You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Mahamadou Issoufou
Mahamadou Issoufou anatokea kabila la Hausa na alizaliwa mwaka 1951.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
HRW: Majeshi, wanamgambo wanaua raia Afrika Magharibi
Takwimu hizo ni kwa mujibu wa shirika linalofuatilia mizozo la ACLED zilizotolewa katika ripoti ya karibuni.
ECOWAS yawapa watawala wa kijeshi muda wa mwisho kuamua
BurkinaFaso, Mali na Niger zinasema maamuzi yao ya kujitowa kwenye jumuiya ya ECOWAS hayawezi kubadilishwa.
Viongozi wa ECOWAS wakutana kwenye mkutano wa kilele
Mataifa matatu yanayoongozwa na wanajeshi kwenye ukanda huo yamejiengua tangu tawala za kijeshi ziliposhika hatamu.
Mashirika ya haki yataka mwanaharakati wa Niger aachiwe
Mashirika ya haki yataka mwanaharakati wa Niger aachiwe kutoka kizuizini.
Karibu watu 27 wafa maji baada ya boti kuzama, Nigeria
Abiria wengi walikuwa hawajavaa vifaa vya kujiokoa, hali iliyosababisha wengi kuzama majini na kufa.
EU yamrejesha nyumbani balozi wake Niger
Umoja wa Ulaya umemrejesha nyumbani balozi wake nchini Niger kwa sababu ya mzozo kuhusu mgao wa fedha za misaada.
Niger yafuta leseni, shirika la Acted la Ufaransa
Niger imefuta leseni ya shirika la Acted la Ufaransa. Shirika hilo sasa halitaweza kufanya kazi nchini humo
Niger yalifutia leseni shirika la NGO la Ufaransa la Acted
Niger ilianza kukata uhusiano na Ufaransa tangu utawala wa kijeshi ulipoingia madarakani Julai 2023.
Waasi wa Niger wanaotaka kuachiliwa kwa Bazoum wajisalimisha
Bazoum amekuwa chini ya kifungo cha nyumbani yeye na mkewe katika mji mkuu wa Niamey.
Kiongozi wa Guinea ajipandisha cheo na kuwa Jenerali
Kiongozi huyo wa kijeshi wa Guinea Mamadi Doumbouya, anaendeleza msako dhidi ya wapinzani
Mamluki wa Urusi "Wagner" wazidi kujiimarisha barani Afrika
Kundi hilo la Wagner linaendelea kujenga mitandao mingine ya shughuli mbalimbali barani Afrika.
Niger yapiga marufuku uuzaji wa nafaka nje ya nchi
Utawala wa kijeshi wa Niger umepiga marufuku mauzo ya nje ya nchi ya mchele, nafaka na vyakula vingine.
Niger yapiga marufuku uuzaji wa nafaka nje ya nchi
Adhabu kwa wale watakaokiuka agizo hilo ni kukamatwa kwa shehena na mashitaka ya jinai.
Watu 339 wafa kwa mafuriko Niger
Serikali ya Niger imesema watu 339 wamekufa baada ya mvua za msimu kusababisha mafuriko nchini humo toka mwezi Juni.
Watu 339 wafariki dunia kufuatia mvua kubwa Niger
Serikali imeahirisha kuanza kwa muhula mpya wa shule hadi mwishoni mwa mwezi Oktoba.
Kwanini Afrika Magharibi inaandamwa na ugaidi?
Hivi karibuni kundi la wanamgambo wa itikadi kali liliushambulia mji mkuu wa Mali wa Bamako hali inayozidisha wasiwasi.
Burkina Faso yatibua jaribio la mapinduzi
Luteni-Kanali Paul-Henri Sandaogo Damiba, anatajwa kuwa ndiye aliyeongoza mpango wa kijeshi wa njama ya mapinduzi.
Niger yazindua kampeni ya chanjo dhidi ya Malaria
Wagonjwa wa malaria milioni tano hurekodiwa nchini Niger kila mwaka huku zaidi ya watu 5,000 wakipoteza maisha.
Watu zaidi ya 70 waliuawa shambulio la Bamako
Ndege ya shirika la Mpango wa chakula WFP iliyokuwa ikitumika kwa shughuli za kiutu iliharibiwa katika shambulio hilo.
Jeshi la Marekani lahitimisha mchakato wa kuondoka Niger
Washington inaangazia mpango mbadala katika eneo la Afrika Magharibi lakini mchakato huu unakwenda taratibu.
Mali, Burkina Faso na Niger kuanzisha pasi mpya za kusafiri
Mataifa hayo yaliungana mwaka uliopita baada ya kuvunja uhusiano na mtawala wa kikoloni Ufaransa na kuigeukia Urusi.
Ujerumani yahitimisha shughui za kijeshi Niger
Wanajeshi wa mwisho wa Ujerumani waliokuwa Niger, wameondoka nchini humo na kurejea nyumbani Ujerumani jana Ijumaa.
Watu 15 wameuwawa katika mashambulizi ya "kigaidi" Niger
Jeshi la Niger limesema kuwa Watu 15 wameuwawa katika mashambulizi ya "kigaidi" magharibi mwa nchi hiyo ya Sahel.
Ukraine yasikitishwa na kuvunjika uhusiano na Niger
Ukraine imesema leo kuwa imesikitishwa na uamuzi wa Niger kuvunja mahusiano ya kidiplomasia.
Marekani yakamilisha kujiondoa kijeshi Niger
Marekani imekabidhi kambi yake ya mwisho ya kijeshi kwa mamlaka ya Niger.
