You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Matangazo
Marine Le Pen
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Mataifa yenye nguvu duniani yanakutana Ufaransa
Mataifa yenye nguvu duniani yanakutana Ufaransa
Mazungumzo ya nyuklia na Iran kuanza tena Novemba 29
Mazungumzo ya nyuklia na Iran kuanza tena Novemba 29
Kashfa za dhulma za kingono zaendelea kujadiliwa Ufaransa
Maaskofu wa Kanisa Katoliki wajadili kashfa za dhulma za kingono
Umoja wa Mataifa waitaka Mali kufanya uchaguzi Februari
Umoja wa Mataifa umewataka viongozi wa serikali ya mpito Mali kupanga tarehe ya uchaguzi utakaofanyika mwezi Februari.
Macron alaani mauaji ya waandamanaji wa Algeria mwaka 1961
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameyalaani mauaji yaliyofanywa na polisi wa Ufaransa dhidi ya waandamanaji wa Algeria.
Unyanyasaji wa kingono Ufaransa aibu kwa kanisa asema Papa
Papa Francis ameelezea aibu iliyolikumba kanisa na yeye mwenyewe kutokana na unyanyasaji wa kingono dhidi ya watoto.
Algeria yamrudisha nyumbani balozi wake kutoka Ufaransa
Mvutano kati ya Algeria na Ufaransa wazidi kupamba moto huku pande zote mbili zikitupiana lawama.
Sarkozy ahukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela
Sarkozy ahukumiwa adhabu ya kifungo cha mwaka mmoja jela
Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kumalizika leo
Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa unamalizika leo bila kutolewa hotuba za viongozi wa Afghanistan na Myanmar.
Mzozo kati ya Ufaransa na Australia hautazuia mkataba
Mzozo kati ya Ufaransa na Australia hautazuia mkataba
China,Ufaransa zaujia juu muungano wa Indo-Pacific
China yalaani muungano mpya wa ki wa Marekani, Australia na Uingereza
Msuguano wazidi kati ya pande mbili za uongozi wa Taliban
Msuguano waongezeka kati ya pande mbili za uongozi wa Taliban.
Vikosi vya Ufaransa vyamuuwa mkuu wa IS ukanda wa Sahel
Mkuu wa kundi linalojiita dola la Kiislamu, ukanda wa jangwa la Sahara Adnan Abu Walid al-Sahrawi ameuwawa.
Mlinzi wa Macron Mahakamani kwa kuwapiga waandamanaji
Mlinzi wa Macron mahakamani kujibu mashtaka ya kuwapiga waandamanaji.
Macron na jinsi anavyoufatilia uchaguzi wa Ujerumani
Ufaransa inaufatilia kwa karibu uchaguzi wa Ujerumani na matokeo yake katika ushirikiano kwa mustakabali wa Ulaya.
Kesi ya mashambulizi ya Paris 2015 yaanza
Watu 20 wanaotuhumiwa kwa mashambulizi ya Novemba 2015 jijini Paris wamepandishwa kizimbani nchini Ufaransa.
Taliban yasherehekea kuondoka kwa Marekani
Taliban washerehekea kurejea madarakani kwa kuishinda Marekani baada ya vikosi vya Marekani kuondoka Afghanistan.
Marekani yaonya kuhusu kitisho cha kuaminika Kabul
Marekani imeonya kuwa kuna kitisho cha kuaminika karibu na uwanja wa ndege wa Kabul na imewataka wananchi wake kuondoka.
Utata wa muda wa uokozi nchini Afghanistan
Utata wa muda wa uokozi nchini Afghanistan
Maoni: Lazima tuchukue hatua sasa kuhusu tabia nchi
Mwandishi wa DW Stuart Brain anasema kesi za kisheria kuhusu tabia nchi huenda zikawa njia pekee ya kufuata
Polisi wakabiliana na waandamanaji Paris kuhusu pasi ya afya
Maelfu ya polisi wametumwa Paris kukabiliana na waandamanaji wanaopinga sheria za serikali za kupambana na corona.
Ufaransa waidhinisha hati ya kudhibiti maambukizi
Wabunge wa Ufaransa waidhinisha hati maalumu kudhibiti maambukizi
Maelfu waandamana Ulaya kupinga vizuizi vya Covid-19
Maelfu ya raia kwenye mataifa kadhaa ya Ulaya wameandamana kupinga vizuizi vya kudhibiti kusambaa ugonjwa wa Covid-19
Mashirika ya haki: Ubaguzi ukomeshwe Ufaransa
Mashirika ya haki za binadamu yamefungua shauri Ufaransa kutaka ubaguzi wa rangi unaofanywa na polisi ukomeshwe
Macron apatikana kwenye orodha ya udukuzi
Shirika la kutetea haki za binadamu lililo na makao yake makuu mjini London Amnesty International limesema Rais wa Ufara
Iran yasema itaanza kurutubisha madini ya Urani
Mazungumzo juu ya kufufua mkataba wa nyuklia yaliyofanyika mjini Vienna, Austria yalikwama mwezi uliopita.
