You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
App
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Umoja wa Mataifa wataka dola milioni 371.4 kwa Lebanon
Umoja wa Mataifa na serikali ya Lebanon zimeomba dola milioni 371.4 za ziada kwenye msaada wa kibinaadamu.
Urusi, Ukraine zaendelea kukabiliana vikali Kursk
Ukraine ilianzisha operesheni mpya katika eneo hilo, ikithibitisha mashambulizi dhidi ya kituo cha kamandi ya Urusi.
07.01.2025 - Matangazo ya Jioni
Jeshi la Ukraine limesema bado linashikilia sehemu ya Kurakhove+++Kwa mara nyingine Marekani imeituhumu Urusi kuwa inazifadhili pande mbili zinazopigana huko Sudan+++mchakato wa kuendesha kesi dhidi ya mwanasiasa mkosoaji mkuu wa utawala Dkt Kizza Besigye zimeishia katika hukumu ya miezi tisa kwa mmoja wa mawakili wake
07.01.2025 Matangazo ya Asubuhi
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Zaidi ya watu milioni 30, nusu miongoni mwao wakiwa ni watoto wanahitaji msaada wa haraka nchini Sudan/ Jimmy Carter aliyefariki, alikuwa rais wa kwanza wa Marekani kufanya ziara ya kiserikali katika eneo la Kusini mwa Jangwa la Sahara barani Afrika
07.01.2025 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Zaidi ya watu 90 wafariki kufuatia tetemeko la ardhi huko Tibet/ Marekani imeishutumu Urusi kwa kufadhili pande mbili zinazopigana nchini Sudan, hatua inayoonekana kusisitiza madai ya awali ya Washington kwamba Moscow imekuwa ikichochea kuendelea kwa mgogoro huo.
Chad yamshutumu Macron kwa kuwadharau Waafrika
Chad imemshutumu kwa dharau baada ya "viongozi wa Kiafrika wamesahau kuishukuru Ufaransa" kwa kuwasaidia dhidi ya waasi.
Trump bado anakabiliwa na hukumu ya kumlipa kahaba
Trump bado anakabiliwa na uwezekano wa kuhukumiwa wiki hii kwenye kesi yake ya kumlipa kahaba.
Marekani yailaani M23 kwa kuvunja usitishaji mapigano
Marekani imelaani 'uvunjaji wa wazi wa makubaliano ya kusitisha mapigano' wa kundi la waasi la M23 mashariki mwa Kongo.
Korea Kaskazini yathibitisha kurusha kombora
Korea Kaskazini imethibitisha kurusha kombora la masafa ya kati lenye uwezo wa kutembea kwa kasi na kufika mbali zaidi.
Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 7 Januari 2025
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 7 Januari 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Congress yathibitisha ushindi wa Trump
Uchaguzi wa Novemba 9 ulimpa Trump ushindi wa kishindo dhidi ya Kamala miaka minne baada ya kukataa kushindwa.
06.01.2025 Matangazo ya Jioni
Raia watatu wa Israel wameuawa katika eneo la Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu// Bunge la Marekani linajiandaa leo hii kumuidhinisha rasmi Donald Trump kama rais aliyechaguliwa na Wamarekani// Bilionea na mmiliki wa mtandao wa kijamii wa X, Elon Musk aliye mshirika wa karibu wa rais mteule wa Marekani Donald Trump, amezusha sitofahamu Ulaya kufuatia kauli zake zenye utata.
06.01.2025 DW Michezo
Vilabu vya Bundesliga vyaanza matayarisho ya mzunguko wa pili wa msimu // Man Utd wapunguza kasi ya mbio za ubingwa England baada ya kuwabana mbavu Liverpool // Na Yanga na Simba zajiweka katika nafasi nzuri ya kutinga robo fainali za mashindano ya vilabu Afrika
06.01.2025 Matangazo ya Mchana
Waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda siku ya Jumamosi waliuteka mji wa kimkakati huko Goma Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo// Huko Kenya vijana wanne waliodaiwa kutoweka Disemba mwaka jana wamepatikana huku wengine watatu bado hawajulikani waliko// Pazia la uchaguzi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Chadema kwa wagombea wake kuchukua na kurejesha fomu limefungwa.
Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi 6 Januari 2025
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi 6 Januari 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Taarifa ya Habari za Ulimwengu 6 Januari 2025
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu 6 Januari 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Watu zaidi ya 100 wauawa kaskazini mwa Syria
Mapigano makali yameripotiwa kati ya vikosi vya Kikurdi na vikosi vinavyoungwa mkono na Uturuki kaskazini mwa Syria.
Polisi waombwa kumkamata rais wa Korea Kusini
Jeshi la polisi limeombwa kuchukuwa jukumu la kumtia nguvuni rais aliyendolewa madarakani na bunge, Yoon Suk Yeol.
