You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Wasichana wa Chibok
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Goodluck Jonathan kuiongoza tena Nigeria
Tume ya uchaguzi ya Nigeria imemtangaza rais aliyeko madarakani nchini humo, Goodluck Jonathan kuwa mshindi wa uchaguzi wa rais uliofanyika Jumamosi iliyopita baada ya kupata asilimia 57 ya kura.
Goodluck Jonathan aongoza uchaguzi Nigeria
Rais Goodluck Jonathan anaonekana kuelekea kupata ushindi wa moja kwa moja katika uchaguzi mkuu wa rais nchini Nigeria, ambapo hakutakuwa na haja ya kuwa na duru ya pili ya uchaguzi.
Ushindani ni mkubwa kati ya wagombea wa urais wa Nigeria
Matokeo ya mwanzo yanaashiria kuwa Rais wa Nigeria Goodluck Jonathan na mpinzani wake mkuu Muhammadu Buhari huenda wakawa na ushindani mkubwa baada ya uchaguzi wa rais uliofanyika Jumamosi(16.04.2011.
Milio ya risasi yasikika Nigeria
Milio ya risasi ya hapa na pale na miripuko ya mabomu imeripotiwa kutokea katika mji wa Maiduguri uliopo kaskazini-mashariki mwa Nigeria.
Chama tawala nchini Nigeria chapoteza wingi wa wabunge
Chama cha rais Goodluck Jonathan kimepata upinzani mkali katika uchaguzi uliofanyika jana Nigeria. Kulitokea matatizo ya hapa na pale lakini waangalizi wameridhika.
Ghasia zaugubika uchaguzi Nigeria
Bomu limelipuka katika kituo kimoja cha kuhesabia kura huko nchini Nigeria ambapo msemaji wa shirika la dharura la nchi hiyo amesema watu kadhaa wamejeruhiwa vibaya.
Uchaguzi wa Nigeria waahirishwa
Tume ya uchaguzi ya Nigeria imeahirisha uchaguzi wa bunge kwa wiki moja baada ya kushindwa kukamilisha maandalizi kwa wakati uliopangwa.
Wananchi wa Nigeria leo kuwachagua wabunge
Wanigeria leo wanapiga kura kuchagua bunge jipya katika mfululizo wa chaguzi zitakazofanyika hadi Aprili 16.
Inamaanisha nini kuwa polisi wa kike Nigeria?
Kwa muda mrefu jamii ya Kiislamu Kaskazini mwa Nigeria iliamini kuwa nafasi ya mwanamke katika jamii ni kuwa mke mzuri na mama wa watoto, lakini sasa wanawake wameanza kuwa na dhamana kubwa zaidi, ikiwemo ya upolisi.
Zaidi ya watu 200 wauawa Nigeria
Watu zaidi ya 200 wameuawa katika mapigano makali ya kidini jimboni Plateau, Nigeria tangu Desemba 24 mwaka uliopita wa 2010. Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa shirika la kutetea haki za binaadamu-Human Rights Watch.
180111 Nigeria Wahlkampf
Vyama vya kisiasa nchini Nigeria mwishoni mwa juma lililopita viliteua wagombea wake katika uchaguzi ujao wa rais mwezi wa Aprili. Chama tawala cha PDP kimemteua Goodluck Jonathan.
Kundi la MEND lasema halikuhusika na mauaji Nigeria
Maafisa wa polisi ya Nigeria wanaendelea kuwasaka washukiwa waliohusika na shambulio hilo la bomu
Viongozi wa ECOWAS kukutana leo Nigeria kujadili mzozo wa Cote d'Ivoire
Viongozi wa jumuiya ya kiuchumi ya nchi za Afrika magharibi, leo wanakutana katika kikao maalumu kujadili mzozo wa kisiasa uliotokana na uchaguzi nchini Cote d'Ivoire.
Vita vya propaganda vyaielekeza Nigeria kubaya
Kauli ya Rais Goodluck Jonathan kwamba kundi la waasi wa Delta halihusiki na mripuko wa bomu uliotokea siku ya maadhimisho ya uhuru mwanzoni mwa mwezi huu wa Oktoba, imemuingiza kiongozi huyo vita vya propaganda
Sumu yaua watoto 400 Nigeria
Kwa mujibu wa Chama cha Madaktari wasiokuwa na Mipaka, MSF, watoto 400 wamefariki kutokana na sumu inayotoka kwenye migodi ya wachimbaji wadogo wadogo Kaskazini mwa Nigeria.
