You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Matangazo
Marine Le Pen
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Muongozo wa kutekeleza makubaliano ya Paris wafikiwa
Nchi zinazoendela bado hazijaridhika kwa kukosa ufafanuzi kuhusu ufadhili wa mipango ya kudbiti athari za tabianchi.
Cherif Chekatt ni mhalifu aliyeshitakiwa mara kadhaa
soko la Krismasi mjini Strasbourg limefunguliwa tena siku kadhaa baada ya shambulizi kutokea siku ya Jumanne
Msako mkali unaendelea Ufaransa
Msako mkali unaelendelea nchini Ufaransa kumtafuta mshambuliaji mmoja aliyefyetua risasi kwenye soko la Krismasi.
Ufaransa: Hotuba ya rais Emmanuel Macron yapingwa vikali
Hata hivyo baadhi ya watu wanazikubali juhudi za rais wa Ufaransa Emmanuel Macron
Ufaransa yaweza kurejesha kodi wanayotozwa matajiri
Emmanuel Macron aweza kuridhia madai ya waandamanaji
Saudia yapinga kuhusishwa mwanamfalme na mauaji ya Khashoggi
Ujerumani imeweka marufuku dhidi ya raia 18 wa Saudia kuingia nchini mwake wakisaidikiwa kuhusika na mauaji ya Khashoggi
Novemba 11: Miaka 100 ya kumalizika vita vikuu vya kwanza
Merkel na Macron wazindua sanamu ya kumbukumbu ya vita vikuu vya kwanza mjini Paris
Ufaransa: Maadhimisho ya miaka 100 tangu kumalizika WW1
Rais Macron atakutana na viongozi hao wakati ambapo umaarufu wake umepungua nchini mwake.
Sita wakamatwa kupanga kumshambulia Macron
Serikali ya Ufaransa imesema washukiwa waliokamatwa ni kati ya miaka 22 na 62 na kumjumuisha mwanamke mmoja.
Kumbukumbu ya Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron anajiandaa kwa wiki yenye shughuli nyingi za kidiplomasia na kuwakaribisha wageni
Macron amsifu Abiy kwa mageuzi ya kihistoria Ethiopia
Ufaransa na Ethiopia zimesaini mikataba ya ushirikiano katika nyanja mbali mbali zikiwem usafiri, nishati na utamafuni.
Ufaransa: Rufani ya rais wa zamani Nicolas Sarkozy yatupwa
Rais huyo wa zamani pia anakabiliwa na madai ya kupokea fedha kutoka kwa aliyekuwa kiongozi wa Libya Muammar Gaddafi.
Trump na Putin kukutana hivi karibuni mjini Paris
Stoltenberg asema washirika wote wa Ulaya wanakubali kuwa mkataba huo ni muhimu.
Wahamiaji walioko katika meli ya Aquarius kugawanywa
Wahamiaji walioko katika meli ya Aquarius kupelekwa Malta
Macron na Merkel wajadili uhamiaji mjini Marseille
Wawili hao wamesisitiza umuhimu wa Ulaya huru kuelekea uchaguzi wa bunge la Ulaya mwakani.
Suala la Uhamiaji lajadiliwa na mawaziri wa Umoja wa Ulaya
Waziri wa masuala ya ndani wa Italia Matteo Salvini ameapa kuwatambua na kulishtaki wahamiaji waliookolewa, Libya.
Albania na Macedonia zasubiri ridhaa kuingia Umoja wa Ulaya
Kwenye mkutano huo unaofanyika Luxembourg, nchi muhimu za Umoja wa Ulaya, Ujerumani na Ufaransa zinatofautiana.
Macron akutana na Merkel
Ulaya inakabiliwa na kitisho cha serikali zinazoelemea mrengo wa kulia pia na mzozo mkubwa juu ya suala la wahamiaji.
Itali na Ufaransa zaumaliza mvutano
Ufaransa yasema haikuwa na nia ya kuikasirisha Itali wala kuwatukana watu wake kuhusu meli ya wahamiaji ya Aquarius
Iran yatoa masharti kuhusu mwafaka wa nyuklia
Iran yataka mataifa ya Ulaya kuwafidia ifikapo mwisho wa mezi Mei baada ya Marekani kujiondoa kwenye mkataba wa nyuklia.
Macron na Putin wajadili makubaliano ya nyuklia ya Iran
Nchi za Ulaya zinafanya kila juhudi kuhakikisha makubaliano hayo ya kinyuklia hayafeli hata baada ya Marekani kujiondoa.
Mashambulizi ya angani yawaua wapiganaji 12 Syria
Mzozo wa Syria umesababisha vifo vya maelfu ya watu na kuwaacha mamilioni ya wengine bila ya makazi au wakimbizi.
Kagame akutana na Macron
Marais Kagame na Macron wakutana Ufaransa
Ufaransa ina wasiwasi na hali tete ya Mashariki ya Kati
Ufaransa yaelezea wasiwasi wake mkubwa kuhusu hali tete katika Mashariki ya Kati.
Macron: Marekani ilikosea katika mkataba wa nyuklia
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameutaja uamuzi wa Marekani kuwa makosa.
