You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Mahamadou Issoufou
Mahamadou Issoufou anatokea kabila la Hausa na alizaliwa mwaka 1951.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Mali yauonya Umoja wa Mataifa dhidi ya Uingiliaji Niger
Mali yasema ukosefu wa amani Niger kunaiathiri moja kwa moja
Viongozi wa kijeshi wa Niger wamkosoa Guterres
Viongozi wa kijeshi wa Ngier wamkosoa Guterres
Bazoum ataka mahakama ya kikanda itoe amri ya kuachiwa kwake
Bazoum alipinduliwa madarakani Julai 26 na tangu wakati huo ameshikiliwa na wanajeshi waliochukua madaraka.
Mali, Niger na Burkina Faso kuashirikiana kupambana na uasi
Mataifa hayo matatu kwa pamoja yamepitia mapinduzi ya kijeshi kuanzia mwaka 2020.
Macron asema balozi wake nchini Niger anaishi kama mateka
Macron amewashutumu watawala wa kijeshi kwa kuzuia kupelekwa chakula ndani ya ubalozi huo tangu kulipotokea mapinduzi.
Ufaransa haitakata mahusiano na Mali, Niger, Burkina Faso
Ufaransa katika siku za karibuni imekuwa ikikabiliwa na changamoto za kimahusiano na mataifa iliyoyatawala huko nyuma.
Marekani yaanza tena operesheni za kupambana na ugaidi Niger
Niger ni eneo la kimkakati kwa Marekani katika vita vyake dhidi ya vikundi vyenye itikadi kali za kiislamu.
Taarifa Ya Habari Ya Asubuhi: 14.09.2023
Idadi ya vifo baada ya mafuriko Libya huenda ikafikia 20,000. Watoto takriban 100,000 wameathiriwa na tetemeko la ardhi Morocco. Polisi nchini Uganda 'wasitisha' kampeni ya uhamasishaji ya chama kikuu cha upinzani.
Umoja wa Mataifa wataka kurejeshwa demokrasia Afrika
Mataifa kadha na hususan ya Afrika Magharibi yamekumbwa na mapinduzi hivi karibuni na tawala za kijeshi kushika hatamu.
Putin afanya mazunguzo na kiongozi wa mpito wa Mali
Rais wa Urusi Vladimir Putin amefanya mazungumzo na kiongozi wa mpito wa Mali.
Niger yaituhumu Ufaransa kutaka kuishambulia
Utawala wa kijeshi wa Niger umeituhumu Ufaransa kwa kukusanya wanajeshi na vifaa katika mataifa jirani.
Watu 64 wauawa Mali kwenye mashambulizi tofauti
Shambulizi moja limeilenga boti ya abiria katika mji wa Timbuktu na jingine kwenye kambi ya kijeshi ya Bamba.
Umoja wa Ulaya wakosoa vizuizi dhidi ya balozi wake Niger
Umoja wa Ulaya haujatoa taarifa za kina kuhusu kilichotokea kwa balozi huyo siku ya Jumanne
Rais wa zamani wa Gabon Ali Bongo aachiwa huru
Bongo alipinduliwa na jeshi mwezi uliopita baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi ambao matokeo yake yalizozaniwa.
Taarifa ya Habari ya Asubuhi 07.09.2023
Marekani yaipa Ukraine msaada wa dola bilioni moja. Rais wa zamani wa Gabon Ali Bongo aachiwa huru. Na China yajitetea kuhusu mvutano wa bahari ya China Kusini katika mkutano wa jumuiya ya nchi za kusini mashariki mwa Asia.
Ufaransa yajadili kuwaondoa wanajeshi wake Niger
Waandamanaji wamekuwa wwakiandamana mjini Niamey kuishinikiza Ufaransa iwaondoe wanajeshi wote kutoka Niger.
