You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Matangazo
Marine Le Pen
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Utawala wa kijeshi Myanmar wanyonga wanaharakati wanne
Utawala wa kijeshi nchini Myanmar, umesema umewaua wanaharakati wanne wa demokrasia
Ulaya yakumbwa na joto kali huku Uingereza ikivunja rekodi
Idara za huduma za dharura zinaendelea kulemewa na kazi.
Macron awaomba wapinzani kuepusha mkwamo wa kisiasa
Rais Macron taari amekutana na wawakilishi wa makundi hayo ya kisiasa ili kujadiliana namna ya kushirikiana zaidi.
Macron afanya mazungumzo na viongozi wa upinzani
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron anakutana kwa mazungumzo na viongozi wa vyama vya upinzani baada ya uchaguzi wa Bunge.
Macron akosa wingi wa kutosha bungeni
Ufaransa imefanya uchaguzi wa bunge wakati vyama vya mrengo wa kulia na kushoto vikizidi kuimarika.
Macron akabiliwa na vita vikali vya udhibiti wa bunge
Muungano wa Macron wa Ensemble unakabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa muungano mpya NUPES chini ya Melenchon
Viongozi wa Ujerumani, Ufaransa na Italia waizuru Ukraine
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na waziri mkuu wa Italia Mario Draghi wawasili Kiev
Ukraine inataka kuhakikishiwa nafasi Umoja wa Ulaya
Ukraine imesema inataka kuhakikishiwa nafasi ndani ya Umoja wa Ulaya, hata kama kupata uanachama kamili kutachukua muda.
Uchunguzi wa ajali ya ndege ya Yemenia waanzishwa Ufaransa
Mahakama nchini Ufaransa inatarajiwa kuanza kusikiliza kesi inayohusu kuanguka kwa ndege ya shirika la ndege la Yemen.
Chanzo cha mzozo wa Mali na mshirika wake Ufaransa
Vikosi vya Ufaransa vinafungasha na kuondoka Mali baada ya uhusiano kuvurugika kati ya Paris na utawala wa kijeshi Mali.
Urusi yaendeleza mashambulizi katika kiwanda cha Azovstal
Waziri Mkuu wa India ashindwa kuilaumu waziwazi Urusi juu ya uvamizi wake nchini Ukraine
Maoni: Ushindi wa Macron fursa kwa Ulaya
Kuchaguliwa tena Macron kuendelea na urais wa Ufaransa ni jibu la demokrasia ya Ulaya kwa mashambulizi ya Urusi.
Macron ampiku Le Pen na kupata muhula wa pili
Macron, wa siasa za mrengo wa wastani alishinda kwa asilimia 58.6 ya kura dhidi ya Le Pen aliyepata asilimia 41.45
Wafaransa wapiga kura katika duru ya pili ya urais
Takriban wapiga kura milioni 48.8 wameandikishwa kushiriki katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais nchini Ufaransa.
Viongozi wa Ulaya wamuunga mkono Macron katika uchaguzi ujao
Viongozi wa Ulaya wamuunga mkono Macron katika uchaguzi ujao
Macron aimarisha uongozi wake katika mjadala wa televisheni
Maoni ya wapigakura yaonesha Macron amemshinda Le Pen kwa asilimia 59. Ambana mpinzani wake kuhusu Urusi, uchumi,Uislamu
Macron na Le Pen kukutana kabla ya uchaguzi wa duru ya pili
Macron, Le Pen kuchuana kwenye mdahalo kabla ya uchaguzi wa rais
Ipi athari ya vita vya Ukraine kwenye uchaguzi wa Ufaransa?
Kura za maoni zaonyesha Rais Emmanuel Macron anaongoza kwa asilimia ndogo dhidi ya Le Pen.
Marine Le Pen amesema hana ajenda yoyote ya siri kuhusu EU
Awali,Le Pen kutoka chama cha mrengo mkali wa kulia alisema akishinda atafanya marekebisho katika Umoja wa Ulaya.
Le Pen kuchuana na Macron katika duru ya pili ya uchaguzi
Rais Emmanuel Macron atakabiliana na mpinzani wake mwenye siasa za mrengo mkali wa kulia Le Pen
Ufaransa yafanya uchaguzi wa rais
Vituo vya kupigia kura nchini Ufaransa vinaelekea kufungwa baada ya uchaguzi wa rais.
Ujerumani kuisaidia Moldova kukabiliana na wakimbizi
Ujerumani kuisaidia Moldova kukabiliana na wakimbizi
Ujerumani, Ufaransa kuwatimua wanadiplomasia wa Urusi
Mataifa kadhaa ya Ulaya yameamua kuwafukuza wanadiplomasia wengi wa Urusi kuhusiana na shutuma za mauaji ya mjini Bucha.
Zelensky ana mashaka ahadi ya Urusi kupunguza mashambulizi
Ukraine imesema mazungumzo ya amani kati ya wapatanishi wa nchi hiyo na Urusi yameonesha mwelekeo mzuri.
Zelensky: Vikosi vya Urusi vinaendelea kuishambulia Kiev
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema vikosi vya Urusi bado vinaushambulia mji wa Kiev.
Makombora ya Urusi yaishambulia miji ya Ukraine
Makombora kadhaa yamekishambulia kiwanda cha kuzifanyia ukarabati ndege kwenye mji wa Lviv, Ukraine.