Jeshi la Marekani lawashambulia wanamgambo Iraq na Syria
Jeshi la Marekani lafanya mashambulizi ya anga dhidi ya makundi ya wanamgambo wanaoungwa mkono na Iran.
Ufaransa: Uchaguzi kukumbwa na idadi ndogo ya wapiga kura
Wapiga kura wahimizwa kujitokeza Jumapili kwa ajili ya duru ya pili ya uchaguzi mdogo nchini Ufaransa.
Umoja wa Ulaya washindwa kukubaliana mkutano na Putin
Urusi imeuita uamuzi huo kuwa matokeo ya Umoja wa Ulaya kuchukuliwa mateka na "wachokozi walio wachache".
Marekani: Uchaguzi Libya ni suala la msingi
Wito umetolewa kwa mataifa yenye wanajeshi wa kigeni nchini Libya kuwaondoa ili kuruhusu uchaguzi kufanyika kwa amani.
Mtambo wa umeme wa nyuklia nchini Iran wafungwa kwa dharura
Mtambo huo umekuwa unakabiliwa na matatizo mnamo miezi ya hivi karibuni na hitilafu imetokana na kukosekana vipuri.
Ufaransa kumaliza shughuli za kijeshi katika eneo la Sahel
Ufaransa yahitimisha operesheni za kijeshi ukanda wa Sahel
Mawaziri wa Fedha wa nchi za G7 wakutana jijini London
Waziri wa fedha wa Ujerumani Olaf Scholz amesema kampuni zote, bila ya walakini zitapaswa kufuata sheria mpya.
Ulaya yataka majibu madai ya udukuzi wa Marekani na Denmark
Mataifa ya Ulaya yametaka kupatiwa majibu kufuatia ripoti kuwa Marekani iliwapeleleza viongozi wa nchi hizo washirika
Mahakama ya Mali yamtangaza Goita rais wa mpito
Mahakama ya Katiba ya Mali imemtangaza Kanali Assimi Goita kuwa rais wa mpito kujaza nafasi ya Rais Bah Ndaw.
Macron aomba msamaha kufuatia mauaji ya kimbari Rwanda
Macron aomba msamaha kufuatia mauaji ya kimbari Rwanda
Maelfu waandamana Ufaransa kuwaunga mkono Wapalestina
Maelfu ya waandamana Ufaransa na Ujerumani kuwaunga mkono Wapalestina kufuatia mgogoro kati yao na Israel.
Mkutano wa Paris waahidi "Makubaliano Mapya" kwa Afrika
Viongozi wanataka kuimarisha ufadhili barani Afrika kukabiliana na madhara makubwa ya kiuchumi yatokanayo na Covid-19.
Wavuvi wa Ufaransa waandamana dhidi ya hatua za Uingereza
Meli za kivita za Uingereza na Ufaransa zimepiga doria kwenye kisiwa cha Jersey, kufuatia maandamano ya wavuvi.
Jeshi la Chad lachukua madaraka baada ya kifo cha rais
Jeshi la Chad limetangaza kuvunjwa kwa serikali na bunge kufuatia kifo cha rais Idriss Deby wa nchi hiyo
Idadi ya vifo vya COVID-19 duniani yapindukia milioni 3
Idadi ya watu waliokufa duniani kutokana na ugonjwa wa COVID-19 imepindukia milioni tatu kufikia Jumamosi.
Zelensky, Macron, Merkel wazungumzia Ukraine mashariki
Urusi yasema haina dira inayofanana na Marekani wala yenye maslahi ya pamoja.
Iran yapinga kuondolewa vikwazo hatua kwa hatua
Iran yasema ina imani kuhusu mazungumzo zaidi ya wiki ijayo juu ya makubaliano ya nyuklia yatakayofanyika mjini Vienna.
Ulaya yaimarisha vizuizi vya kukabiliana na corona
Ulaya yaimarisha vizuizi vya kukabiliana na corona
Matumaini ya kufufua mazungumzo ya nyuklia yazidi kudidimia
Wanadiplomasia wasema Iran imeweka msimamo mkali kabla ya kurudi kwenye mazungumzo hayo.
Ufaransa yatowa ripoti mauaji ya Rwanda
Suala hilo limekuwa likiyatikisa mahusiano baina ya nchi hizo mbili kwa kipindi kirefu.
Viongozi wa Ulaya kuongeza kutengeneza chanjo ya COVID-19
Viongozi wa Ulaya wakubaliana kuongeza utengenezaji wa chanjo ya COVID-19 barani Ulaya.
Wataalamu wa WHO kukutana kuijadili chanjo ya AstraZeneca
Hatua hiyo ni kutokana na hofu yachanjo hiyo kusababisha kuganda damu kwenye mishipa.
Rais wa zamani wa Ufaransa ahukumiwa kifungo cha miaka 3
Rais wa zamani wa Ufaransa ahukumiwa kifungo cha miaka 3
Viongozi wa Ulaya kutoondoa haraka vizuizi vya Covid-19
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wamesema kuwa vizuizi vikali vya kusafiri vinapaswa kuendelea kutekelezwa.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 6 wa 18
Ukurasa unaofuatia