You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Edward Snowden
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Hafla ya kuapishwa Trump kufanyika ndani ya jengo la Bunge
Hii itakuwa ni mara ya kwanza katika muda wa mikaa 40.
Baada ya Korea Kaskazini, Urusi yasaini mkataba wa ushirikiano na Iran
Rais wa Urusi Vladimir Putin na mwenzake wa Iran Masoud Pezeshkian wafanya mazungumzo kwenye Ikulu Kremlin Ijumaa kabla ya kusaini mkataba mpana wa ushirikiano ili kuimarisha ushirikiano wao huku kukiwa na vikwazo vikali vya nchi za Magharibi.
Serikali ya Sudan yalaani vikwazo dhidi ya al-Burhan
Jeshi la Sudan limesisitiza kuwa al-Burhan anapambana ili kuwalinda watu wa Wasudan dhidi ya njama ya mauaji ya kimbari.
Sudan yalaani vikwazo vya Marekani dhidi ya Burhan
Marekani imeliwekea vikwazo jeshi la Sudan na wanamgambo wa RSF.
Biden aonya juu ya tishio kwa demokrasia Marekani
Rais Joe Biden amesema Marekani inaangukia mikononi mwa matajiri wachache na ni hatari ikiwa hawatadhibitiwa.
Biden atoa hotuba ya kuaga na kuhofia utawala ujao wa Trump
Biden amesema utawala wa matajiri hao unachora sura mpya ya Marekani na unatishia demokrasia, haki za msingi na uhuru.
Makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza yafikiwa
Viongozi mbalimbali wa ulimwengu wamepongeza hatua hiyo wakiitaja kuwa fursa ya kukomesha kabisa vita hivyo.
Makubaliano ya kuvimaliza vita vya Gaza bado yasubiriwa
Afisa wa Qatar anayehusika katika mazungumzo hayo ameeleza matumaini kwamba makubaliano yanakaribia kufikiwa
Makubaliano ya kusitisha vita vya Gaza yanukia
Mashambulizi yanaendelea katika Ukanda wa Gaza licha ya wajumbe kuendeleza mazungumzo ya kusimaisha vita
Jimbo la 51 la Marekani? Canada inavojiandaa kumkabili Trump
Marekani na Canada zina uhusiano mkubwa wa kiuchumi, hivyo mzozo wa kibiashara kati yao unaweza kuwa na athari kubwa.
Mkutano wa kuisaidia Syria wafanyika Saudi Arabia
Mazungumzo hayo yanalenga kuiondolea vikwazo serikali ya sasa ya Syria baada ya kuanguka utawala wa Assad.
Nchi za magharibi za kosoa vikali kuapishwa kwa Maduro
Marekani yasema haitambui uchaguzi wa Maduro kama rais wa Venezuela na imeahidi dola milioni 25 kwa kukamatwa kwake.
Wapatanishi wapiga hatua katika juhudi za makubaliano Gaza
Marekani na nchi za Kiarabu wamepiga hatua katika juhudi za kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza.
Kauli za Trump zakemewa vikali na viongozi duniani
Kauli ya Trump ya kutishia kisiwa cha Greenland na Canada imekemewa vikali na viongozi wa Canada na nchi za magharibi.
Kiongozi wa RSF, Mohammed Daglo awekewa vikwazo
Marekani yasema hatua yake hailengi kuunga mkono upande wowote kwenye vita vya Sudan
Trump akosolewa kwa kuashiria kuzitwaa Greenland, Canada
Trump ametowa kauli hiyo chini ya wiki mbili kabla ya kuapishwa rasmi kurejea kwenye Ikulu ya Whitehouse.
Marekani yaishutumu Urusi kwa kufadhili vita Sudan
Marekani yadai kwamba Moscow imekuwa ikichochea kuendelea kwa mgogoro Sudan ili kufanikisha malengo yake ya kisiasa.
Waziri Mkuu wa Canada ajiuzulu kufuatia shinikizo za chama
Justin Trudeau ametangaza kujiuzulu baada ya kukabiliwa na ongezeko la upinzani ndani ya chama chake na kote nchini.
Upinzani waapa kuchafua shughuli ya kuapishwa Maduro
Wasiwasi umetanda nchini Venezuela wakati upinzani ukiapa kuichafua kuapishwa Maduro kwa muhula mwengine.
Trump bado anakabiliwa na hukumu ya kumlipa kahaba
Trump bado anakabiliwa na uwezekano wa kuhukumiwa wiki hii kwenye kesi yake ya kumlipa kahaba.
Congress yathibitisha ushindi wa Trump
Uchaguzi wa Novemba 9 ulimpa Trump ushindi wa kishindo dhidi ya Kamala miaka minne baada ya kukataa kushindwa.
Waziri wa mambo ya nje wa Syria aitembelea UAE
Umoja wa Falme za Kiarabu una wasiwasi na watawala wapya wa Syria wenye misimamo ya itikadi kali za kiislamu.
Wamarekani wenye asili ya kiarabu wana matumaini na Trump?
Hasa ukizingatia mzozo unaoendelea Mashariki ya Kati na kukatishwa tamaa na utawala wa Rais Joe Biden.
Viongozi wa ulimwengu wamuenzi Jimmy Carter
Marekani yasema dunia imempoteza kiongozi shupavu, mwanasiasa na mfadhili wa misaada ya kibinadamu.