Iran itafanya nini Trump akijiondoa kwenye mkataba-nyuklia
Rais Trump anatarajiwa kuiondoa Marekani kwenye mkataba wa nyuklia wa Iran mwezi Mei tarehe 12.
Nchi za EU kuendelea na mkataba wa Iran
Ufaransa na Ujerumani zitaendelea kuuheshimu mkataba wa nyuklia wa Iran, bila kujali uamuzi wa Marekani.
Rouhani asema Marekani itajuta ikijitoa mkataba wa nyuklia
Rouhani amerejelea msimamo wa nchi yake kupinga kuzuiwa kuunda makombora yasiyo ya kinyuklia.
Ujerumani, Ufaransa kushirikiana mpango wa ndege za kivita
Merkel na Macron walizindua mpango huo kwa mara kwanza muda mfupi baada ya Macron kuchaguliwa mwkaa 2017.
Kwanini EU imekataa kuisaidia Yemen
Umoja wa Ulaya unaonekana kuvitilia uzito zaidi vita vinavyoendelea nchini Syria zaidi ya Yemen vilivyoanza wakati sawa.
Maoni: Hongera Emmanuel Macron!
Hali halisi ya kisiasa huko nchini Marekani. Macron ameitumia fursa hiyo kuelezea tofauti kati ya sera zake na za Trump.
Ziara ya rais wa Ufaransa Emmanuel Macron Marekani
Ziara ya rais wa Ufaransa Emmanuel Macron Marekani
Marekani yaombwa kutojiondoa katika makubaliano ya nyuklia
Marekani imetishia kujiondoa mwezi ujao, iwapo makubaliano hayo yahatofanyiwa marekebisho inayoyataka.
Wataalamu wa silaha za kemikali kuingia Douma
Shirika la habari la serikali ya Syria limeripoti kwamba mfumo wa kujikinga na makombora wa nchi hiyo umezuia uvamizi.
Wanasiasa wa Urusi wakutana na al-Assad
Urusi, mshirika wa al-Assad, iliyalaani mashambulizi yaliyoongozwa na Marekani nchini Syria mwishoni mwa wiki
Merkel asema Mashambulizi ya kijeshi Syria yanastahili
Merkel amesema mashambulizi hayo ya angani yanapaswa kuwa onyo kwa utawala wa Syria kutoendelea kutumia silaha za sumu.
UN yazionya nchi zenye nguvu duniani kuhusu mzozo wa Syria
Umoja wa Mataifa wazionya nchi zenye nguvu duniani kuhusu mzozo wa madai ya matumizi ya silaha za sumu Syria.
Syria yaialika OPCW kuchunguza shambulizi la sumu
Syria imelialika shirika la kimataifa la kudhibiti silaha za kemikali, kuchunguza madai ya shambulizi la sumu Douma.
Lebanon yapata ahadi ya misaada ya zaidi ya dola bilioni 10
Ufaransa inaongoza juhudi za kuiimarisha Lebanon. Mkutano wa leo ni wa pili katika mfululizo wa mikutano mitatu.
Raia zaidi na waasi waondoka Ghouta Mashariki
Zaidi ya raia 100,000 wameondolewa katika eneo la Ghouta Mashariki linalodhibitiwa na waasi.
Mshambuliaji aliyewachukua watu mateka auawa Ufaransa
Kabla ya tukio hilo mshambuliaji huyo alimjeruhi polisi mmoja kwa kumpiga risasi.
Nicolas Sarkozy jela yamnyemelea
Sarkozy alidhalilishwa katika uchaguzi wa ndani ya chama chake baada ya kushindwa katika nafasi ya kuwa mgombea urais.
Merkel na Macron wakutana kwa mazungumzo
Merkel na Macron kujadili mapendekezo watakayoyawasilisha katika mkutano ujao wa kilele wa Umoja wa Ulaya.
Mashambulizi yaendelea Syria licha ya azimio la UN
Vikosi vya Syria vimefanya mashambulizi Ghouta Mashariki na kupuuza azimio la Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa
Ufaransa yatishia kuishambulia Syria
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amesema Ufaransa itaanzisha mashambulizi iwapo itathibitika kama serikali ya Syria.
Serikali ya Syria yazidi kushambulia raia wake
Mashambulizi mapya yaliyofanywa Syria yasababisha vifo vya raia 23 katika mji unaodhibitiwa na waasi karibu na Damascus
Wahamiaji watano wapigwa risasi Calais
Wahamiaji watano wamejeruhiwa kwa kupigwa risasi baada ya kuzuka mapigano kati ya makundi mawili ya wahamiaji wa Kiafrik
Merkel kukutana na Macron Paris
Lengo la mkutano ni kutafuta msimamo mmoja katika malengo ya mageuzi
Viongozi wa Uingereza na Ufaransa wakutana
Uingereza inajaribu kuimarisha uhusiano baina yake na Ufaransa hata baada ya kuondoka Umoja wa Ulaya mwaka ujao
Macron: Calais kutokuwa na kambi nyingine ya wahamiaji
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron ameapa kuwa nchi yake haitoruhusu kuanzishwa kwa kambi nyingine ya wahamiaji Calais.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 10 wa 18
Ukurasa unaofuatia