Taarifa ya Habari ya Asubuhi 06.09.2023
Marekani yaonya Korea Kaskazini italipa gharama iwapo itaipatia silaha Urusi kwa vita vyake nchini Ukraine. Uingereza yapanga kulipiga marufuku kundi la wapiganaji mamluki la Wagner. Na Ufaransa yazungumza na watawala wa kijeshi nchini Niger kuwaondoa baadhi ya wanajeshi wake.
Niger: Tunatumaini kufikia makubaliano chanya na ECOWAS
Waziri mkuu wa Niger amesema wanaendelea na mawasiliano na ECOWAS, ambayo ilitishia kuvamia kijeshi baada ya mapinduzi.
Jumuiya ya ECCAS yaisimamisha uanachama Gabon
Viongozi wa ECCAS wana wasiwasi kuhusu hatua ya Gabon wakiitaja kuwa inatishia amani na usalama wa nchi wanachama.
Maelfu waandamana kutaka Ufaransa iondoe vikosi vyake Niger
Maelfu ya raia waliandamana kwenye mji mkuu wa Niger, Niamey Jumamosi 02.09.2023 wakiitaka Ufaransa iondoe vikosi vyake
Raia waandamana Niger kutaka Ufaransa iondoe wanajeshi wake
Maelfu ya raia wa Niger, jana waliandamana katika mji mkuu wa Niamey kushinikiza vikosi vya Ufaransa viondoke.
Maelfu waandamana Niger kutaka Ufaransa iondoe vikosi vyake
Maelfu ya watu wameandamana nchini Niger kushinikiza Ufaransa kuondoa vikosi vyake.
Niger yajiandaa na maandamano makubwa ya kuipinga Ufaransa
Umoja wa Mataifa umesema leo kuwa unatafuta mawasiliano na viongozi wa mapinduzi
Maoni: Wizi wa kura na mapinduzi ya kijeshi barani Afrika
Kipi bora kati ya kura inayoibiwa na watawala wasiotaka kuondoka madarakani na jeshi kuwapinduwa watawala waliopo madarakani, hata ikiwa ni kwa njia hiyo ya kura? Huenda likawa ni suali rahisi kujibika ama gumu kusawazishika akilini mwetu, kulingana na wapi umesimama kwenye fasili ya hiki kiitwacho demokrasia. Lakini bara la Afrika linaonekana kidogo kidogo kusaka majibu yake yenyewe.
Tinubu apendekeza miezi 9 ya mpito Niger
Rais wa Nigeria Bola Tinubu amependekeza kuwepo kwa kipindi cha mpito cha miezi 9 kwa utawala mpya wa kijeshi wa Niger.
ECOWAS yapendekeza kipindi cha mpito cha miezi 9, Niger
Tinubu amesema hakutakuwa na msamaha wa kuviondoa vikwazo vya ECOWAS hadi serikali ya Niger ifanye marekebisho chanya.
Mashirika ya UN yazuiwa katika baadhi ya maeneo Niger
Haya yametangazwa siku ya Alhamisi na wizara ya mambo ya ndani
Umoja wa Ulaya kuwawekea vikwazo viongozi waasi wa Niger
Mawaziri hao wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya pia wanajadili juu ya mapinduzi ya kijeshi ya nchini Niger na Gabon.
Burkina Faso yaidhinisha muswaada wa kutuma kikosi Niger
Serikali ya kijeshi nchini BurkinaFaso yaidhinisha muswaada wa kutuma kikosi cha nchi hiyo nchini Niger.
Mawaziri wa Umoja wa Ulaya kuiwekea viongozi Niger
Mawaziri wa mambo ya kigeni wa Umoja wa Ulaya wataja wasiwasi wao kuhusu mapinduzi yaliyoongezeka Afrika.
Umoja wa Ulaya kuijadili Niger katika mkutano maalum
Mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya kujadili Niger katika mkutano maalum Toledo Uhispania
Mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya kuijadili Niger
Mapinduzi Niger yamefungua enzi mpya ya kukosekana kwa utulivu katika ukanda wa Sahel ambao tayari unakumbwa na uasi.