Biden atangaza msaada mpya wa dola bilioni 2.5 kwa Ukraine
Biden atangaza msaada mpya wa dola bilioni 2.5 kwa Ukraine
Rais wa zamani wa Marekani Jimmy Carter afariki
Jimmy Carter alijulikana kwa kazi yake ya kibinadamu na alishinda Tuzo ya Amani ya Nobel mnamo mwaka wa 2002.
Mazishi ya waziri mkuu wa zamani wa India Singh yaanza
Mazishi ya kitaifa kwa Waziri Mkuu wa zamani wa India Manmohan Singh yaanza
Trump aiomba mahakama kusitisha marufuku dhidi ya TikTok
Donald Trump ameiomba mahakama kuu kusitisha kwa muda utekelezaji wa sheria inayoweza kuipiga marufuku TikTok.
Jeshi la Marekani limewaua wapiganaji wawili wa Al-Shabaab
Jeshi pia limemuua mmoja wa kiongozi wa kundi la kigaidi Mohamed Mire Jama, anayejulikana pia kama Abu Abdirahman.
Trump awatakia Xmas njema "wapuuzi" wa mrengo wa kushoto
Biden alihimiza umoja na tafakuri huku Trump akiulenga mrengo wa kushoto, China katikati mwa mgawiko mkubwa Marekani.
Jeshi la Marekani lawaua wapiganaji wawili wa IS, Syria
Kundi la IS liliangamizwa mwaka 2019 lakini mizizi yake bado ipo nchini Syria
Trump aapa kukomesha wazimu wa jinsia mbili kama kipaumbele
Trump anapanga kuchukuwa hatua kali za kuondoa watu wa jinsia mbili katika huduma za kitaifa na kijamii.
China yaionya Marekani kuwa inacheza na moto kuhusu Taiwan
Taiwan ni kisiwa cha kidemokrasia chenye watu milioni 23 na serikali ya China imekuwa ikidai kuwa ni eneo lake.
Iran yalalamikia rasmi kukamatwa raia wake wawili
Iran hata hivyo imekanusha kuhusika kwa namna yoyote na shambulio hilo,ikisema tuhuma dhidi yake hazina msingi.
Gaza, Ukraine, sera ya ndani vyatia kiwingu urathi wa Biden
Kipaumbele chake ni kujenga urathi wake katika uzalishaji wa ndani huku akijaribu kudhoofisha ahadi za Trump.
Ujumbe wa Marekani wawasili Damascus kwa mazungumzo
Marekani imesema hatua hiyo imechukuliwa kwa matumaini ya kuhimiza kufuatwa siasa za misimamo ya wastani na jumuishi
Wanadiplomasia wa Marekani wakutana na watawala wapya Syria
Wanadiplomasia wa Marekani wako nchini Syria kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na watawala wa Hayat Tahrir al-Sham.
Mkwamo bunge la Marekani: Warepublican wawakaidi Trump, Musk
Marekani inakabiliwa na kufungwa kwa serikali baada ya Warepublican kukataa mpango wa kuzuia hali hiyo.
Blinken kutangaza ufadhili zaidi kwa Sudan katika UN
Mgogoro wa Sudan ulioanza Aprili 2023 umesababisha vifo vya maelfu ya watu na mamilioni kuyahama makazi yao.
Mazungumzo ya kusitisha mapigano ya Gaza yashika kasi Cairo
Kundi la Hamas kwa upande wake linadai kupewa dhamana na ahadi za uhakika ili kufanikisha kupatikana makubaliano ya kina
Vyanzo: Mkataba usitishaji vita Gaza unakaribia
Vyanzo kadhaa vimearifu kwamba makubaliano ya kusitisha vita kwenye Ukanda wa Gaza yanakaribia.
EU kuanzisha mawasiliano na utawala mpya wa Syria
Miito inatolewa kwa Umoja wa Ulaya kuongeza uhusiano wa moja kwa moja na viongozi wapya wa Syria
China na Marekani zinaweza kufanya kazi pamoja zikiungana
China na Marekani zinaweza kufikia mengi zikiungana na kufanya kazi pamoja
Ujerumani kufanya mazungumzo na mamlaka mpya ya Syria
Ujerumani yaungana na Marekani na Uingereza kuanzisha mazungumzo na kundi la HTS
Spika wa Zamani, Nancy Pelosi amelazwa nchini Ujerumani
Nancy Pelosi amelazwa hospitalini baada ya 'kupata jeraha' la kuanguka katika akiwa safarini Luxembourg
Jordan kuwa mwenyeji wa mazungumzo ya mageuzi ya Syria
Jordan kuwa mwenyeji wa mazungumzo ya mageuzi ya Syria
Blinken afanya ziara nchini Iraq kuhusu hali ya Syria
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken amekutana na waziri mkuu wa Iraq Mohammed Shia al-Sudani.
Marekani yaona ishara ya makubaliano ya Gaza
Marekani inasema kuna matumaini ya makubaliano ya kusitisha mapigano ya Gaza, huku Israel ikiendelea na mashambulizi.
China, Misri zaelezea wasiwasi mkubwa kuhusu hali ya Syria
China na Misri zimedhihirisha wasiwasi wao mkubwa kuhusu hali inayoendelea nchini Syria.
Marekani yatangaza msaada mpya kwa Ukraine
Serikali ya Rais wa Marekani Joe Biden, imetangaza msaada mwingine wa silaha kwa Ukraine wa thamani ya dola milioni 500.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 71
Ukurasa unaofuatia