaleta majeshi ya nchi hizo karibu.
Ujerumani, India zalenga kuimarisha ushirikiano wa ulinzi
Ujerumani, India zalenga kuimarisha ushirikiano wa ulinzi
Mkutano wa Uturuki na Afrika kufanyika wiki ijayo Djibouti
Mkutano wa kuimarisha ushirikiano wa Uturuki na Afrika kufanyika wiki ijayo Djibouti
Israel na Hezbollah washambuliana maeneo muhimu
Jeshi la Israel na kundi la Hezbollah wameendelea kushambuliana katika maeneo ya kimkakati ikiwemo ya kuhifadhi silaha.
Ushirikiano wa Ujerumani na Tanzania kuimarisha michezo
Vijana wa Kitanzania kutoka Mwanza, Zanzibar, Tanga na Moshi ni miongoni mwa wanufaika wa mafunzo yatakayotolewa na wakufunzi wa mchezo wa wavu kutoka Ujerumani. Ushirikiano wa nchi hizo mbili unakusudia kuimarisha sekta ya michezo haswa kwa chipukizi wa Tanzania.
Ujerumani na Austria zawaita mabalozi wa Korea Kaskazini
Austria imeonya uungaji mkono huo wa Korea Kaskazini unakiuka sheria za kimataifa na usalama wa Ulaya na rasi ya Korea.
Uingereza na Ujerumani kuimarisha ushirikiano wa ulinzi
Uingereza na Ujerumani kuimarisha ushirikiano wa ulinzi
Mo Ibrahim: Maendeleo kuhusu utawala bora Afrika yakwama
Maendeleo kuhusu utawala bora Afrika yakwama: Wakfu wa Mo Ibrahim
Wakuu wa mashirika ya fedha kujadili maendeleo ya kimataifa
Kuna wasiwasi kwamba uchaguzi wa Marekani unaweza kuchochea vita vipya vya kibiashara pamoja na kuharibu ushirikiano.
Wapandikizwa ini baada ya kula uyoga wenye sumu Ujerumani
Ujerumani imekuwa na utamaduni wa watu kuchuma uyoga porini haswa katika msimu wa mapukutiko.
Mbaroni kwa kupanga mashambulizi dhidi ya ubalozi wa Israel
Raia wa Libya amekamatwa nchini Ujerumani kwa shutuma za kupanga mashambulizi dhidi ya ubalozi wa Israel mjini Berlin.
Biden na viongozi wa Ulaya wasisitiza ukomeshaji vita Gaza
Biden amefanya ziara yake fupi nchini Ujerumani wiki chache kabla ya uchaguzi wa Marekani.
Biden yuko Berlin kwa mazungumzo ya Ukraine na M. Kati
Na kukiwa na uchaguzi wa rais wa Marekani ambao unazua wasiwasi kuhusu nguvu yake katika utatuzi wa vita hivyo baadae.
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Matukio ya barani Afrika yaliyozingatiwa na magazeti ya Ujerumani mnamo wiki hii ni pamoja na idadi yinayoongezeka ya wakimbizi kutoka jimbo la Darfur wanaoelekea nchini Chad. Juu ya kuongezeka maambukizi ya mpox kwenye nchi kadhaa za Afrika. Je yuko wapi Rais Paul Biya wa Cameroon? Mtayarishaji, Zainab Aziz.
Rais Joe Biden amewasili mjini Berlin kwa ziara fupi
Rais Biden aliwasili mjini Berlin Alhamis jioni na atafanya mazungumzo mapema siku ya Ijumaa na viongozi wa Ujerumani.
Je, Marekani itaendeleza ushirika na Ulaya baada ya Biden?
Rais Joe Biden atakuwa rais wa kwanza wa Marekani tangu George H. W. Bush kutunukiwa Tuzo ya Federal Cross of Merit.
Biden kukutana na viongozi wa Ulaya Ijumaa
Rais wa Marekani Joe Biden atafanya ziara nchini Ujerumani Ijumaa ambapo atakutana na Kansela Olaf Scholz mjini Berlin.
Wanafunzi wa Kijerumani Wasaidia Shule Tanzania
Ukosefu wa nishati ya uhakika katika baadhi ya shule umeipa sababu shule ya Helene Lange kuweka ushirikiano na shule ya sekondari ya Msitu wa Tembo iliopo Manyara Tanzania, shule hiyo inaona manufaa kwa sasa ikiwemo uhakika wa nishati mbadala.
Umoja wa Ulaya na Ghuba wakutana kujadili Gaza na Ukraine
Kusanyiko hili ni la kwanza na la kipekee baina ya pande hizo kwa matumaini ya kupunguza kitisho huko Mashariki ya Kati.
Yvonne Aki-Sawyerr, mshindi wa tuzo ya Ujerumani kwa Afrika
Meya wa Freetown, Sierra Leone, Yvonne Aki-Sawyerr, ndiye mshindi wa Tuzo ya Ujerumani kwa Afrika 2024.
Yvonne Aki Sawyerr ashinda Tuzo ya Ujerumani kwa Afrika
Meya wa mji mkuu wa Sierra Leone, Freetown, atunukiwa tuzo ya Ujerumani kwa Afrika. Yvonne Aki-Sawyerr ametuzwa kwa kujitolea kwake kwa wakaazi wa mji wake. Aliubadilisha mji wa Freretown kuwa bora kuishi kwa miaka sita pekee. Aliboresha huduma ya utupaji taka, usambazaji maji na anaendelea kuboresha hali ya mji huo hata zaidi. #DWKiswahili
EU na mataifa ya Ghuba zazungumzia migogoro na ushirikiano
Ushirikiano wa kimkakati sio tu kuhusu usalama. Unahusu pia biashara, misaada ya maendeleo na mabadiliko ya kidigitali
Changamoto na mchango wa wanawake vijijni katika maendeleo
Siku ya Wanawake wa vijijini inaadhimisha mchango wa kundi katika maendeleo na ustawi wa dunia.