Ukraine, Urusi zapambana vikali Kursk
Kumetokea mapigano makali kwenye mkoa wa Kursk baada ya kuanzisha uvamizi wa kushitukiza magharibi mwa Urusi.
Kiongozi wa upinzani wa Msumbiji atangaza kurejea nyumbani
Kiongozi wa upinzani wa Msumbiji ametangaza kwamba atarejea nchini mwake kabla ya kuapishwa kwa rais mpya.
Kongo yawanyonga watu zaidi ya 100
Wizara ya sheria ya Kongo imesema watu 102 wamenyongwa na wengine 70 wamepangiwa kupewa adhabu hiyo.
Wahafidhina Austria tayari kuunda serikali na wa siasa kali
Chama cha kihafidhina cha Austria kimesema kiko tayari kuzungumzia uundaji serikali na siasa kali za mrengo wa kulia.
Rais wa zamani wa Equador asalimika kuuawa gerezani
Makamu rais wa zamani wa Equador ameokolewa kutoka gereza alikokuwa amefungwa baada ya jaribio la mauaji dhidi yake.
Misri kupokea mkopo wa dola bilioni 1.2 kutoka IMF
Misri inatazamiwa kupokea dola bilioni 1.2 kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikiwa ni sehemu ya dola bilioni 8.
Vyanzo: Mashambulizi ya Israel yawaua zaidi ya watu 20 Gaza
Vyanzo vimesema mashambulizi ya anga ya Israel yamewaua zaidi watu 20 kwenye Ukanda wa Gaza siku ya Jumapili.
04.01.2025: Matangazo ya Jioni
Urusi yaapa kulipiza kisasi makombora ya ATACMS yaliyorushwa na Ukraine kuelekea mji wake wa Belgorod. Safari za kimataifa za ndege katika uwanja wa Damascus kuanza tena wiki ijayo. Kambi pinzani Korea Kusini zaandamana huku rais aliyeondolewa madarakani na bunge akipinga kukamatwa.
04.01.2025: Matangazo ya Mchana
Sikiliza Matangazo ya Mchana ya Idhaa ya Kiswahili ya DW
03.01.2025 Matangazo ya Jioni
Tume ya Uchaguzi nchini Burundi, CENI, imetangaza orodha ya vyama viwili pekee inavyosema vimetimiza masharti ya kuwania katika uchaguzi wa bunge na udiwani+++Malawi inakabiliwa na changamoto kubwa ya kuwalisha raia wake pamoja na maelfu ya wakimbizi waliomiminika nchini humo.
Syria: Wafungwa chini ya utawala wa Assad waachiwa huru
Maelfu walitoweka katika magereza ya Syria chini ya Bashar al-Assad, lakini sasa baadhi wanarejea na kuungana na familia
03.01.2025 Matangazo ya Mchana
Israel imefanya mashambulizi katika Ukanda wa Gaza na kusababisha vifo vya watu 50+++Mawaziri wa mambo ya kigeni wa Ufaransa na Ujerumani wanatazamiwa kukutana na kiongozi mpya wa Syria, Ahmed Al-Sharaa+++Waziri wa Ulinzi wa Ethiopia Aisha Mohammed Mussa ameitembelea Somalia.
Mawaziri wa Kigeni wa Ujerumani, Ufaransa waizuru Syria
Juhudi za mataifa ya Magharibi kuhakikisha usalama wa maslahi yao baada ya kuondoshwa madarakani Bashar al-Assad.
03.01.2025 Matangazo ya Asubuhi
Afrika itaendelea kukabiliwa na changamoto za demokrasia, umasikini, madeni, na migogoro ya silaha mwaka 2025, licha ya ukuaji mdogo wa uchumi+++Shambulio la umwagaji damu kwenye soko la Krismasi katika mji wa Magdeburg tarehe 20 Desemba, na mjadala mkali wa kisiasa uliofuatia tukio hilo, ni ishara kwamba serikali ijayo ya Ujerumani italipa kipaumbele suala la usalama
02.01.2025 Matangazo ya Jioni
Vikosi vya usalama vya Syria vinaendesha operesheni katika mji wa Homs, ikilenga watu wanaotuhumiwa kwa uhalifu wa kivita na umiliki haramu wa silaha+++Jeshi la polisi nchini Uganda limeeleza kuwa lipo tayari kutekeleza agizo la rais Yoweri Museveni la kutowapa wahalifu dhamana.
