You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Ukraine
Ukraine ndiyo nchi kubwa kabisa barani Ulaya. Ina wakaazi wapatao 43,000,000.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Trump ahutubia Kongamano la Uchumi la Dunia mjini Davos
Rais wa Marekani Donald Trump asema ana jukumu kubwa kwa raia wa Marekani kuleta mabadiliko.
UN yatoa wito kwa mataifa kuongeza juhudi kulinda mazingira
Rais Trump alitangaza kuiondoa Marekani katika mkataba wa Paris wa mwaka 2015 uliopitishwa na mataifa 195.
Trump kuiwekea vikwazo Urusi ikikataa mazungumzo ya mani
Trump pia ameitaka China kutumia nguvu yake na ushawishi kusaidia kumaliza vita kati ya Urusi na Ukraine.
Ulaya yatolewa wito kuanzisha sera ya pamoja ya ulinzi
Zelensky amekwenda amehoji ikiwa kweli Trump atakuwa tayari kuziheshimu taasisi za Umoja wa Ulaya.
Urusi imefanya mashambulio makubwa dhidi ya Ukraine
Ukraine imesema imedundungua droni 72 huku nyingine 59 zikitoweka kabla ya kufikia maeneo iliyolenga kuyashambulia.
Urusi,Ukraine zaendelea kurushiana mkururo wa droni
Ukraine imesema kuwa Urusi imeishambulia kwa droni takriban 131 usiku wa kuamkia Jumanne. Droni 72 zilidunguliwa.
Wawili wauawa Ukraine baada ya kushambuliwa kwa droni
Serikali ya Urusi imethibitisha juu ya mashambulizi hayo yaliyofanywa kabla ya Donald Trump wa Marekani kuapishwa.
Urusi yadungua droni 31 za Ukraine
Vita vya Urusi na Ukraine vimeendelea huku kukiwa hakuna matarajiao ya mazungumzo ya amani baina ya mataifa hayo.
Zelensky atoa wito wa msaada zaidi wa ulinzi wa anga
Zelensky kwa mara nyengine tena amewatolea mwito washirika wake kuipa nchi yake mifumo zaidi ya ulinzi wa anga.
Shambulio la Urusi laua na kujeruhi watu huko Kyiv, Ukraine
Rais Zelensky amesema watu 10 wamejeruhiwa katika shambulio la Urusi katika mji wa kusini mwa Ukraine wa Zaporizhia.
Je, Rais Biden atakumbukwa kwa yapi?
Kuanzia kuimarisha mahusiano kati ya Marekani na Afrika, usuluhishi wa mgogoro wa Sudan, mageuzi katika taasisi za kimataifa, vita vya Mashariki ya Kati na Ukraine hadi juhudi za kudhibiti ugonjwa wa corona - Joe Biden atakumbukwa kwa mengi - mafanikio aliyoyapata na alivyokwama kuwa rais wa Marekani kwa awamu ya pili. Jiunge na Josephat Charo katika kipindi cha Maoni.
Urusi yaushambulia mji mkuu wa Ukraine, watu watatu wauawa
Jeshi la anga vya Ukraine limeripoti kwamba limezidungua droni 24 na mabomu mawili yaliyorushwa na vikosi vya Urusi.
Starmer kuwasili Poland baada ya ziara yake nchini Ukraine
Starmer amesema Uingereza na Poland ni washirika wa muda mrefu na ushirikiano wao utaendelea.
Uingereza yaahidi kuihakikishia Ukraine usalama
Keir Starmer, aahidi kushirikiana na Ukraine pamoja na washirika wake kutoa dhamana za kiusalama.
Ukraine, Uingereza zasaini mkataba wa ushirikiano
fumo wa ulinzi wa anga wa Ukraine umezidunguwa droni kadhaa za Urusi katika mji mkuu, Kyiv.
Keir Starmer kusaini mkataba wa ushirikiano na Ukraine
Waziri Mkuu wa Uingereza yuko Kyiv kusaini mkataba wa ushirikiano na Ukraine.
