You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Mahamadou Issoufou
Mahamadou Issoufou anatokea kabila la Hausa na alizaliwa mwaka 1951.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Papa Francis atoa wito wa upatikanaji amani Niger
Papa atoa wito wa upatikanaji wa suluhu ya amani haraka iwezekanavyo katika mzozo huo kwa manufaa ya wananchi wa Niger.
Tchiani apanga kuunda serikali ya mpito kwa miaka 3 Niger
Jenerali Tchiani aliingia madarakani mwezi uliopita baada ya mapinduzi
Kiongozi wa kijeshi Niger kuunda serikali ya mpito
Jenerali Abdourahmane Tchiani pia ameonya dhidi ya uingiliaji kijeshi wa kigeni katika mzozo wa nchi hiyo
Maafisa wa Mali, Burkina Faso na Niger wakutana Niamey
Nchi zote tatu zimekuwa chini ya utawala wa kijeshi tangu kufanyike mapinduzi na kusimamishwa uanachama wa ECOWAS.
Matangazo ya mchana Jumamosi 19.08.2023
Wakuu wa majeshi wa jumuiya ya ECOWAS wasema wako tayari kuingilia kati kijeshi nchini Niger.+++++Rais Putin akutana na makamanda wake wanaoongoza operesheni za mashambulizi ya Ukraine.++++China yazindua luteka za kijeshi karibu na Taiwan kama ishara ya kutoa onyo kali.
ECOWAS yasema jeshi lipo tayari kuingia Niger
Jumuiya ya Kiuchumi ya Afrika Magharibi ECOWAS, imesema iko tayari kuingilia kati kijeshi nchini Niger.
ECOWAS: Jeshi la Afrika Magharibi lipo tayari kuingia Niger.
ECOWAS imesema upo mpango wa ujumbe wake kwenda Niger Jumamosi hii kwa ajili ya kutafuta suluhu kwa njia ya amani.
Mgogoro wa Niger waendelea kuzusha khofu barani Afrika
Miongoni mwa yaliyomo katika Afrika wiki nii ni mgogoro wa Niger ambapo nchi za Jumuiya ya ECOWAS zajiandaa kupeleka jeshi kumsadia rais Mohammed Bazoum kurudi madarakani. Nchini Tanzania kanisa Katoliki lajitosa katika mvutano kuhusu mkataba wa bandari,kwa kutoa tamko la kuupinga mkataba huo. Na nchini Libya vita vya makundi yanayokinzana vyaibuka upya.Jiunge na Saumu Mwasimba
Umoja wa Ulaya kuichukulia hatua kali Niger
Michel alionya kuwepo na hatua kali ikiwa utawala wa kijeshi wa Niger utasababisha afya ya Rais Bazoum kuzorota zaidi.
Ufafanuzi:Kwanini Niger ni muhimu kwa mataifa ya magharibi?
Niger imekuwa mshirika muhimu kwa nchi za Magharibi katika kupambana na makundi ya Kiislamu na ni njia kuu ya usafiri kutoka Afrika hadi Ulaya. Kiuchumi, nchi hiyo ya barani Afrika pia ni muuzaji mkubwa wa madini ya urani.
Wakuu wa majeshi ya ECOWAS kuhitimisha mipango kuhusu Niger
Wakuu wa majeshi wa mataifa ya Afrika Magharibi kuhitimisha mkutano unaolenga kuivamia Niger kubatilisha mapinduzi.
Wanajeshi 36 wauawa Nigeria
Wanajeshi 36 wa Nigeria wameuawa katika jimbo la kaskazini ya kati la Niger.
Wakuu wa majeshi wa ECOWAS wakutana kuijadili Niger
Ni mkutano wa kwanza kufanywa tangu viongozi wa ECOWAS walipotoa amri ya kupelekwa kikosi cha dharura Niger.
Wakuu wa majeshi ECOWAS wakutana kuijadili Niger
Wakuu wa majeshi wa mataifa ya ECOWAS, wanakutana mjini Accra kujadili uwezekano wa kuingilia kijeshi nchini Niger.