EU yazingatia majibu yake kwa mapinduzi ya kijeshi Niger
Algeria nayo yapendekeza muda wa miezi sita kwa mpango wa serikali ya mpito nchini Niger
Algeria yapendekeza miezi sita ya mpito Niger
Kiongozi wake wa mapinduzi anataka kuwepo na muda mrefu zaidi ya huo hadi kutakaporejea utawala wa kidemokrasia.
Umoja wa Mataifa waonya kitisho cha janga la kiutu Niger
Umoja wa Mataifa unajiandaa kukabiliana na janga la kiutu Niger
Balozi wa Ufaransa angalipo Niger licha ya kuamriwa kuondoka
Macron amesema balozi wake nchini Niger bado yuko Niamey licha ya kuamriwa na utawala mpya wa kijeshi kuondoka.
Niger waunga mkono hatua ya kufukuzwa balozi wa Ufaransa
Uongozi mpya wa kijeshi ulimuamuru balozi wa Ufaransa kuondoka nchini humo katika kipindi cha masaa 48.
Niger yaliamuru jeshi kuwa kwenye tahadhari kubwa
Mkuu wa ECOWAS Omar Alieu Touray, hapo jana alisisitiza kuwa ECOWAS haijatangaza vita kwa watu wa Niger
Niger yampa balozi Sylvain Itte, saa 48 kuondoka nchini humo
Uhusiano baina ya Niger na baadhi ya mataifa ya magharibi, umedorora tangu yalipotokea mapinduzi nchini humo Julai 26.
Niger yawatimua mabalozi wa nchi 4 ikiwemo Ujerumani
Ubalozi wa Ufaransa nchini Niger umelikataa tangazo hilo ukisema kuwa Paris, hautambui mamlaka ya watawala wa kijeshi.
Niger, Burkina Faso na Mali zaunda jeshi la pamoja
Rais Macron asema ECOWAS inatelekeza majukumu yake kwa mwendo wa kinyonga.
Niger yaziidhinisha Mali, Burkina Faso kuisaidia kijeshi
Niger imeidhinisha kuingilia kati kwa majeshi ya Mali na Burkina Faso iwapo itavamiwa na vikosi vya Jumuiya ya ECOWAS.
Niger yaidhinisha wanajeshi wa Mali na Burkina Faso
Mawaziri wa mambo ya nje wa nchi hizo tatu walikutana mjini Niamey jana ili kujadili ushirikiano zaidi wa kiusalama.
Umoja wa Mataifa waonya kuhusu machafuko Libya
Umoja wa Mataifa umesema uthabiti wa Libya umo mashakani baada ya kuzuka mapigano kati ya makundi hasimu hivi karibuni.
Mwanadiplomasia wa Algeria ziarani Afrika Magharibi
Algeria inapinga uingiliaji wowote wa kijeshi katika mzozo wa nchi hiyo.
Umoja wa Afrika waitoa Niger katika shughuli zake zote
Jumuiya ya ECOWAS ilisema kuwa iko tayari kuwatuma wanajeshi nchini Niger, endapo juhudi za kidiplomasia zitashindikana.
Umoja wa Afrika wasimamisha shughuli zote za Niger
Umoja wa Afrika umerejelea wito wake kwa viongozi wa kijeshi kumwachia mara moja rais aliyepinduliwa Mohamed Bazoum.
ECOWAS yasema LA, kwa pendekezo la utawala wa kijeshi Niger
ECOWAS yakataa pendekezo la utawala wa kijeshi nchini Niger kuhusu serikali ya mpito na uchaguzi miaka mitatu ijayo.
ECOWAS yakataa kipindi cha mpito cha miaka mitatu Niger
ECOWAS imekataa kipindi cha mpito cha miaka mitatu Niger kilichopendekezwa na majenerali walioipindua serikali.
Maandamano ya kuliunga mkono jeshi yafanyika Niger
Mabango yalikuwa na ujumbe wa "komesha uingiliwaji kijeshi na hapana kwa vikwazo"
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 4 wa 10
Ukurasa unaofuatia