You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Matangazo
Marine Le Pen
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Baerbock ziarani China
Ziara ya Baerbock inajiri siku chache baada ya afisa wa ngazi za juu wa Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen kuwa Beijing
Ulaya na China zatarajia mwanzo mpya wa mahusiano
Ulaya inaitaka China imshawishi rais wa Urusi Vladmir Putin asitishe vita Ukraine
Mfalme Charles III wa Uingereza kufanya ziara Ujerumani
Uamuzi wa kuwatembelea kwanza majirani wa karibu unachukuliwa kama jaribio la kufufua uhusiano baada ya Brexit.
Waziri mkuu wa Ufaransa akemea uhalifu wa waandamanaji
Waziri wa mambo ya ndani Gerald Darmanin amesema zaidi ya askari 150 wa vikosi vya usalama wamejeruhiwa
Ziara ya Rais wa zamani wa Ufaransa yazua gumzo Kongo
Wakati huohuo ujumbe wa Tume ya amani na usalama ya Umoja wa Afrika pia umefanya ziara nchini Kongo.
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wakutana na wamualika Guterres
Viongozi hao wa Umoja wa Ulaya walitarajiwa pia kuidhinisha mpango wa kuipatia Ukraine silaha na makombora zaidi.
Macron ashikilia mageuzi ya pensheni kufanyika Ufaransa
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron Jumatano amesema kwamba muswada wa pensheni aliousukuma na kuupitisha bila kupigiwa kur
Rais Emmanuel Macron kulihutubia taifa Jumatano
Wabunge wa Upinzani wameapa kushinikiza kuzuia hatua hiyo
Ufaransa: Serikali yanusurika kura za kutokuwa na imani nayo
Baraza hilo lina mamlaka ya kukataa vifungu ndani ya miswada lakini kwa kawaida huwa linaiidhinisha.
Mwanahabari wa Ufaransa aliyetekwa 2021 aachiwa huru Mali
Wawili hao walizishukuru serikali za Niger, Ufaransa na Marekani kwa kushughulikia kuwachiliwa kwao.
Macron atoa wito wa utulivu kuhusu mpango wa pensheni
Kama sheria hiyo itaidhinishwa, mageuzi hayo ya Macron yataongeza umri wa kisheria wa kustaafu kutoka miaka 62 hadi 64
Ufaransa yashikilia msimamo wake kuhusu mageuzi ya pensheni
Maandamano yameendelea kushuhudiwa nchini Ufaransa ili kupinga mpango huo wa mageuzi ya pensheni
Macron akabiliwa na maandamano zaidi ya sheria ya pensheni
Maandamano makubwa yamezuka tena siku ya Ijumaa dhidi ya mpango wa serikali wa mageuzi ya pensheni uliogubikwa na utata
Rishi Sunak na Emmanuel Macron wakutana Paris
Waziri Mkuu wa Uingereza Rishi Sunak amekutana na rais wa Ufaransa Emmanuel Macron mjini Paris kuimarisha mahusiano.
Sunak akutana na Macron mjini Paris
Huo ni mkutano wa kwanza kati ya Uingereza na Ufaransa kufanyika katika kipindi cha miaka mitano.
Rishi Sunak kukutana na Rais Emmanuel Macron mjini Paris leo
Uvamizi wa Urusi nchini Ukraine kwa kiasi fulani umeonekana kuimarisha mahusino baina ya nchi hizo mbili
Migomo zaidi Ufaransa ya kupinga mageuzi ya pensheni
Migomo hiyo ya taifa zima inapinga mipango ya pensheni ya Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron
Ufaransa yajiandaa kwa mgmo mkubwa wa wafanyakazi
Vyama vya wafanyakazi vyaapa kufunga uchumi wa Ufaransa katikati mwa mvutano kuhusu umri wa kustafu na pensheni.
Je, enzi ya Ufaransa kuingilia Afrika imekwisha kweli?
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron yuko ziarani barani Afrika kwa lengo la kuimarisha upya mahusiano yaliyolegalega. Miongoni mwa mengi aliyonukuliwa na vyombo vya habari ni kauli yake kwamba enzi ya Ufaransa kuingilia mambo ya Afrika imekwisha. Kuhusu kauli hiyo ya Macron, Lillian Mtono amezungumza na Delphin Kapaya, mchambuzi wa masuala ya kisiasa huko Kongo.
Mfalme Charles kuzuru Ujerumani na Ufaransa
Kasri la Buckingham limetangaza Ijumaa kuwa Mfalme Charles wa III wa Uingereza atafanya ziara yake ya kwanza ya kiserika
Macron: Enzi ya uingiliaji wa Ufaransa Afrika imekwisha
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amesema leo Alhamisi kwamba Ufaransa haina nia ya kurejea katika sera zake za zamani za
Rais Macron wa Ufaransa aanza ziara Afrika
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameanza ziara ya Afrika ya Kati
Ufaransa: Maandamano dhidi ya mageuzi ya pensheni
Sheri hiyo inalenga kuongeza umri wa kustaafu kutoka miaka 62 hadi 64.
Rais Zelenskiy akutana na Macron, Scholz mjini Paris
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy amekutana na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz.
Rais Zelensky awarai washirika kuipa Ukraine ndege za kivita
Rais Zelensky azihimiza nchi washirika kuipa Ukraine ndege zinazohitajika za kivita ili kuzima uvamizi wa Urusi.