Wanajeshi wa Niger wauawa katika shambulizi karibu na Mali
Waziri mkuu mpya ametahadharisha uingiliaji wowote wa kijeshi utasababisha hali mbaya zaidi katika eneo tete la Sahel.
Harakati ya 'Linda Niger' kuzinduliwa Jumamosi mjini Niamey
Wizara ya ulinzi ya Niger imesema kwenye taarifa yake kwamba wanajeshi 17 waliuawa katika shambulizi la kuvizia.
Utawala wa kijeshi wa Niger wasema upo tayari kwa mazungumzo
Wakuu wa majeshi wa Jumuiya ya Maendeleo huko Afrika Magharibi, ECOWAS wanajiandaa kukutana Alhamisi na Ijumaa.
Wakuu wa majeshi wa ECOWAS kuijadili Niger
Rais wa Urusi Vladimir Poutine na kiongozi wa kijeshi wa Mali wametoa wito wa suluhisho la amani kwa mzozo huo wa Niger.
Majenerali Niger wamrejesha nyumbani balozi wake wa Abidjan
Uamuzi huo umefikiwa kama hatua ya kuonesha upinzani kwa matamshi ya Ouattara ya kuunga mkono uamuzi wa ECOWAS
Umoja wa Afrika unakutana kujadili mgogoro wa Niger
Umoja wa Afrika unakutana kujadili mgogoro wa Niger
AU yakutana na wawakilishi wa Niger, ECOWAS
Mkutano huo wa dharura ulifanyika kwenye makao makuu ya Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa, Ethiopia.
Utawala wa kijeshi kumfungulia mashtaka ya uhaini Bazoum
Utawala wa kijeshi umedai utamfungulia kile ulichokiita "uhaini wa kiwango cha juu'' rais waliyemuondowa Mohamed Bazoum
Waziri wa Ujerumani ametowa mwito kutafutwa njia amani Niger
Waziri wa Ujerumani maendeleo wa Ujerumani, Svenja Schulze mwito kutafutwa njia amani Niger
Jeshi kumshitaki Bazoum kwa uhaini
Utawala huo aidha umekosoa vikali vikwazo vya Jumuiya ya ECOWAS, ikivitaja kuwa ni vya kinyama na vinavyofedhehesha.
ECOWAS na juhudi za kidiplomasia kwenye mzozo wa Niger
Jumuiya ya kikanda ya ECOWAS inafanya juhudi za kutafuta njia za kidiplomasia kubatilisha mapinduzi ya kijeshi ya Niger.
Rais aliyepinduliwa Niger atembelewa na daktari
Rais aliyepinduliwa nchini Niger Mohammed Bazoum leo ameonana na daktari
12.08.2023 - Matangazo ya Mchana
ECOWAS yatafakari hatua zinazofuata mzozo wa Niger
Viongozi wa mataifa ya Afrika Magharibi wanatakafari hatua za kuchukua kuhusu mzozo wa Niger
ECOWAS wasitisha mkutano muhimu wa kijeshi juu ya Niger
Mataifa ya Afrika ya Magharibi yameusitisha mkutano muhimu wa kijeshi juu ya mzozo wa Niger.
AU, EU, Marekani zasikitishwa kutoachiliwa familia ya Bazoum
Umoja wa Afrika, Umoja wa Ulaya na Marekani zimesikitishwa na kutoachiliwa familia ya rais wa Niger aliyepinduliwa.
ECOWAS yaakhirisha mkutano wa kijeshi juu ya Niger
Mataifa ya Afrika ya Magharibi yamesitisha mkutano muhimu wa kijeshi juu ya mipango ya kuivamia Niger.
ECOWAS kuunda kikosi cha dharura kwa ajili ya Niger
Wakuu wa jeshi la ECOWAS watakutana Jumamosi katika mji mkuu wa Ghana, Accra, kujadili mapinduzi ya kijeshi Niger.
