You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Matangazo
Ukraine
Ukraine ndiyo nchi kubwa kabisa barani Ulaya. Ina wakaazi wapatao 43,000,000.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
NATO: Wanajeshi wa Korea Kaskazini wamepelekwa Urusi
Amesema kuongezeka kwa ushirikiano wa kijeshi kati ya Urusi na Korea Kaskazini ni kitisho kwa usalama.
NATO: Wanajeshi wa Korea Kaskazini tayari wako Urusi
Watu wawili wameuawa na wengine watatu wamejeruhiwa katika shambulizi la Urusi dhidi ya mji wa Kherson nchini Ukraine.
Vikosi vya Urusi vyadai kusonga mbele mashariki mwa Ukraine
Wizara ya ulinzi ya Urusi imeripoti kukikomboa kijiji cha Izmailovka, ambacho kabla ya mzozo kilikuwa na watu 200.
Putin aonya juu ya Kyiv kutumia makombora ya masafa marefu
Vita vya miaka miwili na nusu vya Ukraine, vimesababisha msuguano mkubwa baina ya Urusi na nchi za Magharibi.
26.10.2024: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Miongoni mwa tuliyonayo kwenye taarifa a habari asubuhi hii ni pamoja na Israel yafanya mashambulizi nchini Iran: Wakuu wa kundi la G7 wakubaliana kuhusu mkopo kwa Ukraine uliotokana na mali za Urusi na Umoja wa Mataifa wasema Vita vimewaathiri zaidi ya wanawake milioni 600 pamoja na wasichana. Sikiliza kwa kina hapa.
Viongozi wa G7 wakamilisha mkopo wa Ukraine
Mali za Urusi za kiasi cha dola bilioni 280 kama akiba ya Benki Kuu zilizuiwa chini ya vikwazo ilivyowekewa taifa hilo.
Scholz ahofia kutumwa wanajeshi wa Korea kaskazini, Ukraine
Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine amearifu juu ya kupelekwa wanajeshi wa Korea Kaskazini nchini Ukraine hivi karibuni.
Ukraine: Wanajeshi wa Korea Kaskazini kuanza vita karibuni
Ukraine yasema wanajeshi wa Korea Kaskazini kuingia vitani wikiendi hii
Putin asema Marekani itaamua yenyewe uhusiano baina yao
Uholanzi yasema imebaini kuwa wanajeshi wa Korea Kaskazini wanaisadia Urusi huko Ukraine.
25.10.2024: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Miongoni mwa yaliyomo kwenye taarifa ya habari ya asubuhi ni Rais wa urusi Vladimir Putin ahitimisha mkutano wa kilele wa kundi la BRICS: Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres asema uvamizi wa Urusi nchini Ukraine ni kinyume cha sheria: Na Bahamas yataka mazungumzo ya kweli kuhusu fidia kutokana na historia ya utumwa. Ungana nasi.
Guterres: Uvamizi wa Urusi umekiuka sheria za kimataifa
Urusi iliivamia kikamilifu Ukraine mwezi Februari, 2022 na vita kati yao vimeendelea bila ya kuwepo dalili ya amani.
Scholz apinga ombi la Ukraine kujiunga na NATO kwa sasa
Zelenskyy aliwataka viongozi wa Ulaya kukubali ombi la kuipa uanachama wa NATO kama sehemu ya "mpango wake wa ushindi".
Rais Vladimir Putin ahitimisha mkutano wa kilele wa BRICS
Uhusiano kati ya Urusi na Marekani umedorora kufuatia uvamizi wa Urusi nchini Ukraine mwaka 2022.
BRICS: Putin asema kuishinda Urusi ni ndoto isiyofikirika
Urusi pia imesisitiza kuundwa kwa mfumo mbadala wa malipo wa huduma za benki kimataifa badala ya mfumo wa SWIFT
Xi Jingping asema ulimwengu unapitia "changamoto kubwa"
Ametowa mwito huo, ikiwa ni siku ya mwisho ya mkutano huo wa BRICS unaofanyika katika mji wa Urusi wa Kazan.
Mali za Urusi zilizozuiwa Ulaya kutumika kuikopesha Ukraine
Baraza la Umoja wa Ulaya limeunga mkono mpango wa mataifa ya G7 wa kutoa mkopo wa mabilioni ya ya euro kwa Ukraine.
Korea Kaskazini yashtumiwa kwa kuwapeleka wanajeshi Urusi
Bunge la Urusi laidhinisha mkataba wa ulinzi na Korea Kaskazini unaoagiza kusaidiana kijeshi wakati wa uchokozi.
Uingereza na Ujerumani kuimarisha ushirikiano wa ulinzi
Uingereza na Ujerumani kuimarisha ushirikiano wa ulinzi
Putin akabiliwa na miito ya amani kwa vita vyake na Ukraine
Putin akabiliwa na miito ya amani katika mkutano wa kilele wa BRICS
BRICS yataka vita vikomeshwe Gaza, Ukraine
BRICS inaharakisha mfumo mbadala wa malipo katika biashara ya kimataifa kuuepuka mfumo wa Magharibi.
Katibu Mkuu UN Guterres kushiriki Mkutano wa BRICS Urusi
Viongozi takribani 20 wakiwemo wa China, India, Uturuki na Iran wanahudhuria mkutano wa BRICS mjini Kazan, Urusi.
Mkutano wa BRICS: Putin akutana na viongozi mbalimbali
Urusi yausifu mkutano huo kuwa tukio kubwa zaidi kuwahi kuandaliwa na Moscow.