Nigeria yaadhimisha miaka 50 ya uhuru
Kundi la waasi wa MEND wa Nigeria wametahadharisha kuwa watawashambulia kwa mabomu watu wataokohuhduria sherehe za leo
Nigeria: Uhuru, umasikini na matumaini
Tarehe 1 Oktoba, Nigeria inaadhimisha miaka 50 ya uhuru wake, huku nchi hiyo yenye wakaazi wengi kabisa barani Afrika, ikikabiliwa na changamoto nyingi.
Mzozo katika uchumi wa Nigeria
Nchi zinazoendelea zimebaki kuwa salama kutokana na mzozo wa kiuchumi ulioikumba dunia, mtizamo ulioenezwa katika sehemu mbali mbali ulimwenguni kwa sehemu fulani sio sahihi.
120710 Johnathan Facebook
Siasa kwenye mtandao wa mawasiliano wa intaneti! Rais wa Nigeria Goodluck Jonathan amejiunga na viongozi wengine mashuhuri ulimwenguni kutumia tovuti ya kijamii ya facebook kuwasiliana na kujadiliana na wananchi wake
Nigeria yafungiwa miaka 2 kucheza dimba kimataifa.
Je, hilo ni dimba kati ya marais na FIFA ?
Nigeria yafuata mkondo wa Afrika kusini yazabwa 2:1 na Ugiriki
Argeina imeingia duru ijayo kwa kuichapa Korea Kusini 4:1
Nigeria yafungwa na Ugiriki na kukalia kuti kavu
Nigeria imejiweka katika nafasi ngumu ya kufuzu kwa raundi ya pili ya michuano ya fainali za kombe la dunia baada ya kufungwa mabao 2-1 na Ugiriki katika mechi za kundi B.
Marehemu rais Umaru YarÁdua wa Nigeria azikwa leo
Goodluck Jonathan hii leo ameapishwa kiongozi mpya wa Nigeria, saa chache baada ya Rais Umaru YarÀdua aliekuwa na miaka 58 kufariki jana Jumatano baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Nigeria yamwita balozi wake aliyeko Libya
Hatua hiyo inafuatia matamshi yaliyotolewa na kiongozi wa Libya, Muammar Gadhafi ya kuitaka Nigeria igawanywe kati ya Waislamu na Wakristo.
Baraza la mawaziri Nigeria lavunjwa.
Hatua ya Kaimu Rais nchini Nigeria Goodluck Jonathan kulivunja baraza la mawaziri, imeelezwa pia ni kuonesha zaidi nguvu aliyonayo kwenye mamlaka nchini humo, huku wachambuzi wakisema itamuwezesha kuchagua timu yake.
Mauaji ya mjini Jos, Nigeria
Raia wa Jos waghadhabika, Polisi walaumiwa.
Jeshi la Nigeria laimarisha ulinzi katika mji wa Jos.
Jeshi la Nigeria limepiga doria katika vijiji vilivyo karibu na mji wa Jos, kufuatia mapigano ya kikabila na ya kidini yaliyozuka mwishoni mwa wiki iliyopita na kusababisha vifo vya mamia ya watu.
Vikosi vya jeshi vyapelekwa Jos, Nigeria
Watu kadhaa wakamatwa kufuatia mauaji yaliyoibuka jana huko Jos
Watu zaidi ya 500 wauawa Nigeria
Nchini Nigeria kiasi cha watu 500, wengi wao wakiwa wanawake na watoto wameuawa kufuatia kuibuka kwa mapigano mapya ya kidini jana Jumapili katika kijiji cha Dogo, karibu na mji wa Jos.
Yar'Adua arejea Nigeria
Rais Umaru Yar'Adua wa Nigeria aliwasili mjini Abuja usiku wa kuamkia leo, miezi mitatu tangu alipoondoka nchini humo kuelekea Saudia Arabia kwa matibabu.
