You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Scotland
Scotland imekuwa sehemu ya Muungano wa Ufalme wa Uingereza na Ireland ya Kaskazini tangu 1707
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Waziri wa fedha wa Uingereza kukutana na wenzake wa EU
Serikali ya chama cha Labour imekuwa ikijaribu kufufua upya uhusiano kati ya Umoja wa Ulaya na Uingereza.
Barnier atarajiwa kujiuzulu kama waziri mkuu wa Ufaransa
Kujiuzulu kwa Barnier kutamaliza wiki kadhaa za mvutano kuhusu bajeti.
Starmer aanza mchakato wa kupunguza makali ya Brexit
Starmer anakwenda Brussels kujaribu kurejesha upya uhusiano wa nchi yake na Umoja wa Ulaya uliotatizwa na Brexit.
Ronaldo afunga bao la 901 katika ushindi dhidi ya Scotland
Ronaldo ameendelea kuthibitisha hadhi yake kama mmoja wa wachezaji bora duniani baada ya kufunga bao lake la 901.
Barnier aanza kukabiliana na vizingiti vya kuunda serikali
Barnier amevitaja vipaumbele vyake kuwa ni elimu, usalama na udhibiti wa uhamiaji.
Rais Macron amteua Michel Barnier kuwa Waziri Mkuu mpya
Ufaransa ilikabiliwa na mkwamo wa kisiasa kwa miaezi kadhaa baada ya uchaguzi kushindwa kutoa mshindi wa moja kwa moja.
Waziri mkuu wa Uingereza Keir Starmer yuko ziarani Berlin
Mahusiano ya Uingereza na jumuiya ya Umoja wa Ulaya yalipwaya baada ya mchakato wa Brexit wa kujiondoa muunganao huo.
Starmer afanya ziara Berlin kujadili mkataba na Ujerumani
aada ya Berlin, Starmer atasafiri kwenda Paris kukutana na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron.
Starmer aahidi kufufua uhusiano na Ulaya
Starmer amewaambia zaidi ya viongozi 45 wa Ulaya kwamba Uingereza itakuwa "rafiki na mshirika wao wa karibu.”
Ujerumani yaibamiza Scotland 5-1 ufunguzi michuano ya EURO
Wenyeji wa kombe la Euro 2024 Ujerumani imefungua pazia michuano hiyo kwa ushindi wa bao 5-1 dhidi ya Scotland.
Ujerumani yachuana na Scotland mechi ya ufunguzi ya Euro2024
Michuano ya Euro 2024 ni michuano ya pili kwa Scotland tangu 1998
Michuano ya Kombe la EURO 2024 kufungua pazia leo Ujerumani
Michuano ya soka ya mataifa ya Ulaya, EURO 2024, inafungua pazia leo nchini Ujerumani.
Ujerumani kuanza kombe la EURO na Scotland
Nyota wa tenis raia wa Uhispania Carlos Alcaraz ashinda taji la mashindano ya tenis ya Paris Open.
Waziri Kiongozi wa Scotland atangaza kujiuzulu
Waziri Kiongozi wa Scotland Humza Yousaf amejiuzulu zaidi ya mwaka mmoja baada ya kuchukua nafasi hiyo.
Waziri Kiongozi wa Scotland atangaza kujiuzulu
Waziri kiongozi wa Scotland Humza Yousaf amejiuzulu leo Jumatatu, kabla ya kura mara mbili za kutokuwa na imani naye.
Macron kuihamasisha tena Ulaya kuacha kuitegemea Marekani
Ulaya imekuwa ikishirikiana kwa kiasi kikubwa Marekani kuisaidia Ukraine katika vita vyake dhidi ya Urusi.
Vurugu bungeni Uingereza kwa maazimio ya Gaza
Bunge la Uingereza lilijaribu kupitisha azimio la usitishaji mapigano ya Gaza lakini mchakato ukaishia kwa vurugu.
Aliyekuwa Waziri Kiongozi wa Scotland Sturgeon akamatwa
Sturgeon amekamatwa na polisi inayochunguza fedha za chama tawala cha Scottish National - SNP kabla ya kuwachiliwa huru
Bunge la Scotland lamthibitisha Yousaf kuwa Waziri kiongozi
Yousaf ataapishwa kama waziri kiongozi katika sherehe itakayofanyika Jumatano, baada ya kupasishwa na Mfalme Charles
Yousaf kuwa waziri kiongozi mpya wa Scotland
Yousaf amepata ushindi finyu katika kinyang'anyiro cha kumrithi Nicola Sturgeon kama kiongozi wa chama cha SNP.
Bunge la Uingereza launga mkono mkataba wa baada ya Brexit
Boris Johnson amekanusha kuwa alilidanganya bunge kuhusu kashfa inayofahamika kama Partygate.
Rishi Sunak azuru Ireland Kaskazini
Waziri Mkuu wa Uingereza Rishi Sunak amezuru Ireland Kaskazini kuvishawishi vyama vya wafanyakazi
Waziri mkuu wa Uingereza Rishi Sunak yuko mjini Belfast
Waziri mkuu wa Uingereza Rishi Sunak yuko Belfast kuipigia debe mipango mipya ya biashara baada ya mkataba wa Brexit
Brussels, London wasifu mfumo mpya kuhusu Ireland Kaskazini
Uingereza na Umoja wa Ulaya wasifu mfumo mpya wa biashara kati ya Ireland na Ireland ya Kaskazini
Uingereza na EU zafikia mkataba wa baada ya Brexit
Uingereza na Umoja wa Ulaya zimefikia makubaliano juu ya kanuni za biashara zitakazotumika huko Ireland Kaskazini.