Umoja wa ulaya kuikopesha Ukraine Euro bilioni 35
Umoja wa ulaya kuikopesha Ukraine Euro bilioni 35
India yataka kumalizika kwa vita kati ya Urusi na Ukraine
India yataka kumalizika kwa vita kati ya Urusi na Ukraine
Korea Kaskazini yakanusha kupeleka wanajeshi Urusi
Korea Kaskazini yakanusha kupeleka wanajeshi Urusi
Urusi ni mwenyeji wa mkutano wa BRICS mjini Kazan
Urusi ni mwenyeji wa mkutano wa siku mbili wa BRICS mjini Kazan
Uingereza kuipatia Ukraine mkopo wa dola bilioni 2.94
Fedha hizo ni sehemu ya mkopo uliopangwa kutolewa na nchi za G7.
Ukraine yamlaumu Guterres kukubali mwaliko wa Putin
Lawama hizo zimetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ukraine Andrii Sybiha.
Urusi yaushambulia mji wa Kiev kwa ndege za droni
Mkuu wa utawala wa kijeshi mjini Kiyv amesema usiku wa kuamkia leo ulikuwa ni usiku mwingine wa wasiwasi.
Marekani yatangaza msaada wa dola milioni 400 kwa Ukraine
Rais wa UAE Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan amwambia rais Putin kwamba yuko tayari kuunga mkono juhudi za amani .
Urusi yafanya mashambulizi ya usiku kucha mjini Kyiv
Maafisa wa Ukraine wathibitisha kuhusu mashambulizi ya usiku kucha ya droni za Urusi
Ukraine yashambulia uwanja wa ndege wa kijeshi Urusi
Jeshi la Ukraine limeishambulia miundombinu ya kijeshi katika uwanja wa ndege wa jeshi la Urusi
Makombora ya Urusi yawajeruhi raia 17 wa Ukraine
Ukraine imesema imeziharibu droni 31 kati ya 49 zilizoyashambulia maeneo kadhaa ya Ukraine usiku wa kuamkia Jumapili.
Moldova yapiga kura kumchagua rais, kuamua hatma kujiunga EU
Raia nchini Moldova wanapiga kura kumchagua Rais wao na kuamua hatma ya Jamhuri hiyo kuhusu kujiunga na EU.
19.10.2024: Matangazo ya jioni
Sikiliza matangazo ya jioni ya DW Kiswahili
Ufaransa yaahidi kuunga mkono mpango wa ushindi wa Ukraine
Ufaransa kutoa mafunzo kwa marubani wa Ukraine ili waweze kuendesha ndege za kijeshi wenyewe.
Ufaransa yaiunga mkono Ukraine mpango wa kukomesha vita
Ufaransa inasema inauunga mkono mpango wa Ukraine wa kuvimaliza vita vya miaka miwili na nusu kati yake na Urusi.
Urusi na Ukraine zabadilishana wafungwa wapya wa kivita
Urusi na Ukraine zimebadilishana wafungwa wapya wa kivita katika makubaliano mapya yaliyoratibiwa na UAE.
Biden yuko Berlin kwa mazungumzo ya Ukraine na M. Kati
Na kukiwa na uchaguzi wa rais wa Marekani ambao unazua wasiwasi kuhusu nguvu yake katika utatuzi wa vita hivyo baadae.
Biden: Ni lazima tuendeleze msaada wetu kwa Ukraine
Ziara ya Biden ni ya kwanza nchini ya Ujerumani inafanyika ikiwa imesalia miezi michache kuondoka madarakani.
UN: Ulimwengu upo katika wakati hatari zaidi katika historia
Türk ameeleza kwamba migogoro inazidi kuenea huku sheria na haki za binadamu zikizidi kukanyagwa.
Je, Marekani itaendeleza ushirika na Ulaya baada ya Biden?
Rais Joe Biden atakuwa rais wa kwanza wa Marekani tangu George H. W. Bush kutunukiwa Tuzo ya Federal Cross of Merit.
Zelensky adai Korea Kaskazini yaandaliwa kwa vita
Zelenskiy adai jeshi Korea Kaskazini laandaliwa kujiunga na Urusi vita vya Ukraine.
Zelensky awasilisha "Mpango wa Amani" kwenye Umoja wa Ulaya
Zelensky anasisitiza haja ya upatikanaji wa dola bilioni 35 zinazotokana na mali ya Urusi ili kuimarisha ulinzi.
Umoja wa Ulaya na Ghuba wakutana kujadili Gaza na Ukraine
Kusanyiko hili ni la kwanza na la kipekee baina ya pande hizo kwa matumaini ya kupunguza kitisho huko Mashariki ya Kati.
Zelensky kuwasilisha "mpango wa ushindi" kwa EU na NATO
Zelensky pia atawasilisha ombi la uanachama wa NATO na ongezeko la msaada wa kijeshi katika kampeni yake dhidi ya Urusi.
Zelensky awasilisha "mpango wake wa ushindi" bungeni
Zelensky awasilisha "mpango wake wa ushindi" kwa bunge la Ukraine.
Urusi yaongeza shinikizo kwa kushambulia zaidi Donestk
Mamlaka za kijeshi nchini Ukraine zasema wanajeshi wa Urusi wanazidisha shinikizo kwenye kijiji cha Kurakhivka Donetsk.
EU na mataifa ya Ghuba zazungumzia migogoro na ushirikiano
Ushirikiano wa kimkakati sio tu kuhusu usalama. Unahusu pia biashara, misaada ya maendeleo na mabadiliko ya kidigitali
16.10.2024: Taarifa ya habari za asubuhi
Sikiliza taarifa ya habari za asubuhi ya idhaa ya Kiswahili ya DW
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 66
Ukurasa unaofuatia