Wanajeshi wa mwisho wa Marekani waondoka Niger
Wanajeshi wapatao 800 waliondoka kambi ya mjini Niamey mapema mwezi Julai, na karibu 200 wakisalia kambi ya Agadez.
Wanajihadi wa Niger watoa video ya 'mateka wawili wa Urusi'
Mnamo Julai 25, Urusi iliwaonya raia wake kutosafiri kwenda mataifa ya Mali na Niger kutokana na sababu za kiusalama.
Maelfu ya raia wa Niger washerehekea mwaka 1 wa mapinduzi
Uwanja kulikodhimishwa hafla hiyo ulikuwa chini ya ulinzi mkali, yakiwemo magari ya kivita yaliyozunguka eneo hilo.
Tiani asema Niger inaelekea kupata "uhuru kamili"
Abdourahamane Tiani aliingia madarakani mnamo Julai 26, mwaka uliopita baada ya kumpindua rais Mohamed Bazoum.
Baerbock afanya ziara Ivory Coast baada ya Senegal
Baerbock ameitoa kauli hiyo wakati akiendelea na ziara yake katika mataifa ya Afrika Magharibi.
Ujerumani haiwezi tena kushirikiana na Niger kijeshi
Ujerumani mnamo Julai 6 ilitangaza kumaliza operesheni kwenye kituo chake cha anga nchini Niger
Vikosi vya Marekani vyaondoka nchini Niger
Tarehe ya kuondoka kwao iliwekwa na watawala wa kijeshi wa nchi hiyo.
Faye aombwa kuzungumza na Mali, Niger na Burkina Faso
ECOWAS inajaribu kuliunganisha tena eneo hilo ambalo utulivu wake umekabiliwa na tishio.
Vikosi vya Marekani vyaondoka katika kambi yao Niamey, Niger
Tarehe ya mwisho ya kuondoka kwa vikosi vya Marekani nchini Niger, imewekwa na watawala wa kijeshi wa nchi hiyo.
ECOWAS yatafuta njia za kutatua changamoto za kikanda
Mkutano wa ECOWAS pamoja na mambo mengine utajadili kuhusu namna ya kupambana na ugaidi, masuala ya ulinzi na biashara.
Wakuu wa ECOWAS kukutana wikendi hii kutathmini mahusiano
Mkutano wa kilele wa hapo kesho utafanyika mjini Abuja nchini Nigeria utajadii mahusiano na muungano wa nchi za Sahel.
Vikosi vya Marekani kuanza kuondoka Niger wikiendi hii
Marekani inapaswa kuviondoa vikosi vyake nchini Niger ifikapo Julai 26 mwaka huu
Watawala wa Mali, Burkina Faso na Niger kukutana kesho
Burkina Faso, Mali na Niger wanatarajiwa kuidhinisha rasimu ya mpango wa muungano hivi karibuni.
Wanajeshi 47 wauawa katika shambulio la kigaidi Niger
Makundi ya kigaidi nchini Niger yamefanya mashambulizi mabaya dhidi ya wanajeshi.
Jeshi la Niger ladai kumuua mwanachama muhimu wa kundi la IS
Niger imekuwa kwa miaka mingi ikikabiliwa na mashambulizi ya makundi ya kigaidi.
Rais wa Mauritania ataka nguvu ya pamoja kuushinda ugaidi
Rais wa Mauritania anatoa wito kwa mataifa ya Afrika Magharibi kushirikiana dhidi ya itikadi kali
Wanajeshi 6 wa Nigeria waliokuwa katika doria Benin wauwawa
Jeshi la Niger limesema wanajeshi sita waliokuwa wanalinda bomba la mafuta kwa nchi jirani ya Benin wameuwawa.
Mahakama ya Niger yaondoka kinga ya kushtakiwa kwa Bazoum
Mahakama ya juu ya Niger imeondoa kinga ya rais aliyepinduliwa Mohamed Bazoum,
Bazoum afutiwa kinga ya rais na utawala Niger
Mahakama ya Niger yaondoa kinga ya rais aliyepinduliwa Mohamed Bazoum, na kutoa fursa ya uwezekano wa kufunguliwa kesi.
Mvutano kati ya Benin na Niger wazidi kutokota
Uhusiano kati ya majirani hao wa Afrika Magharibi umeingia doa tangu Benin ilipozuia usafirishaji wa bidhaa ghafi.
IMF kutoa dola milioni 70 za ufadhili kwa Niger
Makubaliano baina ya shirika la IMF na nchi ya Niger yanahusu pia miradi ya kushughulikia mabadiliko ya tabia nchi.
Mataifa ya Sahel yatekeleza luteka ya kwanza ya kijeshi
Wizara ya ulinzi ya Niger imesema mataifa matano ya kanda ya Sahel yamefanya luteka ya kijeshi magharibi mwa Niger
Mataifa matano ya Sahel yafanya luteka
Nchi hizo zilianzisha muungano wao wa ulinzi waliouita Muungano wa Mataifa ya Sahel na mwezi Februari.
Mataifa ya Sahel yafanya luteka ya kijeshi Niger
Eneo la Sahel limegubikwa kwa miaka mingi na waasi wenye mafungamano na makundi ya Al-Qaeda na Dola la Kiislamu.
Marekani yaanza kuondoa wanajeshi wake nchini Niger
Marekani imeanza kuondoa wanajeshi wake kutoka Niger baada ya kuombwa kufanya hivyo na watawala wa kijeshi wa nchi hiyo.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 10
Ukurasa unaofuatia