02.01.2025 Matangazo ya Mchana
Maafisa wa Palestina wamesema shambulio la anga la Israel limewaua zaidi ya watu 10 katika Ukanda wa Gaza+++Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo upande wa Tanzania Bara, Tundu Lissu, ametoa angalizo kuhusu uchaguzi mkuu wa chama
02.01.2025 Matangazo ya Asubuhi
Mlima Kilimanjaro umetajwa katika tafiti za kisayansi kukumbwa na athari za mabadiliko ya tabia nchi, ikiwepo kuyeyuka kwa barafu yake+++Wanajeshi wastaafu kutoka mataifa ya Ulaya wanataka kuwatimua waasi wa M23 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
01.01.2025 Matangazo ya Jioni
Watu 10 wamekufa na wengine zaidi ya 30 wamejeruhiwa baada ya dereva kuparamia umati huko New Orleans, Marekani++Romania na Bulgaria zaingia rasmi katika eneo la Schengen++Saudi Arabia yaanza kampeni ya kupeleka misaada Syria
Watu 10 wamekufa Marekani baada ya dereva kuparamia umati
Watu wasipungua 10 wamekufa baada ya dereva kulivurumisha lori lake kwenye umati wa watu huko New Orleans, Marekani.
01.01.2025 Matangazo ya Mchana
Mamilioni ya watu duniani kote wameukaribisha mwaka mpya 2025++Wapalestina 17 wameuawa kufuatia mashambulizi ya anga ya Israel kwenye kambi ya wakimbizi ya al-Bureji++Usambazaji wa gesi ya Urusi kwenda mataifa ya Ulaya kupitia Ukraine wasitishwa
01.01.2025 Taarifa ya Habari Asubuhi
Ulimwengu waukaribisha mwaka wa 2025 kwa matamasha na fataki // Polisi ya Berlin yamkamata mshukiwa wa shambulio la kisu // Na Ivory Coast na Senegal zawataka wanajeshi wa Ufaransa kuondoka mwaka huu
Mwangaza wa Ulaya: Mapitio ya mwaka 2024
Katika kipindi hiki maalum ambapo tutasafiri wote kwa muda wa dakika ishirini kuyakumbuka mambo muhimu yaliyotokea barani Ulaya mnamo mwaka huu wa 2024 uliogubikwa na masuala ya siasa, mabadiliko ya uongozi katika taasisi muhimu, vita vinavyiendelea nchini Ukraine, chaguzi mbalimbali, mafuriko, mioto ya nyika, na hata michezo. Ungana na Bakari Ubena.
Matangazo ya mchana: 31.12.2024
Waendesha mashtaka wa Ujerumani wamewafungulia mashtaka watu watatu kwa njama ya ujasusi. Mshukiwa mkuu, Dieter S., inaaminika kuwa ni mwanamgambo mkongwe wa kundi la wapiganaji wanaoiunga mkono Urusi nchini Ukraine, ambalo Ujerumani inalizingatia kuwa la kigaidi.
Mahakama yatoa waranti ya kukamatwa rais wa Korea Kusini
Hii ni mara ya kwanza kwa rais aliye madarakani nchini humo kukabiliwa na uwezekano wa kukamatwa.
31.12.2024 Taarifa ya Habari Asubuhi
Mamia ya askari waachiwa katika mabadilishano ya karibuni kati ya Urusi na Ukraine // Mahakama ya Korea Kusini yatoa waranti wa kukamatwa kwa Rais Yoon // Na WHO yasema bado inasubiri data za UVIKO-19 kutoka kwa China
Matangazo ya Jioni 30.12.2024
Rais wa zamani wa Marekani Jimmy Carter, afariki dunia akiwa na umri wa miaka 100. Rais wa Marekani Joe Biden atangaza msaada mpya wa dola bilioni 2.5 kwa Ukraine. Polisi katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi imewafurumusha kwa mabomu ya machozi na kuwatawanya waandamanaji waliokuwa wakiandamana kupinga kuongezeka kwa wimbi la utekaji nyara.
30.12.2024 Taarifa ya Habari Asubuhi
Rais wa zamani wa Marekani Jimmy Carter afariki dunia akiwa na umri wa miaka 100 // Korea Kusini yaomboleza watu 179 waliokufa katika ajali ya ndege // Na Waziri mkuu wa Israel Netanyahu aendelea vizuri baada ya upasuaji wa kuondoa tezi dume
Matangazo ya Jioni | Disemba 29, 2024
Matangazo ya Mchana | Disemba 29, 2024
Hatimaye Ruto aahidi kukomesha utekaji raia
Ruto ameahidi kukomesha matukio ya utekaji nyara kufuatia shinikizo la umma baada ya watu kadhaa kutoweka.
Matangazo ya Dunia Yetu Leo Jioni 28 Disemba 2024
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Jioni 28 Disemba 2024 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
28.12.2024 - Matangazo ya Mchana
Shirika la Watoto la Umoja wa Mataifa, UNICEF, limesema kuna idadi kubwa ya watoto wanaishi katika maeneo ya migogoro au wamelazimishwa kuyahama makaazi yao kutokana na migogoro hiyo.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 134
Ukurasa unaofuatia