Mataifa ya Magharibi yaendelea kuisaka suluhu mzozo Ukraine
Mataifa ya Magharibi na Jumuia mbalimbali za kimataifa zimeendelea kuisaka suluhu dhidi ya mzozo unaendelea huko Ukraine
Zelensky: Watu 100,000 waondolewa miji ya Ukraine
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema watu wapatao 100,000 wameondolewa kwenye miji ya nchi hiyo.
Urusi inahujumu makubaliano ya Nyuklia ya Iran?
Baada ya kushuhudiwa kwa jitihada za mazungumzo kwa takriban miezi 11 sasa, wachambuzi wanaonya huenda Urusi akayatumia.
''Sisi ni taifa ambalo lilivunja mipango ya adui'' Zelensky
Watu zidi ya milioni moja waikimbia Ukraine,huku Baraza la Haki za Binadamu kukutana ilikujadili vita nchini humo.
Senegal yaitaka Ujerumani kubakisha majeshi yake Mali
Rais wa Senegal Macky Sall ameitaka Ujerumani kuyabakisha majeshi yake Mali, baada ya Ufaransa kuondoka Mali kijeshi.
Maoni: Mtazamo nchini Mali unahitaji kuwa watu, siyo jeshi
Hakuna alieshangazwa na kuondoka kwa wanajeshi wa Ufaransa na washirika wake Mali, anasema Dirke Köpp.
Ufaransa yaionya Iran kuhusu makubaliano ya nyuklia ya 2015
Ufaransa yaionya Iran kuhusu makubaliano ya nyuklia ya 2015
Marekani: Urusi inaweza kuivamia Ukraine muda wowote
Marekani imeonya Urusi inaweza kuivamia Ukraine muda wowote na uvamizi huo unaweza kuanza kwa mashambulizi ya anga.
Urusi na Belarus zaanza luteka ya pamoja ya kijeshi
Urusi na Belarus zaanza luteka ya pamoja ya kijeshi
Ujerumani, Ufaransa na Poland zaazimia kuepusha vita Ulaya
Ujerumani, Ufaransa na Poland zaungana kuhakikisha kuwa mgogoro wa Ukraine hausababishi vita barani Ulaya.
Macron aendeleza juhudi kuzima mzozo Ukraine
Yote hayo yanajiri wakati wanajeshi wa kwanza wa Marekani wakiwasili nchini Romania kuimarisha kikosi cha NATO
Mali yampa balozi wa Ufaransa saa 72 kuondoka nchini humo
Uhusiano kati ya Mali na Ufaransa umezorota tangu jeshi lilipotwaa madaraka Agosti 2020.
Wajumbe wa Ukraine na Urusi wakutana Paris
Wajumbe wa Ukraine na Urusi wanakutana mjini Paris kwa mara ya kwanza tangu mvutano katika mpaka wao kuanza.
Watu 11 wauawa katika mashambulizi Yemen
Watu 11 wameuawa katika mashambulizi ya anga yaliyotokea kwenye mji mkuu wa Yemen Sanaa, ambao unadhibitiwa na waasi.
Roberta Metsola spika mpya wa Bunge la Ulaya, ni nani?
Mwanasiasa wa kihafidhina wa Malta, Roberta Metsola ndiye spika mpya wa Bunge la Ulaya. Anawasilisha nini?
Bara la Afrika laazimia kuagiza dawa ya kutibu COVID-19
Dawa hiyo itaepusha watu wanaougua COVID-19 na walioambukizwa kirusi kipya cha omicron kulazwa hospitalini.
Ufaransa:Watu zaidi ya 100,000 waambukizwa virusi vya corona
Ulimwengu wahofia kuongezeka kwa virusi vya omicron vinavyoenea kwa haraka.
EU: Yarejesha vikwazo kwa Urusi kwa kuichokoza Ukraine
EU: yaendelea kuiwekea Urusi vikwazo kwa kuichokoza Ukraine
Uingereza, Ufaransa kuchukua hatua zaidi dhidi ya Omicron
Boris Johnson awataka wafanyakazi wa kujitolea wajitokeze katika vituo vya chanjo ili kukabiliana na virusi vya Omicron
Olaf Scholz atoa zingatio Ulaya katika ziara yake ya kwanza
Kansela Olaf Scholz atoa zingatio kwa Ulaya katika ziara yake ya kwanza
Ufaransa yatilia mashaka mazungumzo ya nyuklia ya Iran
Ufaransa yatilia mashaka mazungumzo ya nyuklia ya Iran
Saudia yasema Al Otaibi aliyekamatwa Ufaransa sio mtuhumiwa
Al Otaibi alikamatwa Jumanne katika uwanja wa ndege wa Roisy-Paris akitaka kuelekea kwao Saudia
Rais wa Lebanon azuru Qatar kuzungumzia mzozo wa Ghuba
Lebanon imetumbukia kwenye mzozo mbaya kabisa wa kiuchumi kuwahi kushuhudiwa katika enzi ya sasa.
Masharti ya kudhibiti COVID yazusha maandamano ulimwenguni
Maandamano yameshuhudiwa katika nchi kadhaa barani Ulaya na kwingineko kufuatia masharti na vikwazo vya kudhibiti COVID.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 5 wa 18
Ukurasa unaofuatia