You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Matangazo
Marine Le Pen
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Rais mteule wa Ufaransa ajiandaa kuingia madarakani
Rais mteule wa Ufaransa ajiandaa kuingia madarakani
Wakuu wa nchi mbalimbali wampongeza Macron
HAta hivyo wanasiasa wanaoendeleza siasa za mrengo wa kulia wamempongeza Marine Le Pen wakisema amepata nguvu zaidi
Baada ya ushindi mkubwa, Macron aahidi kuiunganisha Ufaransa
Mgombea urais wa mrengo wa kati asema kura milioni 4 alizopata mpinzani wake, Marine Le Pen, zinatuma ujumbe.
Wafaransa wanamchaguwa rais mpya
Wafaransa wanamchaguwa rais mpya kati ya Mliberali Emmanuel Macron na kiongozi wa sera za mrengo wa kulia Marine Le Pen
Wafaransa kumchagua Rais mpya kati ya Macron na Le Pen
Duru ya pili ya uchaguzi wa rais nchini Ufaransa ni muhimu kwa nchi hiyo, Bara Ulaya na ulimwengu kwa jumla
Onyo dhidi ya kuchapisha data zilizodukuliwa za Macron
Ufaransa yaonya dhidi ya kuchapisha data zilizodukuliwa za Macron
Barua pepe za Emmanuel Macron zadukuliwa
Udukuzi na usambazaji huo wa barua pepe na nyaraka nyingine nyeti umefanywa Ijumaa, siku ya mwisho ya kmapeini za urais
Upo uwezekano wa Le Pen kushinda?
Wafaransa milioni 48 watakuwa na nafasi kumchagua rais mpya. Ni mpambano kati ya Emmanuel Macron na Marine Le Pen.
Wagombea urais warushiana matusi nchini Ufaransa
Wagombea hao walivunja rekodi kwa kutupiana matusi
Macron, Le Pen wakashifiana hadharani
Kila mmoja atumia maneno makali ya kumdhalilisha mwengine akilenga kukusanya kura nyingi kwenye uchaguzi wa Jumapili.
Macron na Le Pen kupambana duru ya pili
Uchaguzi wa urais nchini Ufaransa utakafanyika tarehe 7 mwezi Mei
Wafaransa wapiga kura kumchaguwa rais
Wafaransa wapiga kura kumchaguwa rais
Wafaransa waanza kupiga kura ya kumchagua rais mpya
Ulinzi mkali waimarishwa katika uchaguzi huo
Kampeni za Uchaguzi wa urais zamalizika nchini Ufaransa
Jumla ya wagombea 11 watashiriki katika duru ya kwanza
Mshambuliaji aua polisi Paris
Polisi mmoja ameuliwa na wengine wawili kujeruhiwa na mtu mmoja aliyewashambulia kwa risasi katika mji mkuu wa Ufaransa.
Uchaguzi wa Ufaransa yumkini matokeo yakawa ya kushangaza
Uchaguzi wa Ufaransa yumkini matokeo yakawa ya kushangaza
Wanaofanya uhalifu dhidi ya binadamu kuadhibiwa
Marekani imesema itamuadhibu yeyote anaefanya uhalifu dhidi ya binadamu mahali popote duniani.
G7, Marekani yatakiwa kueleza msimamo dhidi ya Syria
Kitisho cha kijeshi kutoka Korea Kaskazini na jukumu la Urusi nchini Syria vinatarajiwa kuwa juu kwenye ajenda
Macron na Le Pen washambuliana katika mdahalo
Mwanasiasa wa Ufanransa Emmanuel Macron, anaendelea kuonekana kuwa katika nafasi nzuri ya kuibuka mshindi
Valls kumuunga mkono Macron
Macron amesema hatomjumuisha Valls katika serikali yake
Mshambuliaji wa London alizaliwa kama Adrian Russel Ajao
Khalid Masood aliyeshambulia katika Bunge la Uingereza alizaliwa akiwa anaitwa Adrian Russel Ajao.
Auwawa kwa kupigwa risasi uwanja wa ndege wa Orly
Wanausalama wamemuuwa kwa kumpiga risasi mtu aliyejaribu kuikwapuwa bunduki ya askari katika uwanja wa ndege wa Orly.
Wapiga kura wengi wajitokeza katika uchaguzi wa Uholanzi
Matokeo ya awali yanatarajiwa kuanza kutangazwa baada ya vituo kufungwa. Matokeo rasmi yatatangazwa wiki ijayo
Mataifa tajiri kujadili mustakabali wa EU
Viongozi wa mataifa tajiri Barani Ulaya wanakutana leo kwa lengo la kuangalia jinsi ya kuuimarisha Umoja wa Ulaya
Republican wa Ufaransa wamjadili Fillon
Fillon anasema anawaachia wapiga kura waamuwe na sio maoni ya vyombo vya habari.