Kaimu wa Rais Nigeria apanga upya baraza la mawaziri
Nchini Nigeria Kaimu wa Rais Goodluck Jonathan amepanga upya baraza la mawaziri katika hatua muhimu ya kwanza aliyochukua baada tu ya kupokea rasmi mamlaka ya uongozi.
Viongozi wa zamani wa Nigeria wamtaka Rais Yar'Adua kukabidhi madaraka kwa makamu wake.
Wito huo uko katika barua ya pamoja iliyosainiwa kwa niaba yao na mkuu wa zamani wa majeshi, Jenerali Yakubu Gowon.
Baraza la Mawaziri la Nigeria kuamua hatima ya Rais YarÁdua
Mwanasheria Mkuu wa Nigeria Michael Aondoakaa amesema baraza la mawaziri litaamua iwapo afya ya Rais Umaru YarÁdua inamruhusu kuiongoza nchi baada ya kuwa nje kwa matibabu tangu miezi miwili iliyopita.
Hali nchini Nigeria
Wanajeshi wa Nigeria wanaimarisha jitihada za kushika doria katika mji wa Jos uliokumbwa na mashambulio yaliyochochewa na uhasama wa kidini.
Tai wa Nigeria wavunjwa mabawa na Mafarao
Mabingwa watetezi Mafarao wa Misri jana walianza vyema safari yao ya kuutwaa kwa mara ya tatu mfululizo uchampion huo, kwa kuikandika Nigeria mabao 3-1, huku Mamba wa Msumbiji na Benin wakilazimishana sare ya mabao 2-2.
Wasiwasi juu ya hali ya afya ya Rais Yar'adua wa Nigeria
Mbinyo kwa Rais Yar'adua akabidhi madaraka kwa makamo wake
Misiri na Nigeria nani atatamba leo Benguela ?
Msumbiji na Benin ni changamoto nyengine leo.
Nigeria,Syria na Cuba na hatua za Marekani
Je, hatua hizo ni dawa mujarab ?
Clinton barani Afrika.
Clinton aitaka Nigeria isimame kidete katika juhudi za kupambana na rushwa.
Ziara ya Bibi Clinton Nigeria
Mazungumzo na viongozi wa diini.
Nigeria-Boko Haram ni madhehebu gani ?
Kiongozi wake Yusuf Mohammed auwawa.
Mohammed Yusuf auawa akiwa mahabusi.
Kiongozi wa waislamu wenye itikadi kali ameuwa nchini Nigeria.
Machafuko nchini Nigeria, 300 wameshakufa.
Watu 300 wameshakufa kutokana na mapigano nchini Nigeria.
Mapigano yaingia siku ya nne nchini Nigeria
Mapigano kati ya Wanamgambo wa Kiislamu na Vikosi vya Usalama vya Nigeria leo yaingia siku ya nne.
Waliouawa katika ghasia za Nigeria wafikia 65
Mbali na vifo hivyo, wapiganaji wa Kiislamu wamechoma moto makao makuu ya polisi, kanisa na ofisi ya forodha.
Waasi wa Kiislamu Nigeria wavamia vituo vya polisi
Uvamizi huo uliotokea mapema leo asubuhi katika vituo vya polisi kwenye majimbo ya Yobe na Borno, umesababisha kifo cha mtu mmoja.
Kesi dhidi ya Yar´Adua yatupiliwa mbali- Nigeria
Mahakama kuu nchini Nigeria imetupilia mbali kesi iliyowasilishwa na upande wa upinzani kupinga kuchaguliwa kwa rais wa Umaru Yar`Adua na kuondolea mbali hofu ya kuzuka kwa machafuko ya kisiasa nchini humo.
Rais Köhler atembelea Kano na Lagos.
Rais wa Ujerumani Horst Köhler aendelea na ziara nchini Nigeria.
Nigeria kulikabidhi eneo la Bakassi kwa Cameroon hii leo
Mzozo wa miaka 15 wa eneo la Bakassi yumkini ukamalizika
Ujerumani na Brazil 0:0/Nigeria na korea 0:0
Katika dimba la olimpik Ujerumani imetoka sare 0:0 na Brazil kama Nigeria na korea.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 17 wa 20
Ukurasa unaofuatia