You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Matangazo
Marine Le Pen
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Viongozi wa G7 kujadili juu ya chanjo, uchumi na China
Kiongozi mwingine mpya atakayehudhuria mkutano huo ni waziri mkuu wa Italia Mario Draghi.
Ufaransa: Maandamano kupinga sheria ya usalama wa taifa
Sheria hiyo itazuia maandamano ya kupinga hatua zilizowekwa kwa ajili ya kuzuia kuenea kwa virusi vya corona.
Aina mpya ya kirusi cha corona yaripotiwa Marekani
Aina mpya ya kirusi cha corona yaripotiwa kuingia Marekani
Wanafunzi wawili Hong Kong waambukizwa kirusi kipya
Wanafunzi wawili Hong Kong waambukizwa kirusi kipya
Mataifa kadha yajaribu kuunusuru mkataba wa nyuklia na Iran
Rais huyo mteule wa Marekani anatarajiwa kuapishwa tarehe 20 Januari.
14 wahukumiwa kwa shambulizi la Charlie Hebdo
Mahakama Ufaransa imewakuta na hatia watu 14 kwa kuhusishwa na shambulizi la Charlie Hebdo
Ulaya yaimarisha vizuizi kukabiliana na corona
Nchi za Ulaya zinapanga kulegeza kidogo masharti hayo mnamo tarehe 25 na tarehe 26 kwa ajili ya Krismasi.
Ulimwengu waadhimisha miaka mitano ya mkataba wa Paris
Viongozi wa dunia wanaadhimisha miaka mitano ya mkataba wa kihistoria wa mabadiliko ya tabianchi wa mjini Paris.
Macron akosolewa kumkaribisha rais al-Sisi wa Misri
Macron akataa kumkosoa rais Abdul Fatah al-Sisi wa Misri
Marekani, China zaendelea kudhibiti soko la silaha
Mashariki ya Kati kwa mara ya kwanza imeingia kwenye orodha ya wazalishaji wakubwa zaidi 25 wa silaha ulimwenguni.
Guterres aonya kuhusu ongezeko la joto duniani
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres ameikosoa jamii kwa kushindwa kupambana na ongezeko la joto duniani.
Marekani yajitoa rasmi mkataba wa tabia nchi wa Paris
Ushiriki wa Marekani katika makubaliano hayo katika siku zijazo sasa utategemea pakubwa matokeo ya uchaguzi wa rais
Wimbi jipya la COVID-19 lazusha taharuki barani Ulaya
Hasira na wasiwasi unaongezeka barani Ulaya kutokana na kurejea tena kwa vizuizi vikali vya kukabiliana na COVID-19.
Ufaransa: Mshirika wa mshambulizi wa Nice atiwa mbaroni
Mtu mwenye umri wa miaka 47anaedhaniwa kushirikiana na mshambuliaji aliewauwa watu watatu kwa kisu Ufaransa amekamatwa.
Nchi za Kiislam zatoa wito wa kususia bidhaa za Ufaransa
Nchi za Kiislam zatoa wito wa kususia bidhaa za Ufaransa kulalamika matamshi ya Rais Emmanuel Macroon kuhusu Uislamu.
Erdogan asema Macron anahitajia matibabu
Mapema mwezi huu, Macron aliapa kupambana dhidi ya kile alichokiita kujitenga kwa Waislamu.
Polisi Ufaransa wafanya misako baada ya mwalimu kuchinjwa
Juhudi za kukabili matamshi ya chuki mitandaoni
Wanne wakamatwa mauaji ya mwalimu aliyekatwa kichwa Ufaransa
Watu wanne, akiwemo mtoto mdogo, wametiwa nguvuni nchini Ufaransa kufuatia mauaji ya kukata kichwa mwalimu mmoja.
Ujerumani kuongeza mbinyo mapambano ya COVID-19
Kansela Angela Merkel na viongozi wa majimbo 16 ya Ujerumani wamekubaliana kuongeza makali ya amri ya kuvaa barakoa
Ufaransa yahimiza umoja katika mazungumzo na Uingereza
Wito huo wa Ufaransa umetolewa kabla ya mkutano wa kilele wa viongozi wa nchi za Umoja wa Ulaya baadaye wiki hii
Maambukizi ya virusi vya corona yaongezeka duniani
Maambukizi ya virusi vya corona yanaendelea kuongezeka katika nchi mbali mbali
Maambukizi ya Corona yaongezeka Ulaya na Amerika Kusini
Katika nchi za Amerika ya Kusini na Carebbean idadi ya watu walioambukizwa meipindukia watu milioni 10.
Armenia na Azerbaijan zalaumiana kukiuka usitishaji mapigano
Armenia na Azerbaijan zalaumiana kukiuka usitishaji mapigano
Ufaransa itafanikiwa kuleta amani eneo la Nagorno-Karabakh?
Ufaransa yashiriki harakati za kutatua mzozo kati ya Azerbaijan na Armenia juu ya jimbo la Nagorno-Karabakh.