UK na EU zapiga hatua katika biashara na Ireland Kaskazini
Uingereza na Umoja wa Ulaya wakaribia kupata makubaliano kuhusu biashara na Ireland Kaskazini
Sturgeon awashangaza wafuatiliaji wa siasa za Uingereza
Waziri kiongozi wa Scotland Nicola Sturgeon ametangaza nia yake ya kujiuzulu wadhifa huo baada ya miaka minane uongozini. Je nini kilichomsukuma kuachia ngazi? Rashid Chilumba amezungumza na Ahmed Rajab, mchambuzi wa siasa za kimataifa akiwa mjini London.
Kiongozi wa Scotland atangaza kujiuzulu
Nicola Sturgeon anaondoka kwenye wadhifa huo baada ya kupigania uhuru wa Scotland kwa muda mrefu sana.
Kiongozi wa Scotland Sturgeon atangaza kujiuzulu
Waziri kiongozi wa Scotland Nicola Sturgeon ametangaza nia yake ya kujiuzulu wadhifa huo baada ya miaka minane uongozini
Wakazi wa Uingereza wajutia uamuzi wa Brexit
Lilian Mtono
Uingereza imekuwa ikipitia changamoto nyingi zinazowafanya wengine kuhusisha chanzo cha yote na hatua hiyo ya kujitoa.
Uingereza: Lawama zaongezeka kutokana na athari za Brexit
Hali ya vipato vya Umma wa Uingereza inazidi kuwa mbaya kutokana na kupanda gharama za nishati na mfumuko wa bei
Je Scotland itaruhusiwa kuandaa kura ya kujitenga?
Wabunge wengi Scoltand wameingia bungeni kwa ahadi ya kuhakikisha kura ya kujitenga inafanyika Scotland
Matangazo Ya Asubuhi: 18.10.2022
Mwili wa Malkia Elizabeth kupelekwa London
Mwili wa Malkia Elizabeth wa II wa Uingereza utasafirishwa leo (13.09.2022) kwenda mjini London ukitokea Scotland.
Jeneza la Malkia Elizabeth laanza safari ya mwisho Scotland
Malkia Elizabeth wa pili wa Uingereza atazikwa tarehe 19 London
Mfahamu Liz Truss na safari yake kisiasa
Truss anajiona kama mrithi wa Margaret Thatcher aliyeurudisha uchumi wa Uingereza katika hali nzuri ya ukuaji.
Boris Johnson aaga, Truss kuwa waziri mkuu rasmi
Boris Johnson alitangaza kujiuzulu mapema mwezi Julai baada ya kuandamwa na msururu wa kashfa za kukiuka maadili.
Mbio za kumsaka waziri mkuu mpya wa Uingereza
Mbio za kumsaka waziri mkuu mpya wa Uingereza
Kutoka Brexit hadi Partygate, hatimaye Johnson ajiuzulu
Waziri Mkuu Johnson abwaga manyanga baada ya kuandamwa
Wanawake watakiwa kujisogeza katika nafasi za kutoa maamuzi
Siku mbili kabla ya mkutano wa kilele wa marais wa nchi za jumuiya madola kufanyika Kigali Rwanda, umefanyika mkutano mkuu wa wanawake viongozi kutoka nchi za jumuiya hiyo ya madola. Wanawake wamewataka wanawake wenzao kujiamini na kuhakikisha wanajisogeza katika nafasi za kutoa maamuzi. Sikiliza ripoti ya Sylivanus Karemera kutoka Kigali.
Boris Johnson ziarani Belfast kuhusu mzozo wa Brexit
Johnson anafanya ziara hiyo kuhimiza uundwaji wa mamlaka ya kugawana madaraka, unaozuiwa na mabishano ya Brexit.
FIFA yaahirisha mechi ya Ukraine v Scotland
Shirikisho la soka ulimwenguni FIFA limekubali ombi la Ukraine la kuahirisha mechi ya mchujo na Scotland.
Boris Johnson: Shujaa wa Brexit anaezongwa na 'partygate'
Kwa wakosoaji wake, ukweli umeanza kumtia kitanzi mwanasiasa alietaja na David Cameron kama nguruwe aliepakwa mafuta.
Johnson: Makubaliano ya COP26 ni ya kihistoria
Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson ameyasifu makubaliano ya mkutano wa mabadiliko ya tabianchi wa mjini Glasgow.
Ulimwengu wasubiri mkataba wa COP26
Wawakilishi wa mataifa duniani wanaohudhuria mkutano wa COP26 bado wanapigania uwezekano wa kufikia mkataba.
Masuala tete hayajateguliwa katika mkutano wa COP26
Mkutano wa COP26 umeingia wiki ya mwisho Jumatatu, lakini nchi bado zinatofautiana kuhusu masuala tete.
Ulaya yawasilisha mapendekezo kuepusha mzozo mpya wa Brexit
Kwenye mpango huo bidhaa nyingi za vyakula hazitatakiwa kukaguliwa zinapoingizwa Ireland Kaskazini kutokea Uingereza.
Uhaba wa mafuta Uingereza waathiri huduma muhimu kama uuguzi
Haya yanajiri wakati jeshi limewekwa tayari kusaidia kusuluhisha hali tete ya uhaba wa mafuta nchini humo.
England yaibwaga Czech, Croatia yaiondoa Scotlan
Raheem Sterling ndiye aliyeipatia England ushindi kwa goli pekee lilofungwa kwenye mechi hiyo dhidi ya Jamhuri ya Czech
Biden, Johnson wakutana kwa mkataba mpya
Ireland ya Kaskazini inayatikisa mahusiano maalum na ya kijadi kati ya Uingereza na koloni lake la zamani, Marekani.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 8
Ukurasa unaofuatia