15.10.2024: Taarifa ya habari za asubuhi
Sikiliza taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahli
Senegal yaweka ajenda kabambe ya maendeleo
Serikali nchini Senegal kupunguza nakisi na madeni yake.
Ujerumani, na Kenya kuimarisha mafunzo ya Kijerumani
Serikali ya Ujerumani imeanzisha mpango wa mafunzo ya Kijerumani kwa vyuo vikuu viwili vya Kenya kuandaa wafanyakazi.
Wafanyakazi wazidisha masaibu ya kampuni ya Volkswagen
VW inakabiliwa na hali ngumu ya kifedha, wakati huo huo, wafanyakazi wanadai mishahara ya juu na usalama wa ajira.
Kremlin: Putin yuko tayari kwa mazungumzo na Kansela Scholz
Kauli ya Peskov ilikuwa ikijibu taarifa ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani.
Rais Biden kufanya ziara fupi nchini Ujerumani wiki ijayo
Ziara ya awali ya Biden nchini Ujerumani ilikuwa ifanyike kati ya Oktoba 10 na 12, 2024.
Matangazo ya mchana: 12.10.2024
Ukraine na Urusi zashambuliana kwa droni usiku kucha. Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya bunge la Ujerumani asema Ujerumani inahitaji jeshi kubwa zaidi. China yatishia kuweka vikwazo vya kiuchumi kwa Taiwan.
Ujerumani inahitaji kuongeza wanajeshi
Ujerumani inahitaji wanajeshi wengine wasiopungua 35,000 ili kukidhi mahitaji mapya ya Jumuiya ya kujihami ya NATO
Ujerumani yainyuka Bosnia 2-1
Timu ya taifa ya Ujerumani imeilaza Bosnia na Herzegovina 2-1 na kuisogelea robo fainali ya Ligi ya Mataifa Ulaya
Ujerumani yaahidi msaada zaidi wa silaha kwa Ukraine
Zelensky amekutana mapema Ijumaa na kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis huko Vatican.
Scholz kufanya ziara Uturuki
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz atafanya ziara nchini Uturuki wiki ijayo kukutana na Rais Recep Tayyip Erdogan.
Afrika katika Magazeti ya Ujerumani
Yafahamu yaliyomulikwa na magazeti ya Ujerumani kuhusu Afrika.
Ujerumani yaanza kuwafunza wafanyakazi kutoka Kenya
Makubaliano ya ajira kati ya Kenya na Ujerumani yameanza kutekelezwa. Karibu wataalamu 500 wataondoka miezi michache ijayo kwa ajili ya kufanya kazi Ujerumani, ingawa bado kuna wasiwasi kuhusiana na Kenya kuondokewa na wasomi. #KurunziUjerumani
Ukaguzi wa mipakani kuendelea Ujerumani
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ujerumani Nancy Faeser amesema Ujerumani itaendelea na udhibiti wa mipaka yake hadi Ulaya it
Marekani kuimarisha ushirikiano na washirika
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken ameelezea matumaini ya kuimarisha ushirikiano na mshirika, waziri mkuu
EU inalenga kurekebisha mahusiano Kusini mashariki mwa Asia
Rais wa Marekani Joe Biden na Xi Jinping wa China hawatahudhuria mkutano wa ASEAN.
Bunge la Ujerumani kujadili ulinzi wa Mahakama ya Katiba
Wabunge wa Ujerumani watajadiliana kuhusu pendekezo la kuimarisha ulinzi wa Mahakama ya Katiba ya nchi hiyo Alhamis, wak
Mkutano wa kilele kuhusu Ukraine huko Ramstein waahirishwa
Mkutano wa ngazi ya juu kuhusu Ukraine uliopangwa kufanyika katika mji wa Ramstein nchini Ujerumani waahirishwa.
Mkutano wa kuujadili usalama wa Ukraine waahirishwa
Mkutano wa usalama wa Ukraine uliopangwa kufanyika katika kambi ya jeshi ya Ramstein nchini Ujerumani umeahirishwa
Mabadiliko katika tamasha la Oktobafest nchini Ujerumani
Sura ya Ujerumani wiki hii inaangazia Halfa ya kila mwaka, maarufu kwa jina la tamasha la oktoba, (Oktoberfest) katika jimbo la Bavaria, kusini mwa Ujerumani, lililomalizika mwishoni mwa wiki iliyopita.
Mbumba: Tumejitolea kwa dhati kwa ushirikiano
Mbumba alizungumzia jinsi msaada wa Ujerumani unavyoweza kutumiwa kuzisaidia jamii zilizoathiriwa na mateso ya ukoloni.
Burkina Faso na Urusi wajadiliana kuhusu ushirikiano
Waziri Mkuu wa Burkina Faso na waziri wa ulinzi wa Urusi wamejadiliana kuhusu kuongeza uhusiano wa kijeshi.
Taarifa ya Habari ya Asubuhi 09.10.2024
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Oktoba 09.10.2024 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW, Bonn.
Taarifa ya Habari ya Asubuhi 08.10.2024
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Oktoba 08.10.2024 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW, Bonn.
Ukraine yashambulia kituo cha mafuta katika eneo la Crimea
Ukraine imesema mashambulizi hayo ni ya kisasi baada ya miundombinu yake ya nishati kushambuliwa na Urusi.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 140
Ukurasa unaofuatia