Ufaransa, Ujerumani, Uingereza zataka Urusi iwekewe vikwazo
Nchi hizo zimetishia kuwawekea vikwazo vya Umoja wa Ulaya maafisa wa Urusi waliohusika na mkasa huo
Mji wa Paris kutangaza tahadhari ya juu dhidi ya COVID-19
Wataalamu wa afya waishutumu hatua ya Trump kuondoka hospitalini kwa gari kuwapungia wafuasi wake
Ufaransa na Uingereza zashuhudia ongezeko la corona
India pia imerekodi maambukizi mengi mapya ya watu 75,829 ndani ya saa 24 zilizopita.
Mzozo katika eneo la Nagorno-Karbakh wapamba moto
Waziri mkuu wa Armenia Nikol Pashiyan azungumza na rais wa Iran Hassan Rouhani kuhusu mzozo wa Nagorno-Karbakh.
Azerbaijan yatangaza vifo 10 vya raia wake
Azerbaijan yatangaza kuuwawa kwa raia wake 10 kutokana na mapigano
Ari ya kibiashara imeimarika Ujerumani na Ufaransa
Nia ya kibiashara nchini Ujerumani na Ufaransa imeimarika kwa mwezi wa tano mfululizo mnamo mwezi huu wa Septemba.
COVID-19 yauwa zaidi ya Wamarekani 200,000
COVID-19 yauwa zaidi ya Wamarekani 200,000
Je Ulaya itaepuka hatua za kuzuia COVID-19 kwa mara ya pili?
Hatua za kufunga shughuli zote za nchi kutokana na virusi vya corona bado iko kwenye kumbumbuku za watu wa Ulaya.
Mataifa makubwa yaitenga Marekani kuiwekea vikwazo Iran
Ujerumani, Ufaransa na Uingereza zimekataa kukubaliana na hatua ya Marekani kurejesha vikwazo dhidi ya Iran.
Ulaya kuwachukuwa watoto 400 wa wakimbizi walioko Ugiriki
Mataifa 10 wanachama wa Umoja wa Ulaya yamejitolea kubeba dhamana ya kuwashughulikia watoto hao.
Viongozi wa EuroMed7 wako tayari kwa vikwazo kwa Uturuki
Viongozi wa EuroMed7 wako tayari kuunga mkono vikwazo vya EU dhidi ya Uturuki
Ufaransa mwenyeji wa mkutano wa mataifa ya Mediterania
rais wa Ufaransa atakuwa mwenyeji wa mkutano wa mataifa yanayopakana na bahari ya Mediterania kuihusu Uturuki
India yashika namba mbili kuwa na visa vingi vya COVID-19
India imeipiku Brazil na kuwa nchi ya pili yenye idadi ya juu ya visa vya virusi vya corona na kuwa nyuma ya Marekani.
Pande hasimu Afghanistan zitakutana Doha kwa mazungumzo
Suala la ubadilishanaji wa wafungwa lilisababisha mkutano kucheleweshwa
Rais wa Ufaransa awahimiza Wairak kulinda uhuru wao
Kwa mujibu wa maafisa mjini Paris, safari ya kiongozi huyo haikutangazwa kwa sababu za usalama.
Macron aishinikiza Lebanon kuunda haraka serikali mpya
Ni ziara ya pili ya Macron katika nchi hiyo ya Lebanon ambayo inaadhimisha miaka 100 ya uhuru wake kutoka kwa Ufaransa
Marekani yataka Iran iwekewe upya vikwazo
Marekani imeufahamisha rasmi Umoja wa Mataifa kuhusiana na matakwa yake ya vikwazo vyote vya Umoja huo kwa Iran virudish
Corona: Maambukizi yaongezeka Ujerumani na Ufaransa
Ujerumani na Ufaransa zaorodhesha idadi kubwa ya maambukizi ya kila siku katika muda wa miezi kadhaa sasa,
Uturuki yatuhumu 'hatua za ubabe'' za Ufaransa
Wawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya wamekutana ili kuujadili pia mzozo huo baina ya Ugiriki na Uturuki.
Serikali ya Lebanon yajiuzulu
Lawama nyingi zimepelekwa serikali kwa madai ya kushindwa kulikabili janga hilo ambalo lingeweza kuzuilika.
Ulimwengu waichangia Lebanon zaidi ya Euro milioni 250
Misaada hiyo ya dharura itatolewa moja kwa moja kwa watu walioathirika kutokana na janga hilo.
Lebabon: Zoezi la kuitafuta miili laendelea mjini Beirut
Mlipuko huo katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut umesabaisha vifo, majeruhi na uharibifu mkubwa.
Urusi na nchi za Magharibi zazozana utumaji misaada Syria
Urusi na mataifa ya Magharibi wanazozana juu ya suala la kuendelea kutuma misaada ya kiutu nchini Syria
Misri, Ufaransa, Ujerumani na Jordan zaionya Israel
Nchi za Misri, Ufaransa, Ujerumani na Jordan wameionya Israel dhidi ya kunyakua sehemu ya mipaka ya Palestina
Jean Castex ndiye Waziri Mkuu mpya Ufaransa
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amemteua Jean Castex kuwa Waziri Mkuu mpya.
Waziri Mkuu wa Ufaransa Edouard Philippe ajiuzulu
Waziri Mkuu wa Ufaransa, Edouard Philippe amejiuzulu huku mabadiliko ya serikali yakitarajiwa kufanyika katika siku zija
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 7 wa 18
Ukurasa unaofuatia