Droni 34 kati ya 55 za Urusi zadunguliwa Ukraine
Ukraine imesema kuwa imefanikiwa kuzidungua droni 34 kati ya 55 zilizorushwa na Urusi usiku wa kuamkia Alhamisi.
Urusi yavurumisha wimbi la mashambulizi kuelekea Ukraine
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amelaani mashambulizi hayo.
Rais Zelensky afanya mazungumzo na waziri mkuu Donald Tusk
Ukraine ina wasiwasi kwamba serikali ya Trump itailazimisha kukabidhi maeneo yake makubwa wa Urusi.
Poland yaishutumu Urusi kwa kupanga 'ugaidi wa angani'
Tusk amesema kwamba Urusi ilipanga vitendo vya "ugaidi wa angani" dhidi ya mashirika ya ndege duniani.
Rais Zelensky atafanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Poland
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky atakutana leo na Waziri Mkuu wa Poland Donald Tusk, mjini Warsaw.
Urusi yaishambulia Ukraine kwa makombora, droni
Rais Volodymyr Zelensky jeshi lake la anga limefanikiwa kuyadungua makombora 30 kati ya 40 yaliyorushwa na Urusi.
Biden atetea rekodi ya sera yake ya kigeni licha ya mizozo
Rais anayeondoka madarakani Joe Biden ametetea rekodi yake ya sera za kigeni licha ya mizozo ya kimataifa inayoendelea.
Trump asema atakutana 'haraka sana' na Putin.
Trup amesema kuna mkakati mmoja tu, na hilo litaegemea kwa Putin
Washirika Ulaya wataka kuimarisha sekta ya silaha ya Ukraine
Mawaziri wa ulinzi wa Ulaya wamekubaliana kuimarisha sekta ya silaha ya Ukraine na ushirikiano wa usalama.
Waziri wa ulinzi wa Ujerumani aizuru Kiev
Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani Boris Pistorius anaizuru Ukraine kwa mazungumzo na viongozi wa serikali ya nchi hiyo.
Urusi, Iran kusaini mkataba wa ushirikiano wa kimkakati
Urusi imelaumu vikwazo vipya vya Marekani na Uingereza ikisema vinahatarisha biashara ya kimataifa.
Zelensky aonyesha utayari wa kubadilishana wafungwa na Urusi
Ukraine imewakamata wanajeshi wawili wa Korea Kaskazini katika uwanja wa vita katika eneo la Kursk mnamo Januari 9.
Zelensky aonyesha utayari wa kubadilishana wafungwa na Urusi
Idara ya ujasusi ya NIS imethibitisha kuwa jeshi la Ukraine limewakamata wanajeshi wawili wa Korea Kaskazini.
Urusi yadai kuviteka vijiji viwili mashariki mwa Ukraine
Kwa upande wake, jeshi la anga la Ukraine limedai kudungua ndege 60 za Droni za Urusi usiku wa kuamkia Jumapili.
Seoul yathibitisha kukamatwa wanajeshi wa Korea Kaskazini
idara ya ujasusi ya Korea Kusini NIS, imesema wanajeshi hao wa Korea Kaskazini, walikamatwa mnamo Januari 9 huko Kursk.
Biden kuongeza muda wa kukaa Marekani kwa wahamiaji wa Sudan
Marekani yasema wahamiaji wapatao milioni moja kutoka Salvador, Sudan, Ukraine na Venezuela wataruhuisiwa kubaki chini.
Wanajeshi wa Korea Kaskazini wakamatwa na Ukraine
Ukraine imetangaza kuwakamata wanajeshi wawili wa Korea Kaskazini waliokuwa wanapigana upande wa Urusi.
11.01.2025 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres aitaka Venezuela kuwaachia huru watu wanaoendelea kuzuiliwa bila kufunguliwa mashitaka. Amri ya kutotembea nje yatangazwa Los Angeles, California kufuatia matukio ya moto mkali. Na Marekani na Uingereza zaiwekea vikwazo vipya Urusi.