AU yazungumzia hali ya afya ya rais aliyepinduliwa Niger
AU yazungumzia hali ya afya ya rais aliyepinduliwa Niger
ECOWAS waamua kujizuia kuingilia kati kijeshi Niger
Jeshi la Niger limeshikilia msimamo wake wa kushikilia ikulu rais Mohammed Bazoum na familia yake.
Taarifa ya Habari za Ulimwengu ya Asubuhi 11.08.2023
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu ya Asubuhi ya tarehe 11 Agosti 2023 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
ECOWAS yaidhinisha uvamizi wa kijeshi dhidi ya Niger
Viongozi wa ECOWAS wameidhinisha kutumwa "kikosi cha dharura kurejesha utaratibu wa kikatiba nchini Niger" haraka.
Je, hatua za kijeshi ni mwafaka kwa mzozo wa Niger?
Je, hatua za kijeshi ni mwafaka kwa mzozo wa Niger?
Mzozo wa Niger wazingatiwa na wahariri wa Ujerumani
Mazeti ya Ujerumani wiki hii yamejishughulisha na mzozo unaoendelea kutokota nchini Niger na vita vya Sudan. Wahariri pia wamezungumzia vita vipya vilivyozuka eneo la Tigray nchini Ethiopia na sakata la malipo ya marupurupu ya wachezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Nigeria. Josephat Charo amekuandalia Afrika katika magazeti ya Ujerumani.
ECOWAS yaendelea na mipango ya kutuma jeshi Niger
Mataifa ya Afrika Magharibi leo yameendelea na mipango ya uwezekano wa kuivamia kijeshi Niger.
ECOWAS yapitisha kupeleka jeshi Niger
Jeshi la Niger ladaiwa kutowa kistiho cha kumuua rais Bazoum ikiwa nchi jirani zitaingilia kati kijeshi
Wanajeshi Niger watangaza baraza la mawaziri
Utawala wa kijeshi Niger wakataa kuurudisha madarakani utawala wa kidemokrasia
Utawala wa kijeshi Niger wakutana na wajumbe kutoka Nigeria
Mazungumzo hayo yamefanyika huku Niger ikiishutumu Ufaransa kwa kukiuka anga yake na kushambulia kambi ya kijeshi.
Muasi wa zamani Niger aanzisha vuguvugu la kupinga mapinduzi
Watawala wapya wa kijeshi Niger wamekataa kukutana na wawakilishi wa Umoja wa Mataifa na Jumuiya ya Kiuchumi ya ECOWAS.
Jeshi lamzuia Mwanadiplomasia wa Marekani kumuona Bazoum
Victoria Nuland amesema viongozi wa kijeshi wa Niger walikataa ombi lake la kutaka kukutana na Rais Mohamed Bazoum.
Mazungumzo ya kuutafuta mkwamo wa kisiasa Niger yakwama
Matumaini ya mwisho yaliyokuwepo ya kuupatia mzozo huo suluhisho la kidiplomasia yafifia
Niger yaukataa ujumbe wa upatanishi wa Umoja wa Mataifa
Juhudi za kutatuwa hali ya kisiasa ya Niger zinaonekana kukwama, baada ya watawala kukataa ujumbe za Umoja wa Mataifa.
Taarifa Ya Habari Ya Asubuhi: 09.08.2023
Benki ya Dunia yakemea sheria ya Uganda dhidi ya mashoga. Watu 9 wauawa kufuatia shambulizi la Urusi nchini Ukraine. Mvutano wa kisiasa waendelea nchini Niger.
Blinken: Wagner inatumia mapinduzi ya Niger kwa manufaa yake
Blinken amesema popote pale ambapo wapiganaji hao wamekwenda wamesababisha vifo, uharibifu na unyonyaji.
Ujumbe wa ECOWAS hauwezi kupokewa Niger kwasababu ya usalama
Viongozi wa mapinduzi Niger wasema hawawezi kuupokea ujumbe wa ECOWAS
ECOWAS bado inatumai kuna fursa ya upatanishi Niger
Nchi za Afrika Magharibi na mataifa yenye nguvu duniani zinatumaini kwamba bado kuna fursa ya upatanishi nchini Niger.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 5 wa 10
Ukurasa unaofuatia