Netanyahu na Macron wajadili mivutano ya Mashariki ya Kati
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu aliye ziarani nchini Ufaransa amekutana na rais Emmanuel Macron mjini Paris
Ufaransa yakamata shehena ya silaha zikielekea Yemen
Maafisa wa Marekani wamedai kukamata silaha wanazodai zilikuwa zinatoka Iran kuelekea nchini Yemen.
Majeshi ya Ufaransa kuondoka Burkina Faso baada ya siku 30
Hatua hiyo inafuatia shinikizo kutoka kwa serikali ya kijeshi, na inayofanana na ile iliyochukuliwa na Mali.
Miaka 60 ya urafiki kati ya Ujerumani na Ufaransa
Jumapili ya Januari 22 mwaka huu, Ujerumani na Ufaransa ziliadhimisha miaka 60 tangu kusainiwa kwa mkataba wa Elysee, ambao ulichora ramani ya ushirikiano baina ya mataifa hayo makubwa ya Ulaya baada ya vita vikuu vya pili, na kuhitimisha uhasama wa kijadi. Makala hii ya Mwangaza wa Ulaya ilioandaliwa na Daniel Gakuba inaangazia miaka 60 ya urafiki huo.
Scholz na Macron waadhimisha miaka 60 ya mkataba wa Elysee
Mataifa hayo mawili yametimiza miaka 60 tangu kutiwa saini mkataba wa urafiki kati yake.
Ufaransa: Maalfu wapinga mageuzi ya umri wa kustaafu
Mpango wa serikali ya Ufaransa iwapo utapitishwa watu watahitajika kulipa kwenye mfumo wa pensheni kwa muda mrefu.
Ujerumani, Ufaransa wataka usaidizi wa Afrika dhidi ya Putin
Ujerumani na Ufaransa wataka kuwepo ushirikiano kati ya Ulaya na Afrika katika kukabiliana na mizozo ulimwenguni.
Ujerumani na Ufaransa zahimiza uwajibikaji Ethiopia
Ujerumani na Ufaransa zahimiza uwajibikaji Ethiopia
Mawaziri wa Ujerumani na Ufaransa waizuri Ethiopia
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani na Ufaransa wamewasili mjini Addis Ababa, Ethiopia kwa ziara ya siku mbili.
Geneva: Ujerumani yaahidi kuipa Pakistan Euro milioni 84
Geneva: Ujerumani yaahidi kuipa Pakistan Euro milioni 84
Shambulizi Paris Ufaransa, watu watatu wauawa
Watu watatu wameuawa kwa kupigwa risasi Paris, baada ya risasi kufyatuliwa dhidi ya kituo cha Wakurdi.
Ufaransa, Ujerumani zaiongezea shinikizo Rwanda kuhusu Kongo
Kuzidi kwa shinikizo kutoka kwa washirika kunaweza kuathiri msaada wa kigeni ambao Rwanda imeufurahia kwa muda mrefu.
Ulaya yatangaza vikwazo vipya dhidi ya Urusi
Umoja wa Ulaya watangaza vikwazo vipya dhidi ya Urusi.
Marekani, Ufaransa zaapa kuiwajibisha Urusi kwa vita Ukraine
Rais Biden amesema yuko tayari kuzungumza na Putin kwa sharti la kuondoa majeshi yake Ukraine.
Urusi yakasirishwa na Ufaransa kuunga mkono korti ya uhalifu
Ukraine imekuwa ikishinikiza kuundwa kwa mahakama maalum.
Rais Emmanuel Macron aelekea Marekani
Ajenda kuu katika mazungumzo kati ya Macron na Biden ni Ukraine.
Viongozi wa Ujerumani na Ufaransa wakutana kukiwapo mivutano
Rais Emmanuel Macron, Kansela Olaf Scholz wakutana wakati nchi zao zikitofuatiana juu ya masuala ya msingi
Mvutano wa Ujerumani na Ufaransa wahujumu hatua za EU
Uhusiano wa Ujerumani na Ufaransa upo matatani tena, wakati huu ukionekana kuwa mbaya kuliko awali.
Mali yaituhumu Ufaransa na kutishia kujihami
Mali imeituhumu pia Ufaransa kwa vitendo vya ujasusi na kutoa silaha kwa makundi ya uasi.
Wabunge nchini Iraq wamchagua rais mpya
Wabunge nchini Iraq wamchagua rais mpya
''Kura ya maoni" kukamilika kwenye maeneo ya Ukraine
Kile kinachoitwa kura za maoni na Urusi kwenye majimbo ya Ukraine yanayodhibitiwa na Urusi kumalizika Jumanne.
Macron aangazia kurekebisha uhusiano na Algeria
Macron aangazia kurekebisha uhusiano na Algeria
Makubaliano ya nyuklia ya Iran kufikiwa karibuni?
Makubaliano hayo yalikuwa katika hali tete tangu aliyekuwa rais Donald Trump wa Marekani alipojiondoa mwaka 2018.
Urusi yaendeleza mashambulizi ya makombora Ukraine
Vikosi vya Urusi vimeendeleza mashambulizi yake katika maeneo kadhaa ya Ukraine.
Bin Salman ziarani Ulaya
Vita vya Ukraine vimeufanya ulimwengu wa Magharibi 'kujisahaulisha' hasira zake kwa Bin Salman kwa mauaji ya Khashoggi.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 4 wa 18
Ukurasa unaofuatia