Trump aitaka NATO kutumia 5% ya Pato la Taifa kwa ulinzi
Hilo litakuwa vigumu kutekelezeka kutokana na sehemu kubwa ya bajeti za nchi za Ulaya kutumiwa katika ustawi wa jamii.
Austin amrai Trump kutoacha kuisaidia Ukraine dhidi ya Urusi
Trump ametishia kuikatia Ukraine msaada na amesema vita hivyo laazima vimalizike mara atakapoingia madarakani.
Zelensky atoa wito kwa utengenezaji wa droni Ukraine
Volodymyr Zelensky amewahimiza washirika wake kuunga mkono utengenezaji wa droni za kivita nchini Ukraine.
Zelensky: Kurejea kwa Trump ni ukurasa mpya kwa dunia
Washirika wa Ukraine wamekutana kujadili namna yakuendeleza msaada kwa taifa hilo linalokabiliana na uvamizi wa Urusi.
Watu 13 wauawa na wengine 113 wajeruhiwa Zaporizhzhia
Watu wasiopungua 13 wameuawa na wengine 113 wamejeruhiwa katika mji wa kusini mashariki mwa Ukraine wa Zaporizhzhia.
NATO kumshawishi Trump juu ya mkataba wa silaha kwa Ulaya
Rutte amesema kuwa anafanya juhudi kumshawishi Rais mteule wa Marekani Donald Trump, kupunguza vizuizi vya silaha
09.01.2025 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Watu 13 wameuwawa katika mji wa Zaporizhzhya kusini mwa Ukraine. Watu 19 wauliwa katika makabiliano makali katika ikulu ya rais nchini Chad. Na Rais wa zamani wa Marekani Jimmy Carter kuzikwa Georgia.
Jeshi la Ukraine lashambulia ghala la mafuta ndani ya Urusi
Nchi zote mbili Urusi na Ukraine bado zinaendelea kushambuliana katika mzozo ambao umedumu kwa karibu miaka mitatu.
Jeshi la Ukraine limesema limedungua droni 41 za Urusi
Ukraine imefanya shambulio la ndege zisizo na rubani katika eneo la Saratov nchini Urusi, na kusababisha moto mkubwa.
Urusi, Ukraine zaendelea kukabiliana vikali Kursk
Ukraine ilianzisha operesheni mpya katika eneo hilo, ikithibitisha mashambulizi dhidi ya kituo cha kamandi ya Urusi.
Ukraine yaanzisha oparesheni mpya ya kijeshi Kursk
Pande zote mbili zimeripoti vifo vya raia katika eneo la kusini la Kherson, eneo ambalo linakaliwa na vikosi vya Urusi.
Vikosi vya kijeshi vya Ukraine na Urusi vyaendelea kupambana
Vikosi vya kijeshi vya Ukraine na Urusi vyaendelea kushambuliana
Vikosi vya Urusi vinaudhibiti wa mji wa Kurakhove wa Ukraine
Urusi yasema vikosi vyake vimechukua udhibiti wa mji wa Kurakhove wa Ukraine
Ukraine, Urusi zapambana vikali Kursk
Kumetokea mapigano makali kwenye mkoa wa Kursk baada ya kuanzisha uvamizi wa kushitukiza magharibi mwa Urusi.
Ukraine yaanzisha mashambulizi mapya ya kijeshi Kursk
Jeshi la Ukraine lenyewe halijatoa tamko lolote kuhusu mashambulizi hayo huku Urusi ikithibitisha mashambulizi hayo.
Urusi yaapa kulipiza kisasi baada ya mashambulizi ya Ukraine
Urusi imeishutumu Ukraine kwa kulenga eneo la mpakani la Belgorod kwa makombora ya masafa marefu.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 70
Ukurasa unaofuatia