Macron apata nguvu za kisiasa
Macron apata nguvu za kisiasa
Marekani na Urusi "Vinara" biashara ya silaha
Ripoti ya SIPRI inaonyesha kuongezeka kwa biasahara ya silaha na kufikia kiwango cha juu zaidi tangu vita baridi
Kashfa yaendelea kumuandama Fillon
Ghasia zasambaa Paris
Polisi nchini Ufaransa imesema ghasia zimesambaa katika vitongoji kadhaa vya mji mkuu wa nchi hiyo, Paris.
Matangazo ya Asubuhi 04.02.2017
Kwenye matangazo yetu leo asubuhi. Umoja wa Ulaya wapitisha mkakati wa kuzuia wahamiaji kutoka Afrika. Mtu wa pili akamatwa baada ya shambulio katika jumba la makumbusho la Louvre mjini Paris. Marekani yaiwekea Iran vikwazo vipya baada ya nchi hiyo kufanya jaribio la Kombora
Benoit Hamon kuwania urais Ufaransa
Benoit Hamon kuwania urais Ufaransa kwa tiketi ya Wasoshalisti
Ujerumani na Ufaransa kuzidi kushirikiana kukabil mizozo.
Waziri wa mambo wa nje wa Ujerumani Sigmar Gabriel na mwenzake wa Ufaransa Jean -Marc Ayrault watashirikiana kwa karibu.
Vyama vya sera kali za mrengo wa kulia vyakutana Ujerumani
Viongozi wa vyama vya sera kali za mrengo wa kulia barani Ulaya wamejigamba juu ya matumaini ya vyama vyao
Israel na Wapalestina zaonywa
Mkutano wa Paris umezionya Israel na Wapalestina dhidi ya kuchukuwa hatua za upande mmoja.
Mazungumzo ya amani Mashariki ya Kati yafanyika Paris
Ufaransa imeonya kuzuka "madhara mabaya" iwapo Donald Trump atachukuwa hatua ya kuutambuwa Jerusalem mji mkuu wa Israel
UN kupigia kura azimio la kuwapeleka wachunguzi Aleppo
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linatarajiwa kupigia kura leo azimio la kuwatuma waangalizi Aleppo
Mkuu wa IMF afikishwa mahakamani kwa tuhuma za uzenbe
Iwapo Lagarde atapatikana na hatia atafungwa mwaka mmoja au atatozwa faini ya Euro Elfu 15.
Waziri Mkuu wa Italia atangaza kujiuzulu
Waziri Mkuu wa Italia, Matteo Renzi amesema atajiuzulu, baada ya kushindwa katika kura ya maoni iliyofanyika jana.
Fillon ashinda uchaguzi wa mchujo Ufaransa
Mhafidhina Francois Fillon ameshinda Uchaguzi wa mchujo dhidi ya Alain Juppé nchini Ufaransa
Duru ya pili ya uchaguzi wa mchujo Ufaransa
Maajabau yanatarajiwa katika uchaguzi wa mchujo Ufaransa
Rwanda: Padri aliyegeukia siasa azuiwa Nairobi
Anataka kurudi Rwanda kusajili chama kipya cha siasa na kugombea urais mwaka 2017
Ufaransa yaitisha mkutano kuhusu Syria
Staffan de Mistura amehofia huenda Bashar al-Assad akafanya mashambulio mapya kabla Trump hajaapishwa
Trump alegeza misimamo
Awali alisema Rais Obama atakumbukwa kuwa rais mbaya katika historia ya Marekani lakini sasa asema anampenda sana
Le Pen anaweza kushinda uchaguzi wa Ufaransa
Waziri Mkuu wa Ufaransa Walls asema kiongozi wa sera kali za mrengo wa kulia Le Pen anaweza kushinda uchaguzi 2017
Wahamiaji waondoka Calais
Waliukimbia moto waliouwasha na kuteketeza kambi hiyo, na kusababisha zoezi la kuondoka kuwa rahisi
Mawaziri wa Ulinzi wajadili hatma ya mapambano dhdi ya IS
Wapiganaji wa IS waukimbia mji wa Mosul na kuingia Syria
Operesheni ya kuifunga kambi ya Calais yaanza Ufaransa
Hatima ya watoto-wahamiaji 1,300 ambao wako kivyao kwa kuwa hawakuandamana na wazazi wao haijulikani bayana
Merkel, Hollande wamkalia kooni Putin
Urusi iko tayari kurefusha usitishaji mashambulizi kadiri iwezekanavyo.
Berlin: Merkel, Hollande, Putin kuzijadili Ukraine na Syria
Merkel, Hollande na Putin wanakutana kutathimini hatua za utekezaji wa makubaliano ya Minski.
Uingereza itawapokea watoto wa msitu wa Calais
Makubaliano yamefikiwa kati ya Uingereha na Ufaransa kuhusu watoto wanaozurura katika msitu wa Calais
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 12 wa 18
Ukurasa unaofuatia